maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana nipo njia panda

    Habari zenu Bila kupoteza muda Mimi naishi jijini Arusha, nimetokea kuwa katika Mahusiano na kadada kamoja hapa hapa Arusha. Mahusiano bado hayajawa deep kwani tuna muda mchache kama miezi minne. Kikubwa kilichonivutia Kwa huyu dada ni kwamba ni mpole, mkarimu pia ana hofu Sana na Mungu(huyu...
  2. JamiiForums Tanzania SINEMA: Hili tukio lilikuwa na maana gani, hapo kwa Nabii Geo Dave?

    📍Kisongo - Arusha. Jamaa ana kaulu yake flani hivi anakwambia faidi vinono vya duniani kwanza kabla hujaiona mbingu. Hapo kwenye kipande cha sinema kuna mabinti itakuwa warembo hao, wanapita mbele ya kadamnasi wakinesa kama kwenye majukwaa ya mamiss. Yule mwamba kakaa mbele mwenyewe anapita...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maeno "will" na "may" hayana maana sawa kisheria. Mwanasheria alipitiwa.

  4. JamiiForums Tanzania Kutuweka Roho Juu wana Yanga SC kuwa anasajiliwa Mtu wa maana kumbe ni Mchovu Kibabage ni Kututukana wana Yanga SC

    Na GENTAMIYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa? Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tunamtaka haraka Fabrice Ngoma wa Al Hilal FC na asipotua Yanga SC Kwetu tunakuomba Uondoke Yanga SC au Mimi GENTAMIYCINE kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Msigwa kumnyima nafasi Peter Madeleka, na kusema list ya wauliza maswali ina maana gani?

    Katika Clubhouse inayoendelea kuhusu mjadala wa Bandari unaoongoza na Habari Maelezo, huku moderator akiwa ni Peter Msigwa, hali imekuwa tete baada ya Peter Madeleka kutaka kuuliza swali ambapo Msigwa ameshutumu Madeleka kutumia utambulisho usio wake, hata hivyo Madeleka alisema ametumia jina...
  6. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea ni maana halisi ya Uhuru WA kutoa Maoni

    Habari wakuu! Hichi kinachoendelea ni moja ya Maendeleo makubwa ambayo Kwa awamu ya tano isingewezekana, serikali ipongezwe Kwa kurejesha Maendeleo haya ya Watu kuwa Huru. Kimsingi nchi inaamani, inautulivu, Watu wanaparangana na kutoa Maoni Yao Kwa Amani bila ya hofu. Unajua kuna Watu wanaweza...
  7. JamiiForums Tanzania Kama waziri Mwigulu anakataa kuwa pesa hazijaibiwa serikalini, ina maana kuwa anapingana na ripoti ya CAG?

    Wakati akifunga mjadala wa bajeti ya wizara ya Fedha ya mwaka 2023/2024 waziri Mwigulu alinukuliwa akiwaambia wabunge kuwa, kama ripoti ya CAG inadai kuwa pesa nyingi zimeibiwa serikalini, je pesa yote anayoitoa Rais Samia kwenye miradi mbalimbali nchini, angezitoa wapi, iwapo pesa nyingi...
  8. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu ngoma ya Forever Young ya Jay Z alikuwa na maana gani?

    Nadhani watu wengi wanajua kwamba wimbo wa Forever Young, Jigga alimaanisha kwamba hazeeki, still ana muonekano wa ujana. Yes hii ndio maana inayojulikana na wengi sana huko mtaani, hebu tusome wote hapa; Jay Z ajitangazia kuishi milele ☆ Naomba niwakumbushe tu kuelewa Kingereza,na kuelewa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutadharau ushauri, maoni na maeneo yenye hofu kuhusu makataba wa bandari

    MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI --- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu Majaliwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

    Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu. Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo? They are acting like they were in boarding schools for 10...
  11. JamiiForums Tanzania Kuuza nchi maana yake nini?

    Amani iwe mioyoni mwenu wana JF Wahenga wanasema: mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni Kwa kipindi kifupi, hadithi zimekua nyingi sana, na dhima kuu ni kwamba nchi inauzwa. Sasa basi, nini maana ya kuuza nchi? Literally, unaweza ukafanya presumption kwamba serikali inatoa watu wote...
  12. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijaona Usajili wa maana Simba SC na safari hii hakyanani nitampiga Mtu

    Salim Abdallah Try Again, Murtaza Mangungu na Mohammed Dewji endeleeni tu kutuona wana Simba SC ni Wapumbavu ila GENTAMYCINE nawaonyeni kama hatutabeba Makombe ya Ngao ya Jamii, la NBC, la ASFC na kufika Nusu Fainali au Fainali ya Klabu Bingwa ( CAFCL ) au Kubeba Kombe la Shirikisho ( CAFCC )...
  13. JamiiForums Tanzania Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

    Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina. Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam. Tusikilize👇🏾 Tutaleta tafsiri ya Kiswahili baadae.
  14. JamiiForums Tanzania Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

    Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four. Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo...
  15. JamiiForums Tanzania Nimejaribu kuelezea maana ya kuishi na mwanamke kwa akili

    Moderator naomba usifute uzi au kuunganisha. Pia uzi haujajikita kumjua mwanamke bali ni jinsi ya kuishi nae kwa sababu tunaishi na wanawake kama wapenzi wetu na kama wake Na pia ni mtizamo wangu kwako msomaji unaweza usihafiki Kwa mda nilioishi hapa dunian huu ndo mtizamo wangu na maon yangu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania RITA kuthibitisha wenyewe nakala za vyeti vya kuzaliwa ina maana cheti kikithibitishwa mahakamani/ kwa wakili hakitakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika? Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu. Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hii hesabu ya makato kuhusu kodi ya TRA maana nahisi nahujumiwa

    Wakuu habari za muda huu. Kuna kampuni hivi jina niipe jina la X imefilisika, kwa hiyo ikabidi wafanyakazi wasitishiwe mikataba yao (redandacy). Hivyo basi kwa sababu hilo suala liko kisheria (kupunguzwa kazini) ikanibidi na mimi niwemo kwenye orodha ya wanaopunguzwa kazini. Sheria zote...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Bandari. Elezea kadri uwezavyo

    Niko pale
  19. JamiiForums Tanzania Uraibu wa Bob Marley ina maana ni bora kuliko ulevi wa madaraka wa viongozi wetu?

    Redemption song Zion train African unite Stand up Kwanini nmemkumbuka Bob Marley? Ni kutokana na sekeseke la DUBAI PORTS WORLD. Gwiji huyu wa jamaica mistari yake ilijaa falsafa za ukombozi wa mtu mweusi kwa kiwango kikubwa. Lakini ukitazama baadhi ya viongozi wetu na ulevi wa madaraka...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Majuha mengine haya hapa, ndiyo maana tunaibiwa

    sikiliza hii === Wakati mamlaka nchini Kenya zikiendelea kutambua makaburi waliozikwa waumini wa Mchungaji, Paul Mackenzie, Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha ameibaini kuwepo kwa kanisa linaloendesha ibada tata. Chacha amebaini kuwepo kanisa hilo juzi Juni 8, 2023...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…