maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama unasoma au unataka kufanya biashara, usifuate maneno ya wanasiasa

    Hii kasumba ya Watanzania kukimbilia kusoma masomo ya science eti kwa sababu umeambia na mwanasiasa, mtaishia Kupata majuto Makubwa. Au unaanzisha Biashara eti kwa sababu umeambiwa na mwana-siasa utaishia kupata stress. Sera za nchi yetu hazitabiriki na sio endelevu. Soma kitu kwa utashi wako...
  2. JamiiForums Tanzania Uzinzi limekuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu, laana hii itatuingiza kwenye majanga makubwa ndio maana mvua hazinyeshi

    Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi. Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi...
  3. JamiiForums Tanzania Nini maana ya hii "Ngozi ya chini inayoshikiria jicho kucheza"?

    Habari, Napenda ulizia kwa anaejua nini na dhamira ipi inayoonyesha hivi kuwa, sehemu ya jicho kwa chini. Yaani ngozi inayobeba jicho, kucheza ina ashiria nini vile na nini dhamira yake?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wana MMU wenzangu tutumie jukwaa letu vizuri maana Rais huwa anapita huku

    Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF. Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa. Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.
  5. JamiiForums Tanzania Jamani hizi ndoto huwa Zina maana gani?

    Kuna muda unaweza kuota ndoto zingine za ajabu Sana mpaka ukaanza kujiuliza imekuwaje kuwaje mpaka ukaota ndoto ya hivi? Imagine unaota unafanya mapenzi na mtu unayemheshimu Sana.Anaweza kuwa boss wako,mwalimu wako au mke wa mtu na unamheshimu Sana,Yaani Sana tu na hujawahi fikiria hata siku...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Bashe jiuzulu kulinda heshima yako; wanaokuhujumu wanatumwa na mahasimu wako

    Njombe yametokea matukio mawili ya kujumu wakulima katika eneo la Mbolea. Wasambazaji wa Mbolea badala ya kupeleka Mbolea wanasambaza maelfu ya magunia ya mchanga na vitu vinavyofanana na mchanga. Polisi wanaambiwa wachunguze wanasema sample zinasubiri majibu maana yake pamoja na Waziri...
  7. JamiiForums Tanzania Hali tete Ukraine waanza kutumia vikongwe na watoto. Wagner Group yamtaka Zelensky atangaze kuipoteza Bakhmut maana hali ni tete

    Mkuu wa kampuni ya masuala ya kijeshi nchini Urusi, Wagner Group, amesema wapiganaji wake wameuzunguka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, ambao Urusi imekuwa ikijaribu kuutwaa kwa miezi kadhaa sasa. Kufikia asubuhi ya Ijumaa (Machi 3), Yevgeny Prigozhin alisema sehemu pekee ambayo haikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Meditation: Maana, njia na faida zake

    Meditation ni mazoezi ya akili ambayo hutumiwa kufikia utulivu wa ndani na kuboresha hali ya kisaikolojia. Ni mazoezi ya kimwili na kiakili yanayojumuisha kutulia kwa muda, kuzingatia mawazo au pumzi, na kuachilia hisia na mawazo yasiyofaa. Kwa kawaida, meditation inalenga katika kupunguza...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali na taasisi zenu, nini maana ya kuweka namba za simu kwenye tovuti zenu?

    Manamba hayapatikani wiki nzima, yakipatikana yanaita weeee bila kupokelewa. Hivi Huwa mnaweka namba za ofisi, au zamtu binafsi ila anachoka kuwasaidia Watanzania? Mnakera sana wapuuzi nyinyi. Mtu Unahitaji msaada muhimu sana ,,lakini manamba hayapatikan wiki nzima? Mnakula tu Jasho la...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya wananchi Tuwe tunapitia hiyo mikataba inayosahini serikali

    Madeni wanakopa wao afu madeni tunalipa sisi kulikoni?
  11. JamiiForums Tanzania Tuna Viongozi wenye njaa kali ndo maana wakiingia madarakani wanaanza kujibrand kwanza

    📌 Taifa letu hapo ndipo Tunapokwama kila kiongozi njaa kali. Mtu anazurura Kwenye chama miaka nenda rudi hafanyi kazi ajishughurishi siku akapewa kitengo Taifa analifanya lake. VIONGOZI WOTE NJAA KALI.. CHA MSINGI KIJANA PAMBANA PIGA KAZI.
  12. JamiiForums Tanzania Mnakomaa kwa kelele kibao kwa kiofisi kama hiki, jengeni jengo la maana kama wenzenu ACT Wazalendo

    Kelele kibao kwa kiofisi kama hiki?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kila akisifia mazuri yaliyofanywa na Hayati Magufuli; Nderemo, shangwe na makofi hutawala. Hii ina maana gani?

    Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo; Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni

    ZINGATIA: Hakuna mafanikio yanayokuja kiurahisi, utahitaji juhudi, muda, uvumilivu na kujifunza Zaidi mpaka kupata matokea hivyo usitegemee kupata matokeo ya haraka unapoanza kufanya ishu yoyote mtandaoni. Haya tuangalie njia hizi..... 1. Uhandishi wa maudhui mtandaoni (Online Content...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali: Mfumuko wa Bei za Vyakula na Vinywaji bado ni Himilivu

    OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kwamba mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi unatarajiwa kupungua kwa asilimia moja katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu. Pia imesema mfumuko wa bei kwa ujumla unahimilika kwa kuwa bado uko kwenye tarakimu moja. Mtakwimu...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Vitambulisho vya Taifa kutokubalika kwenye matumizi sehemu nyingi au kutokuwa na maana sehemu tofauti

    Unasajiri laini ya simu kwa NIDA ila cha kushangaza wanakuwekea ndani ya miezi mitatu imefutwa. Unaenda kuomba mkopo benki lakini kitambulisho cha NIDA ni kama umepeleka Passport tu kwa nijuavyo. Suala la kitambulisho cha taifa tulivolichukulia kiukweli tumekosea kiwango kikubwa tena...
  17. JamiiForums Tanzania Tunawashukuru watu ambao mmeoa maana hata sisi tunafaidika mabachela tusio na kitu

    Endeleeni kuoa vijana , wake za watu sio wachoyo kabisa ngumu akubanie alichopewa bure labana awalinde pia endeleeni kuhudumia vizuri na sisi tule minofu .
  18. JamiiForums Tanzania Coding, programming, software development na software engineering nini maana yake na utofauti

    CODING Coding inahusisha uandishi wa maelekezo fulani kwa lugha ambayo inaeleweka na kompyuta. Lugha hizo ni kama python, C, C++ n.k. Lakini pia coder anaweza kua na uzoefu na scripting kama vile bash scripting n.k. Kwa ujumla coder anatakiwa kua na skills zifuatazo ama zaidi ya hizi baadhi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji Tanga; Rais Samia tusaidie, Waziri Aweso ameshindwa kuingilia kati

    Siku ya kumi hakuna maji (ukiacha sehemu ndogo za "wakubwa"). Hatuna maji. Almost the whole of Tanga city is with no water! Dar yalipokosekana, viongozi waliandamana kwenda Ruvu. Hapa hakuna lolote wala taarifa hawatupi kuna nini
  20. JamiiForums Tanzania Siasa za kujaza matumbo zinawasumbua CHADEMA mnawaza kurudi Bungeni maana mlishageuza ajira

    Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi. Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…