"Siku ukijua maana ya Elimu utaacha kujiona bora kuliko wenzako ,kutwa kukosoa wenzako na cha kuigwa huna katika Maisha yako"
....... Habari zenu wanajukwaa....
Kuna baadhi ya members wa jukwaa hili naomba niwaulize swali moja (JamiiForums) kwanini ilianzisha ukurusa wake kwenye mitandao ya...
Miaka yote sijawahi kujua maana ya amri ya SITA wengi watashangaa sana ila ndio ukweli , .
Lala na mume wako tu tofauti na hapo utapata shida ambazo ndio tunaenda Kwa waganga kutolewa nuksi ,vifungo , na nyota unakuta unatumiwa , kitendo Cha kulala na mwanaume ambaye umekutananaye tu Kwa sababu...
Morng African.
Kuna ndoto imekuwa inanijia mara kwa mara lakini sijui maana yake naomba msaada kwa anaejua.
Jana nimeota narudi kazini pale ambapo niliacha mweenyewe na ujio wangu wa kurudi pale boss anaonekana kufurahia wafanya kazi wezangu nao wanafurahi sana lakini sijawaelewa.
Mara...
Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu.
..Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana.
👇
Lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu wanatokea familia za aina gani ? utagundua familia hizo ni za walevi au...
Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.
Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.
Inaelezwa kuwa mahakama...
achraf hakimi
duniani
hiba abouk
hii
internet
jifunzeni
kavunja
kisa
kisheria
kitu
kudai
kukwepa
maana
mali
mama yake
mchezaji
mchumba
mke
mke wake
mtu
ndoa
paris saint-german
siku
single
talaka
tuna
utajiri
wake
wake zenu
wanawake
Imekua kawaida kila mechi unapoibuka mjadala wa Feisal Yanga imekua ikipata ushindi wa kishindo
Mechi ya Azam na mechi za CAFCC zote zilizotanguliwa na mijadala hii zimekua za neema nyingi kunako club hii ya jangwani
Sasa mjadala huu umeibuka tena kuelekea mechi ya dabi baina ya Simba na...
Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini.
Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report.
Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali.
DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na...
Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,
Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:
Mtu anafariki , anahifadhiwa...
Iko wapi maana ya Msanii kuwa ni kioo cha jamii, Wasanii wa kileo ndo basi tena tena hawa wabana pua ndo kabisa.
Ndo maana wabana pua sijaona hata mmoja ambaye anaweza kuingia hata kwenye siasa maana wakiingia kwa siasa muda wote ni kuzungumzia mapenzi.
Serikali mbali na kuweka wizara ya...
Habari wajukwaa, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kichwChcha uzi kinavyoeleza hivi maana ya usemi huo hapo juu una maana gani? Na je, kuna uhusiano na maisha yetu ya Kila siku?
Nimekua nikiusikia watu wengi wakiutumia kwa mazoea pasina kujua maana maana halisi...
Wewe ni Mvulana au Mwanaume.?
Kuna ukweli mchungu inapokuja kwenye kubadirika kutoka Mvulana kwenda Mwanaume na umri hauhusiani na hilo.
Ni ngumu katika kubadirika kutoka Mvulana na kuwa Mwanaume. Lakini pia jamii ya sasa inafanya hili kuwa ni ngumu zaidi.
Jamii ya sasa inajaribu...
yaani asikudanganye mtu eti kutoa ni moyo, hapana, narudia tena hapana, kutoa ni kujilazimisha bila kujilazimisha huwezi kutoa,
Mimi nilikuwa na rafiki yangu alikuja akiwa na shida ya simu yake mbovu lakini kwa kipindi kile ilikuwa ni masika kwahiyo isingewezekana yeye kupata simu kwa wakati...
Ni miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza kupoint out kwamba jambo hili limegusa maisha ya watanzania wa hali zote? Je, kuna nia ya dhati na...
Naombeni ushauri namna ya kuongeza imani yangu kwa haya mashirika wadhibiti ubora!
Yamkini wanafanya kazi nzuri sana lakini imani yangu kwao ilishakufa kabisa!
Yaani ni mara mia uniambie hiki kitu ni bora kwa reference zingine tofauti na haya mashirika ya ubora tz!.
Kila nikiona nembo ya...
Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM.
Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa.
Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki
Najua wanaChadema wengi...
Kwanza kabisa niwashukuru wana jamiiforms kwa kunifumbulia maana ya ndoto hii, ukweli upo hivi, toka nianze maisha na make wangu sijawahi chepuka nje na mke wangu ni miaka miwili sasa imepita, na watu wengi mpaka ndani ya familia yangu wananisifiaga kuwa Mimi ni mtu wa pekee sana kwani sipo kama...
Kwanza kabisa nilikuwa juu ya jengo la ghorofa 4 nikiwa uchi kama nilivozaliwa, sasa wakati nashuka zile ngazi zilikuwa ni zile zinakaaga nje kwa pembeni, cha ajabu hizo ngazi hazikuwa za kawaida yaani ni nyembamba mno kiasi ya kwamba ili uzishuke lazima uwe umegeuzia tumbo ukutani na ushikilie...
Ukiitwa Abubakar...unajiona wewe umemaliza, ukiitwa petro unaona hakuna jina hilo andiko gani linasema majina ya kiarabu au ya kizungu ndo mazuri na yanafaa watu kuwa nayo.
Uzuzu mbaya sana hii inaleta sana (historia kidogo hapa Tanganyika kabla ya tanzania watu waliokuwa na majina ya kiarabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.