Tizama Mbowe anavyofurahia safari za Ikulu. Haonekani kuwa Serious Ndo Maana hata Mazungumzo ya huko yanakosa Tija

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,514
Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...

Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?

Yaani hata Samia anamshinda amechora uso wa u serious. Yeye anacheka cheka kila wakati. Anafurahia kwenda Ikulu kupiga picha? Matokeo yake wanayapuuzia hata wanayokubaliana. Mtoto wa kiume unatakiwa kuwa serious kwenye mambo ya msingi.

Baadaye muanze kulalamika kuwa mambo yenu hayatimizwi. Yatatimizwa vipi hamwoneshi kuwa serious. Unapataje muda wa kutabasamu katika hali ya kizungumzuki kama hii kwenye nchi.

Screenshot_20220521-055749~2.png

Screenshot_20220521-055801~2.png
 
View attachment 2233089

View attachment 2233091
Hivi kuwa serious ni kuonekana umenuna au umekunja uso.
 
Bahati mbaya yeye siyo muwakilishi wa sukuma gang maana hao ndiyo wenye roho za kikatili kama za kirundi. Kwa wanaye mjua Mbowe toka kitambo ni mashahidi kwamba huyu bwana ni MTU NA NUSU. Uwezo wake kisiasa upo juu kuliko mtanzania yoyote katika kipindi cha 10 hadi 15 iliyopita na kinachofanyika sasa hivi ni nguvu na ubabe wa vyombo vya dola tu na uharamia wa kutenda haramu ili kubaki madarakani.
 
Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...

Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?

Yaani hata Samia anamshinda amechora uso wa u serious. Yeye anacheka cheka kila wakati. Anafurahia kwenda Ikulu kupiga picha? Matokeo yake wanayapuuzia hata wanayokubaliana. Mtoto wa kiume unatakiwa kuwa serious kwenye mambo ya msingi.

Baadaye muanze kulalamika kuwa mambo yenu hayatimizwi. Yatatimizwa vipi hamwoneshi kuwa serious. Unapataje muda wa kutabasamu katika hali ya kizungumzuki kama hii kwenye nchi.

View attachment 2233089

View attachment 2233091
Ujinga huu.
 
Naona leo jamii forum ni nyuzi za CHADEMA tu.
 
Tabasamu la Mbowe huwa linawatesa sana vijana wa uvccm mliokuwa mmepandikizwa roho mbaya ya chuki. Mbowe hajawahi kuwa na sura ya huzuni hata wakati yuko katikati ya mateso ya kutuhumiwa ugaidi. siku zite ni mtu wa furaha na tabasamu.
 
Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...

Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?

Yaani hata Samia anamshinda amechora uso wa u serious. Yeye anacheka cheka kila wakati. Anafurahia kwenda Ikulu kupiga picha? Matokeo yake wanayapuuzia hata wanayokubaliana. Mtoto wa kiume unatakiwa kuwa serious kwenye mambo ya msingi.

Baadaye muanze kulalamika kuwa mambo yenu hayatimizwi. Yatatimizwa vipi hamwoneshi kuwa serious. Unapataje muda wa kutabasamu katika hali ya kizungumzuki kama hii kwenye nchi.

View attachment 2233089

View attachment 2233091
Kinyesi brain, umetumwa na maccm dog fart
 
Back
Top Bottom