Kwa wanaojua maotea, nashangaa yanapotea. Nini maana yake?

Oct 4, 2022
90
82
Hili tatizo nimedunu nalo kitambo sasa yapata miaka 13, nilipoona yanaota vijinyama kwenye zakari (uume).

Hili tatizo ni serious na kwa kweli kama ni gonjwa la zinaa mimi sijui, niliona tu yanaota yapata miaka ya 2000. Sikuwahi kufanya ngono zembe kwa maana tusiamini sana kondomu. Nina Watoto wengi tu na nilikuwa nikifurahia tendo hadi sasa.

Wiki mbili zilizopita nilishangaa ukubwa ya vinyama vinavyowasha tu kwa muda mfupi na huwa sisikii maumivu yoyote, labda nikikitaka napata maumivu makali kama MTU aliyejeruhiwa tu. kwaiyo nimekuwa nikichukulia kama sehemu ya maumbile yangu.
 
Hii si pich Yangu.....yangu ilikuwa inatisha hata nilipata hofu ya kupata matatizo makubwa zaidi. Tatizo lilipkuwa kubwa warts zilisambaa mbele kote na kama nikishiriki Tena mwanamke hupata ashiki Sana Kwa sababu maotea yanakuwa kama vipele so akikunika anai injoi na mademu walikuwa wakipenda Sana.

Mwanamkymmj alitaka tufanye kavu Ili apate vipele kama vyote lkn nilikataa. Emergine mashine kwenye socks lkn mAmbo ni matamu.

Siku chache hizi naona ni alama tu hakuna vipele vya warts tena.

Nilifanya nini hata vikaPotea Kwa kweli sijui. Ila Life style yangu ni kama ifuatavyo.

1. Kuhakikisha nakula vzr
. Hawa ni virusi Kwa hiyo kinga ya mwili nadhani inahusika zaidi.

2. Niliacha kabisa masuala ya ngono na kama ikiwa na ulazima kondomu inahusika.

3. Napenda Sana aina ya vyakula vinavyo chachua kinga. Kinga naiboost Sana na vyakula husika.

4. Nasugua Sana maeneo husika ila kiukweli. Kwenye zakari nasugua kidoooogo tu sijiumize mashine ya watu 😁.

5 Kwa kuwa haya maeneo ukikoga Kuna possibility kubwa Kubaki na maji(wet) mafuta vyema na kupaka dawa ya unti fung ..zipo za aina mbalimbali.

6. Matumda mbalimbali ikiwa ni pamoja na jamii ya lemon, mapapai, maparachichi, watermelon nk.

7. Ni ugonjwa unaokera, kama unaweza ukaviungiza Kwa kutumia stick flan wauza maduka ya dawa, japo sio effective Sana.

8. Take your time, don't trust anyone. Be calmed pray, be neat and updated

Ghafla nimeona vimepotea. Lkn Kuna maelekezo kuwa huweza kurejea Kwa naomba Mungu vipotee kabisa. Amin
 
Mara nyingi nafuatilia maandiko na kuchukua tahadhari.
Screenshot_20221009-150930.jpg
Screenshot_20221009-150528.jpg

Haya yanakera sana
 

Attachments

  • Screenshot_20221009-150631.jpg
    Screenshot_20221009-150631.jpg
    23.6 KB · Views: 8

Similar Discussions

Back
Top Bottom