Mchezaji kutapika uwanjani. Hii kiafya maana yake nini?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,961
13,590
Jana kwenye mechi ya Biashara united na Al ahal ya libya ( speling) kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani afrika, tuliona mchezaji mmoja wa Al ahal akitapika maji uwanjani.
Sababu zilizotolewa japo sio za kitaalam ni kwamba mchezaji alikunywa maji mengi, baada ya kukutana na joto kali la dar.

Mara zote nilipotapika mimi aidha nilikuwa mgonjwa au nilikunywa pombe kupitiliza.

Benchi la ufundi kwa maana ya madaktari na fittness coaches waliruhusu vp mvhezaji kunywa maji kupita kiasi mpaka kusababisha mchezaji kutapika?
Sijawahi kuona wala kusikia popote duniani mchezaji kutapika uwanjani.

Alipatwa na nini?
 
Huwa wanashikwa mpk haja kubwa inabidi watoke waende wakapunguze mzigo,kuna mwaka Rio Ferdinand aliwahi kutoka nje game inaendelea ili apate kutia kitu tumboni

Hili swala la kutapika linawatokeaga wachezaji wengi sana hasa ulaya
 
Wewe no mgeni wa mpira Kuna mechi ya Dynamo Kiev enzi hizo kina Shevchenk wanacheza walucheza na Bayern Kuna mchezaji wa Bayern baada ya kufunga goli Kama sikosei anaitwa Janka alitapika Wala hakukuwa na maneno yoyote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom