maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Ikitokea moshi ikawa jiji maana yake itakuwa imeruka stage?

    Mi navyojua lazima imepitiea kuwa mkoa kwanza kisha jiji. Sasa sidhani kama moshi ni mkoa ila tayari wanalazimisha kuwa jiji bila hata kuwa mkoa. Hii ni sawa na prof ndalichako ana PhD lakini hana masters sijui iliwezekana vipi. Hata slaa ana PhD lakin hana masters. Tueleweshane jamani ili...
  2. JamiiForums Tanzania Mchezaji kutapika uwanjani. Hii kiafya maana yake nini?

    Jana kwenye mechi ya Biashara united na Al ahal ya libya ( speling) kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani afrika, tuliona mchezaji mmoja wa Al ahal akitapika maji uwanjani. Sababu zilizotolewa japo sio za kitaalam ni kwamba mchezaji alikunywa maji mengi, baada ya kukutana na joto kali...
  3. JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Kisandu sio Ukoo wangu na halikuwa jina Langu kiukoo na ndio maana Ukoo wa Kisandu haufanani kisura nami DJ. Don Nalimison

    Salaam wapendwa katika Malaika wa Mungu na Mungu Mkuu mwenye nguvu. Wengi wamekuwa wakiniuliza Sana kuhusu ubini wa KISANDU inbox, naomba leo ni jibu. Baba yangu Mzazi alipoondoka kurudi kwao Marekani alinikabidhi kwa rafiki yake Abdalah Kisandu pale Kahama, SHINYANGA na hivyo Ukoo wa Abdalah...
  4. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya mke wangu ina maana gani?

    Hello watanzania wenzangu! Ebana kabla ya kwenda kwenye point naomba nidiklee interest kuwa mimi nimeoa,nina mtoto mmoja and I am responsible father for 100%. Sasa bana, mimi ni mzee wa tungi ingawa sio wale wa kunywa hadi kubebwa,na nakunywa bia tu sio hizi double kick. So last weekend wife...
  5. JamiiForums Tanzania Nini maana ya mambo haya?

    Website inayoitwa Diagel.com ni website kubwa ambayo inaongelea masuala mbalimbali kuhusu nchi zote duniani. Inapata taarifa zake kutoka vyanzo mbalimbali vikubwa, kama vile CIA, idara ya ulinzi ya Marekani, benki ya dunia, nk. Unaweza kusoma taarifa za Bwana Diagel mwenyewe HAPA. Utagundua si...
  6. JamiiForums Tanzania Akili maana yake ni matokeo(matendo) ya kitu fulani

    Kumekuwa na mijadala mingi ambayo ikionesha maana ya akili ni nini,wameelezea na kutofautiana watu wengi juu ya nini tafsiri ya akili. Baada ya kuchukua muda wangu kidogo na kuwaza juu ya jambo hili nimeona nishee nanyi maana ya akili ambayo nimeiafiki baada ya kujadiliana na ubongo wangu...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

    Kuna Mjadara Unzazungumzwa Sana Pasi na Kuangaliwa na Kutazamwa Kwa Jicho la Ziada. Suala la Idadi kubwa ya wachezaji wa Simba SC kuitwa kwenye Timu za Taifa. Kiufupi iko hivi: Dar es Salaam Young Africans SC Ina Idadi Kubwa ya wachezaji wanaotokea katika Mataifa yaliyopiga hatua kubwa sana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania BBC msitutanie, ina maana Tanzania haina Kiongozi yoyote Mfujaji mliyemwona katika PANDORA PAPER?

    Siwezi kuamini na nitakataa mpaka Pumzi yangu ya mwisho huyu Kiongozi Mr. Smile Mswahili Pwani BBC na PANDORA PAPER yenu hamjamkuta kuwa amejilimbikizia sana Mali na Kuinyonya mno Tanzania. Kwa nimjuavyo Mr. Smile Mswahili Pwani na alivyokuwa Mjanja Mjanja huku akiwa Kazungukwa na Wapigaji...
  9. JamiiForums Tanzania Maana ya Usimulizi

    Maana ya Usimulizi Ni dhana inayoelezea utoaji wa habari au hadithi kwa kutumia mdomo au maandishi. Pia usimulizi huweza kuwa wa matukio mbalimbali kwa kuzingatia ufasaha wa Kiswahili yaani kiimbo, matamshi, sarufi na matumizi ya lugha Aina za Usimulizi (a)Usimulizi wa hadithi (b)Usimulizi...
  10. JamiiForums Tanzania Historia Na maana ya Bongo Fleva

    Bongo Flava ni jina Mbadala la muziki wa Hip hop ya Tanzania. Mtindo huu ulianzishwa kwenye miaka ya 1990, hasa ukiwa kama mwigo au utokanaji wa hip hop kutoka Marekani, ikiwa na ongezeko la athira ya muziki wa reggae, R&B, afrobeat, dancehall, na mitindo ya asili ya Kitanzania kama vile taarab...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simba tengenezeni timu acheni porojo zisizokuwa na maana

    Naona kuna kamjadala apa jukwaani kanakochagizwa na wajinga wachache ama kwa kutokuelewa au wanajua lakini wanapima kina cha maji, hii michezo ya timu pinzani kupewa motisha ya pesa kuikazia timu nyingine wahasisi wa hii michezo michafu ni simba. Tunajua mwamed alitumia pesa nyingi nje ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi wa Mbowe na wenzake: Nini maana ya "submission?". Je, ni kweli kuwa DPP ana mamlaka ya kuingilia majukumu ya mahakama?

    Jana tarehe 29/10/2021 mashahidi wa pande mbili wamemaliza kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikael Mbowe na wenzake watatu... Kesi hii ndogo imezaliwa baada ya upande wa utetezi kupinga kupokelewa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais kuongelea mno jinsia yake pengine ni kukosa washauri wa dhati na wa maana

    Mwanzoni nilidhania ni suala la muda tu kwa Rais Samia kuongelea 'uanamke' wake. Nilidhani ni sehemu ya udhaifu wake kuzungumzia wanawake ni kunyanyasika kwao, nikaona ni suala la muda tu atakuja kuachana na udhaifu huu wenye ukakasi masikioni mwa watu haswa wanaume. Ikaja hotuba ya pili, ikaja...
  14. JamiiForums Tanzania Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    "Wakili msomi" ina maana gani? Je kuna wakili "asiye msomi"? inamaanisha nini? Msaada tafadhali.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania au CHADEMA wana hatimiliki

    Nakumbuka CUF iliwai kuwa cha kikuu cha upinzani na mara tu kilipopoteza wingi wa uwakilishi bungeni hawakujiita tena chama kikuu cha upinzani walikoma. Napata tabu kukielewa chama hiki cha Democrasia na Maendeleo Chadema kina baka hadi ukuu wakati kina mbunge 1 wa kuchaguliwa. Nini tafsiri...
  16. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

    Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania mnaokimbiliaga South Afrika kuna kitu gani cha maana huko?

    Mbona ni kama wana maisha magumu tu kama sisi tena inawezekana magumu kuliko hata sisi
  18. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo la yanga ni viongozi wale wale ndio maana Matokeo yanabaki yale yale

    Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka. Mchawi wa yanga ni uongozi wa msolla na engineer. Yanga kama inataka kubadilika ni lazima waanze na kubadilisha...
  19. JamiiForums Tanzania Natamani Watu Wengi Waelewe Maana ya Hii Picha

    Tupeana maana ya hii picha?
  20. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…