maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa kikosi hiki cha Simba SC, nawashauri mashabiki wajiandae kisaikolojia maana hawatafika popote

    Takwimu za Asec mimosa ligi kuu mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi Huku upande wa simba mambo yako hivi. Morrison Lwanga- injury Chama Mugalu kibu denis- injury Hawa ni wachezaji watakao kosekana mechi ya shirikisho zidi ya Asec mimosa. Mimi ni yanga damu ila Kusema kweli simba hawatoboi
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

    Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi. Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu. Kipindi cha ukame...
  3. JamiiForums Tanzania Wale wenye majina ya Kilatini joining muone maana ya majina yenu

  4. JamiiForums Tanzania Katika nchi ya kibepari kukaa kimya maana yake ni kukubali

    Wakati Marekani inaingia kwenye vita ya dunia, kwa mara ya kwanza ndio ikawa mwanzo wa kodi kwa raia wake sababu ikiwa ni kugharamia vita kama wanainchi wazalendo dhidi ya vitisho vya wa NAZ. Ajabu ni kwamba kodi zile zimeendelea kuwepo hata baada ya vita kuisha mpaka leo miaka mia imepita toka...
  5. JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha ya mwanadamu? Tunaishi ili iweje?

    Mungu akamuumba punda na kumwambia, “Utakuwa punda na kubeba mizigo ya kila mtu na utaishi miaka 40.” Punda akasema, "Kubeba mizigo ni sawa, lakini miaka 40 ni mingi kwangu, nipe miaka 30 tu." Mungu alitimiza matakwa yake. Mungu alimuumba mbwa na kumwambia, “Utakuwa mbwa na unachunga mali ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

    Kibatala: Unafahamu hiyo namba hapo Shahidi: naona Meseji Kwenda Kwa Mbowe tu Kibatala: Kwani Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu Shahidi: Nilitumia Mtandao wa Telegram Kibatala: Mtandao Wa Telegram Unapotumia unahitaji Mtandao Shahidi: Ndiyo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Niombeeni ndugu zangu, nina ugonjwa wa ajabu

    Nipo South Africa siku ya tatu hii. Nlikuwa narudi toka China. Nikiwa kwenye ndege First Class nikaenda wash room ndo nikagundua nimetokwa na kipele(pimple) kwenye mkono. Niliomba nishushwe South Africa wakanifanyie check up na surgery ikiwezekana. Maana naona kama kinaharibu mwonekano wangu...
  8. JamiiForums Tanzania Jeff Leah: Kwa udhaifu wa Mbao, Yanga atashinda goli nyingi maana Yanga hahitaji kuhonga nje ya uwanja

    Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation. Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani...
  9. JamiiForums Tanzania Takwimu za Uchumi wa Mikoa hazina maana kama Mikoa haijitegemei

    Sielewi hizi takwimu ya kipato cha Mikoa kinachotolewa zina lengo gani haswa, je ni kuonyesha Mkoa upi ni masikini zaidi ya mwingine au ni nini? Na kama ndiyo je, tukishajua Mkoa fulani ni masikini then what ? Nini kinafwatia? Tunafanya nini sasa na hizo namba? Kwangu mimi ingeleta maana kama...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana kwa kutumia waganga wa jadi?

    Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi. Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi? Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ukimtongoza mwanamke halafu akakujibu hivi, anakua na maana gani?

    Mfano umempiga manzi sound, afu akakujibu NO COMMENT anakua na maana gani exactly?
  12. JamiiForums Tanzania Rushwa haina madhara yoyote ya maana kwa maendeleo ya nchi

    Tunapiga vita rushwa hadi tumeiundia taasisi. Na wengine wanasema nchi za Africa haziendelei sababu ya rushwa. Hili suala limefanyiwa utafiti na limeonekana halina ukweli. Imeonekana kuwa mtu anapokula rushwa na kuwekeza kwenye uchumi huo huo kunakuwa hakuna madhara yoyote ya maana kwenye...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Technology: Maana ya cryptocurrency, metaverse na nft

    Watu wengi nimekuwa nikisoma thread zao humu kuhusiana na cryptocurrency, METAVERSE na NFT Nimegundua vitu vifuatavyo 1. Watu wengi wamepitia changamoto nyingi sana katika utafutaji wao hasa online Hustler kiasi kwamba wameibiwa pesa zao na Kisha kupoteza matumaini Tena za vitu vyovyote...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Bora TANESCO Muache kutangaza makato ya umeme, maana ni kila siku

    Lazma mjielewe TANESCO Mtangaze msitangaze lazma mkate umeme, kitu kinachopaswa kutangazwa ni kile kinachotokea kwa nadra sana, Sasa nyie kila siku mnakata umeme, acheni kututangazia fanyeni kazi zenu ukiwepo sawa hata usipokuwepo sawa. Mnatumia mamilioni kila siku kutangaza makatizo ya umeme...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaofanya kwenye NGOs, nini maana ya Transitional Track Partners?

    Wale mnaofanya kazi kwenye NGO naomba mnisaidie maana ya hii term "Transitional Track Partners". Kuna sehemu nimeulizwa nikashindwa hata kufungua mdomo. Hata google nimetazama siioni.
  16. JamiiForums Tanzania Ina maana hawa wanaovaa makanga na matisheti ya CCM wakati wa kampeni CCM sio mali yao? Ni mali ya wajanja wa mjini

    Hii sasa ni kali, kumbe hawa akina mama na akina baba huwa ni mazoba tu na huwa wanawasindikiza wenye chama chao?
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

    1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze 2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji 3. Jafo Mbunge wa Kisarawe 4. Kipanga Mbunge wa Mafia 5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ni kina Nani makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu walioteuliwa leo 08/01/2022 Kama kweli uteuzi huu umefanyika maana sijabahatika kuwaona

    Kichwa Cha habari chahusika
  19. T

    JamiiForums Tanzania Enyi mawaziri na wabunge nini maana ya makofi na kushangilia

    Imekuwa desturi yenu kila anapohutubia mmoja wa mhimili mnapiga makofi nakushangilia huku mkiimba Tunaimani na Fulani. Huwa mnachambua hotuba zao? Mmekuwa kama watoto kupiga makofi. Rais akimchamba Spika mnashangilia, mkiwa bungeni Spika akiongea ushenzi kwa serikali mnashangilia. Nyie ni ndege...
  20. JamiiForums Tanzania Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…