maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siasa za kiunaharakati wanazozifanya CHADEMA ni zipi? Ebu tuelezeni tuelewe. Maana wanapinga uovu na ufisadi na wanataka kusaidia taifa lao.

    Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati. Harakati hizo ni zipi? Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo ni unaharaki? Ni wakati wa kuleta mabadiliko.
  2. JamiiForums Tanzania Ijue maana ya uzalendo

    "Watu huwa wanadhani uzalendo ni kuitetea serikali iliyoko madarakani. Uzalendo ni kulitetea taifa kwa sababu serikali zinaingia na kutoka, lakini nchi iko pale pale." - Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo
  3. JamiiForums Tanzania Kombo: Rais Samia amesemwa na kuchorwa sana baada ya uchaguzi, wakati amefanya kazi kubwa kutulinda kuwa na uhai

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi, wakati rais alifanya kazi kubwa ya kikatiba...
  4. L

    JamiiForums Tanzania CCM Tulimuacha Msigwa ajikaange Kwa Mafuta Yake Mwenyewe na Ndio Maana tulimzungusha Maeneo Mbalimbali Nchini. Ogopa Mungu na Teknolojia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama chenye akili kubwa sana ,ni chama chenye uwezo mkubwa sana wa kijasusi na mbinu za kijasusi na kijeshi . CCM ndio Maana inaitwa chama kiongozi Barani Afrika,ndio maana imeendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi na itaendelea kuongoza Taifa hili Mpaka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mwanza airport inapewa bajeti ndogo kana kwamba mchango wake hauna maana ?

  6. JamiiForums Tanzania Zebra crossings hazina maana tena, zimebaki kama maonyesho tu

    Ni nadra sana katika sehemu nyingi zenye Zebra crossings ambazo hakuna traffic police karibu kukuta madereva wa magari, Bajaji au Bodaboda wakiheshimu na kuruhusu watembea kwa miguu kuvuka. Ni wakati sasas serikali ijikite kujenga madaraja ya juu tu kuvukia badala ya hizi zebra crossings za...
  7. JamiiForums Tanzania Unaanzaje kuita nyumba ya mwenzio kibanda na haina wadhifa wa nyumba eti kisa ni ndogo sana, kwani nini maana ya nyumba? Analea familia na sio gesti.

    Toa miguu hio uliyoweka kwenye kochi la shemeji yako ukisubiria tamthilia ya kobis. Weka hio simu pembeni ambayo una like picha za sponsor wako huku ukiwa umekaa geto wenzako wako ground wanahangaika. Alafu, Uoneshe definition inayotambulika duniani ya nyumba inavyotakiwa kuwa. Yani mwamba...
  8. JamiiForums Tanzania NINI MAANA YA SUNNAH?

    Assalam alaykum Watu wengi wakisikia neno “Sunnah” hudhani ni jambo la hiari lisilo na umuhimu mkubwa katika dini. Wengine hudhani Sunnah ni mavazi fulani au muonekano pekee. Ukweli ni kwamba Sunnah ni sehemu muhimu sana ya Uislamu, na kuipuuza Sunnah ni hatari kubwa kwa dini ya mtu. Maana ya...
  9. JamiiForums Tanzania Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa

    Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa. Hakuna waafrika pakukimbilia afrika kila sehemu afrika ni kama ring tone zina fanana kwa ujinga wao. Hivi mnajua zile muvi za zombie ujumbe ulikuwa afrika itakuwa kama zombies na control na vikundi vya zombie wenye unafuu. Hii ripoti msije...
  10. JamiiForums Tanzania Ina maana mpaka zile pingu ni za kisasa zikaenda kufunguliwa polisi.Na kwa nini walipigiwa simu na polisi

    Polisi wanataka kujichunguza wakati ndio wenye nyenzo. Mi navyo mjua kamanda muriro na wengine Ma RPC wanavyopenda sifa za kuita vyombo vya habari kutoa ripoti za matukio mbona kama wapo kimya. Kwa jinsi jeshi la polisi linavyojipeleka mda sio mchache sijui kama 2030 inafika kuna watu naona...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nimetuma maombi ya uhamisho Ofisi ya UTUMISHI, miezi mitano hakuna jibu, nini maana ya kuleta mifumo ya Kidigitali?

