Jaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo ilipangwa deadline kuwa tarehe 02/03/2023 lkn hadi leo tarehe 03/04/2023 hamna jambo.hivi...
Hivi hii michuano ya kimataifa inayochezwa na yanga na Simba ni Ile Ile au ni mashindano tofauti? Naomba ufafanuzi na hii dhana ya looser inakaaje? Nini tofauti ya shirikisho na club bingwa? Na je huko mbele Kuna mahali watakutana?
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi pikipiki 100 zenye thamani ya sh. milioni 260 kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa ili wazitumie kufanya biashara ya usafirishaji.
Akizungumza na vijana wa Ruangwa kwenye hafla ya kukabidhi pikipiki hizo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya CWT...
Nadharia Njama (Consipirancy Theory) ni hali ya kuamini kwamba kuna taasisi au watu fulani wanahusika kufanya jambo fulani la siri kwa faida yao. Lakini pia inawezekana ikawa ni hoja fikirishi ya kutungwa dhidi ya kitu fulani lakini hoja yenyewe isiwe ya kweli.
Siku moja miaka ya themanini...
Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu kulalamika katika mkutano kwamba wahuni wanamzunguka wanaiba fedha za uma ilihali anawamudu haileti maana kabisa.
Miradi yote katika kila wizara inafahamika ni nani anahidhinisha pesa kwa hatua ya mwisho
Mikataba yote inaeleweka ni lazima ipite kwa mwanasheria...
Kutongoza sio kusifia tu au kujionesha kiasi gani unaweza kumtunza mwanamke.
Wengi huanza kuonesha kumjali mwanamke kwa pesa. Ubaya wake ni kwamba unamfundisha mwanamke ajali pesa yako tu. Na wanawake wengi skuizi wamezoeshwa hivi.
Wanawafundusha wanawake uchunaji.
Wengine wanakesha mtandaoni...
Ninapotazama majira ya leo kitu nashangaa ni maisha ya mtu mweusi, 90% lengo lake la kuzaliwa ni kuja kuujaza ulimwengu na sio kuendeleza Diunia.
Yaani Maisha yetu watu weusi hayana maana!
Yaani unasoma, unamaliza unaajiriwa au unajiajiri, unaoa au kuolewa, unajenga nyumba na kununua gari...
Kumekuwa na maneno mengi ya kejeli na visasi kwa wanasiasa ambao hatunao tena. Masikini wa Mungu hao wanasiasa ambao hatunao tena ukiaangali kwa makini unagunduwa walichokuwa wakikitekeleza ni kwa manufaa yao wenyewe na sera zao sema tu chuki na visasi vinalitesa Taifa.
Mtu anadiriki kusema...
Salaam ndugu Wana JF,
Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF.
Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii.
Twende kwenye hoja..
Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara...
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.
Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.
Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe...
Pamoja na kwamba taifa letu limewahi kuwa na viongozi katika ngazi ya Urais ambao wameishatangulia mbele ya haki! Kikatiba kumbukizi linalopelekea siku ya mapumziko ni kwa waasisi wa taifa letu (Nyerere & Karume).
Hata hivyo siku ya tarehe 17 March kila mwaka, ni siku ya majonzi kwa watanzania...
Raia 2643 Kutoka kongo-DRC wameingia mkoni kwetu Kigoma kuomba hifadhi kutokana na machafuko ya vita yanayoendelea nchini kwao baina ya jeshi la nchi hiyo na waasi wa M23...
Tembea uone/ishi na watu au jamii tofauti ujifunze wabongo wengi au Watanzania kakulia kariakoo ndo hapo mpka mwisho wa tamati. Afu kila siku anaongea mambo yale yale.
👤 Watanzania asilimia kubwa ambao akili zao ni mgando wanachukua tabia zetu za mazoea na kuja nazo south Africa.
Uku...
Hii kasumba ya Watanzania kukimbilia kusoma masomo ya science eti kwa sababu umeambia na mwanasiasa, mtaishia Kupata majuto Makubwa.
Au unaanzisha Biashara eti kwa sababu umeambiwa na mwana-siasa utaishia kupata stress.
Sera za nchi yetu hazitabiriki na sio endelevu.
Soma kitu kwa utashi wako...
Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi.
Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi...
Habari,
Napenda ulizia kwa anaejua nini na dhamira ipi inayoonyesha hivi kuwa, sehemu ya jicho kwa chini. Yaani ngozi inayobeba jicho, kucheza ina ashiria nini vile na nini dhamira yake?
Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF.
Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa.
Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.