maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je akikataa kugombea itakuwaje?

    Mambo yanabadilika sana. Sisi sote ni binadamu, tupo kiwenye mikono ya mwenyezi Mungu. Je, haiwezekani kweli mpaka sasa hali ya afya siyo nzuri? Au jambo la kuonekana huko Dubai kisha Saudia siyo issue ya matibabu kweli? Promotion ni kubwa mno nahisi kama kuna jambo tofauti kabisa. Naomba...
  2. JamiiForums Tanzania Waafrika wachache waliokwenda Urusi, wageuza bila makubaliano yoyote yaa maana

    Walichoambulia ni Urusi kutoa ahadi ya kutuma chakula Somalia na mataifa mengine tano, chakula chenyewe kiduchu yaani tani 25,000 ukizingatia umaja wa Mataifa (UN) hutuma tani 725,000 Afrika hii. Hiyo hafla iliwakilishwa na mataifa 17 kati ya mataifa 52 ya Afrika. ============================...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Songa mbele Mama, kuongoza Watanzania inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu maana ni vigeugeu

    Ndugu zangu watanzania, Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu, upendo, huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu, tunaofanya mambo na kazi...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye swali, hoja, kisha majibu utatoa wewe msomaji mwenyewe. Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Mwenye Dada Hakosi Shemeji!". Hii IGA iliyoridhiwa na Bunge, ni barua tuu ya posa!, jee tuendelee...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na Sheria nzuri kwenye Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha tusahau uwekezaji wa maana nchini

    Kadiri teknolojia inavyoendelea kusonga mbele na dunia inavyozidi kukua kidigitali, umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha unazidi kuongezeka. Hili ni jambo muhimu sana, hasa katika biashara, hususani katika upande wa miundombinu. Kushindwa kuhakikisha Ulinzi wa Taarifa Binafsi na...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kofia ndogo wanazovaa Wayahudi huwa zina maana gani?

    Nawaona sana wanavaa hao jamaa; watu wa kawaida hadi viongozi. Ina maana gani kuwa vidogo vile?
  8. JamiiForums Tanzania WAALIMU mliopitia JKT acheni kuwapigisha adhabu za kijeshi wanafunzi. ndio maana mnaua!

    Ukiangalia vifo vingi vya wanafunzi ambavyo vinasababishwa na waalimu vinatokana na kupewa adhabu au kipigo nje ya utaratibu wa kawaida wa fimbo. nawatahadharisha tu walimu kuwa maeneo yaha ambayo nayataja hapa ni hatari sana kupiga hasa kwa watoto wadogo 1. kupiga NGWALA, hii inapelekea mtoto...
  9. JamiiForums Tanzania Sheria hazina maana Kwa asiyenacho: Ijapokua ni afadhali ziwepo kwani zinawalinda wasionacho dhidi ya wasionacho!

    Members, Sheria zinawalinda wenye nguvu tu. Yaani nguvu hapa namanisha pesa/madaraka/umaarufu(fame) Mwenye nguvu akiua Kwa makusudi kesi yake itageuzwa geuzwa kuwa "kuua bila kukusudia" na jela haendi aue kabwela akaozee jela! Mwenye nguvu anaweza fanya chochote na jamii ikamuunga mkono...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar. Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano ya Julai 19, 2023 sawa na Mwezi Mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko Kitaifa Zanzibar ili...
  11. JamiiForums Tanzania Kauli ipi yenye uzito kati ya Adeni Rage na Haji Manara?

    Ifikie hatua ukweli ujulikane, Hivi kauli ipi kati ya hizi mbili iliyokuwa ikiashiria ukweli ndani yake? Tuanze na Haji Sunday Manara, huyu akiwa afisa habari wa klabu ya Simba Kwa wakati huo aliwahi kunukuliwa akiwadhihaki mashabiki wa Yanga kwa kusema kule Yanga wenye Akili ni watu wawili tu...
  12. JamiiForums Tanzania USM ALGER almanisura ishuke Daraja kama Malumo Giant. Kweli yanga ilicheza na timu mbovu ndio maana ilifungwa na Simba 2 -0

    Kombe la shirikisho limetawaliwa na Timu mbovu. Almanusura BINGWA wa Looser Ashuke Daraja kwenye League KUU hoko Algeria.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Majibu Yana Maana Gani haya???!

    Naomba kujua maana ya majibu hayo kwenye hiyo attachment.Yaani ukimwi upo au haupo??!
  14. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu. Yote yanayojiri utayapata hapa. === MKUTANO...
  15. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa anazungumza na waandishi wa habari Muda huu kuhusu sakata la Bandari na uwekezaji wa DP World. === Kuna watu wanatumika kwa maslahi yao binafsi kumuondoa kwenye reli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye utendaji wake wa kazi...
  16. JamiiForums Tanzania Maana ya Vitendo vya Rushwa, Ubadhirifu na Udanganyifu

    Kwa mujibu wa “Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa na Mpango wa Utekelezaji wa Awamu ya Tatu 2017-2022 (NASCAP III)”, vitendo vya rushwa vinatafsiriwa kuwa ni kutoa, kupokea au kushawishi moja kwa moja kutolewa au kupokelewa kwa kitu chochote cha thamani kwa maslahi au matumizi binafsi, ili...
  17. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama. Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora. Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi watu kutanguliza Uislam au Ukristo kwenye mambo nyeti kuliko Utaifa maana yake nini?

    Wasalaam JF, Tafadhari wanajukwaa naomba majibu naona hili swala muhimu la nchi kabisa na vizazi vyake la bandari limekaa kiushabiki wa dini naona waislam wameamua kwa makusudi kujivika uislam kuliko Utaifa wala chochote kile, nawasikia ingekuwa mzungu ndio anawekeza bandari za Tanganyika...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa maana waalimu mpaka leo hawajui kutumia vishikwambi? Mbona wana hang nazo mitaani?

    #HABARI: Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu), Dkt. Charles Msonde amewataka Maafisa Elimu Kata (MEK), kuwasimamia na kuwasidia Walimu namna kutumia vishikwambi walivyopewa kuwezesha ufundishaji na ujifunzaji, ili kuinua ubora wa elimu nchini. . Dkt. Msonde ametoa maelekezo hayo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana nipo njia panda

    Habari zenu Bila kupoteza muda Mimi naishi jijini Arusha, nimetokea kuwa katika Mahusiano na kadada kamoja hapa hapa Arusha. Mahusiano bado hayajawa deep kwani tuna muda mchache kama miezi minne. Kikubwa kilichonivutia Kwa huyu dada ni kwamba ni mpole, mkarimu pia ana hofu Sana na Mungu(huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…