    Kero yangu ni hii Ofisi ya Utumishi, nimewasilisha ombi la uhamisho zaidi ya miezi sita sasa likapita ngazi zote ndani ya mwezi mmoja, hii ni ngazi ya mwisho kabisa ya maamuzi lakini miezi kama mitano wako kimya, hawajibu chochote umepata umekosa au kuna kasoro yoyote. Je, hii mifumo imekuja...
  12. JamiiForums Tanzania Nini maana ya neno "Mtambuka"

    Naomba msaada wa kiswahili: nifahamishemi kwa lugha nyepesi sana maana ya neno "Mtambuka" Nimeskiliza jamaa huyun hapa chini, bado sikuweza kumwelewa sawasawa. Kuna rafiki yangu mzuri sana hapa anaitwa Magonjwa Mtambuka ; nadhani atanisaidia https://news.un.org/sw/audio/2018/04/1012302
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume Wengi ni wanyanyasaji. Ndio Maana Kila Siku nawaambia mabinti mjitegemee. Endeleeni kunikaidi

    Hamjambo! 1. Aiseeh! Haya! Kuna watu vichwa vya gunzi. Wagumu Sana kunielewa. 2. Kazi Yangu ni kuwapa Doctrines za kubadilisha akili zenu hizo. Najua kuna watu vichwa ngumu. Ngumu Sana lakini tutaelewana. 3. Ninapowaambia wadada acheni akili za utegemezi sio kwamba ninawaonea Wivu mbuzi...
  14. JamiiForums Tanzania rita hongera kuifanya BSS kuwa east africa wise ila ingefaa ionekane DSTV maana inatazamwa Africa nzima, hapo azam ni watalaam wa etugru uswahilini

    Kura zingepigwa fairly na squarely kutoka kwa wana EA kila mahalai ila hii ya azam kura zitaishia kulimbikizwa kwa wabongo hata kama hawajui.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni nini maana Halisi ya "Kuchapa Mikwaju"?

    Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni. Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana! Watoto...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya uzalendo

    MAANA YA UZALENDO 1. Tafsiri Rahisi - Upendo na kujitoa kwa ajili ya nchi yako 2. Mambo Makuu Ya Uzalendo Kupenda nchi yako bila kujali serikali iliyopo Kuweka maslahi ya Taifa mbele ya maslahi binafsi Kutetea uhuru, mipaka na heshima ya nchi Kuheshimu bendera, wimbo wa Taifa na katiba Kulipa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mungu alifanya kazi siku sita ya saba akapumzika! Ina maana alichoka si ndio?

    Kusema akapumzika maana yake kazi ilikuwa ngumu sana ikamchosha hivyo ikamlazimu apumzike tena maandiko yanasema akastarehe kwa sasa tunaweza kusema akala Bata (BATA BATANI) Mwanzo2:1-3. Au Ninyi huwa mnaelewaje wajuvi wa maandiko? Ninachojifunza kupumzisha mwili na akili ni jambo la msingi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa upande wako, nini maana ya kufanikiwa kimaisha?

    Tema cheche💥
  19. JamiiForums Tanzania Wasabato mnaofanya kazi siku ya sabato ni kwamba Amri ya 4 hamuijui au mwafanya makusudi?

    Kutoka 20:8-11 Ina waamru wasabato wote kutokufanya kazi yoyote Ile yeye wala mke wake,watoto wala wafanyakazi wake zamani wakiitwa watumwa. Ikaenda mbali ikasema hata punda wa msabato imeandikwa asifanye kazi yoyote kwa mujibu wa amri hiyo. Ajabu ni kwamba wasabato wanatuhubiria sana kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kusudi kuu la maisha ni balance (uwiano) na survival. Raha inakuwa fupi kwa maana unajaribu kusavaivu na tabu inakuwa ndefu ili ku-extend uwiano

    Hata ufanye nini asili itakugusa tu, uzembe wa wengine utagusa hata uwe makini kiasi gani, raha itakupata tu kwa wakati fulani na shida itakupata ili wengine wapate raha. LIFE
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…