Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,498
113,604
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye swali, hoja, kisha majibu utatoa wewe msomaji mwenyewe.

Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Mwenye Dada Hakosi Shemeji!". Hii IGA iliyoridhiwa na Bunge, ni barua tuu ya posa!, jee tuendelee kupiga kelele kuzozania barua ya posa?, hizi kelele hazita mdisturb mchumba asije akaghairi?, au tutulie tupange mahari(HGA) nono ya maana, binti yetu aolewe?.

Jee Bandari Yetu ni Binti?
Kitu chochote, unachoingiza mtaji, kinazalisha mali, hicho ni kitega uchuumi, kitu chochote kinachozalisha ni binti!.
Tanzania hatuna mwanaume shababi wa kuitumia bandari yetu kuzalisha kwa faida, unaposhindwa, lazima usaidiwe!, sasa ametokea Mwarabu wa Dubai, DPW, shababi kweli kweli, amemposa binti yetu!. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie? na Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?

Hata Muungano wetu huu Adhimu ni Ndoa Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?

Tuna tatizo kubwa la uelimishaji umma kuhusu DPW na bandari zetu, jee sasa kila mtu ni mwanasheria?. Kila mtu anaweza kuelimisha umma kuhusu hoja za kisheria?. Hongera CCM kujitolea kuelimisha umma, wananchi hawahitaji hoja za kisheria, wanataka matokeo chanya, bandari zetu ziboreke, zifanye kazi kwa ufanisi, Tanzania tupate manufaa na maendeleo endelevu!.

Hii IGA ya DPW na Bandari zetu, imetusaidia sana
Hii IGA ya DPW na Bandari zetu, imetusaidia sana kujua mambo mengi, sio tuu imetusaidia kutuonyesha matundu kwe paa la nyumba yetu kwa kutuonyesha panapovuja, pia umetufungua macho kuona tuna wanasheria wa aina gani, wenye elimu gani na uwezo gani, ndio maana tunaingia mikataba ya ajabu ajabu, mingine ni mikataba ya hovyo kabisa, tukija kushtuka, tunavunja hiyo mikataba, tunashitakiwa, tunashindwa, tunatozwa tuzo, tunajimwambafay kuwa hatulipi!, lakini mwisho wa siku huwa tunalipa hizo tuzo, kimya kimya au tunalipishwa kwa nguvu kwa lazima baada ya ndege zetu kushikwa.

Siku zote fani ya sheria ni fani yenye heshima kubwa katika jamii Wanasheria ni watu smart, wanavalia nadhifu, wanavaa majoho, wanaongea kwa mapozi hivyo kuna wengi walitamani kuwa wanasheria, hawakuweza!. Zamani kupata nafasi kusoma sheria ni wale wanafunzi waliofaulu vizuri tuu, wenye Div. 1 pekee. Sheria ilikuwa ni fani ya vipanga tuu!.

Lakini sasa kufuatia kuongezeka kwa vyuo vikuu vya binafsi nchini, sasa kila mtu anaweza kusomea sheria, sio vipanga tuu, hata vilaza nao sasa wana fursa ya kujiunga na vyuo vikuu wakasomea sheria, wanahitimu na kupata shahada ya LL.B, ila uanasheria wao ni uanasheria wa makaratasi, uanasheria wa vyeti, yaani kusoma sheria, kuhitimu na kupata cheti ni jambo moja, lakini uwezo wa kuifanya sheria ni jambo jingine!.

Wanasheria hawa hawawezi kupenya shule ya sheria, LST na kuwa mawakili!, ila ni wazuri kwa kuongea!, na wazuri kwa ku lobby na kujipenyeza, kwenye nafasi mbalimbali, usikute sasa baadhi ya hawa ndio wanasheria wetu tegemewa kwenye baadhi ya taasisi zetu muhimu kama hiki kinachoendelea kwenye mjadala huu wa mkataba/makubaliano ya IGA ya Bandari.

Boys II Men
Haya mambo ya kudogosha mambo makubwa, hayakuanza leo, yameanza toka enzi za Jei Kei na Eddo walikuwa ni vijana wawili marafiki, katika uchaguzi Mkuu wa 1995, walikodi ndege moja pamoja, wakaenda Dodoma pamoja, wakachukua fomu za kugombea urais kupitia CCM, pamoja, wakazitembeza pamoja kutafuta wadhamini, na kuzirejesha pamoja. Watu wakawabatiza, jina la Boys II Men, mmoja alionekana kama a boy na mwingine a man!.
Baada ya Boys II Men kushindwa uteuzi wa 1995, ili kujiandaa kwa uchaguzi wa 2005 kundi la "mtandao" liliiasisiwa likijumuisha watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari na media, kazi yao ni kuhakikisha a boy ndiye anapenya 2005.

Kweli The Boy, akashinda 2005 akaunda serikali ya kishikaji, the Man akafanywa kiranja Mkuu. Baadaye Boys II Men wakafarakana, ikamlazimu Eddo kuachia ngazi.

Urais wa JMT Kudogoshwa
Kufuatia the Boy kumaliza full term yake yote, then 2015 kukatokea a scramble ya kugombea urais!, The Boy ameudogosha sana urais!, kuna watu wakajiona kama the Boy ameweza kuwa rais, basi kila mtu anaweza kuwa rais!, wakajitokeza wagombea 62!.

Hiki kinachoendelea kwenye mjadala wa IGA ya DPW na Bandari zetu, kumeidogosha sana fani ya sheria
Hiki kinachoendelea kwenye mjadala wa IGA ya DPW na Bandari zetu, kumeidogosha sana fani ya sheria!, sasa kila mtu anajiona ni mwanasheria!. Hivyo sasa wanasheria sio watu muhimu kivile, mtu yoyote anaweza kuwa mwanasheria, na sio kila mwanasheria aliyesomea sheria ni mwanasheria!, wengine ni wanasheria makaratasi tuu naendelea kusisitiza, hoja za kisheria zilizoibuliwa kuhusu hiiIGA sijibiwe kisheria na sio kisiasa!.

Kwa vile na mimi ni mwanahabari mwanasheria, najitolea kuelimisha umma kuhusu IGA na HGA kwa lugha rahisi
Kwa vile na mimi ni mwanahabari mwanasheria, najitolea kuelimisha umma kuhusu IGA na HGA kwa lugha rahisi IGA ni kama barua ya posa tuu kwa DPW kumposa binti yetu Bandari!

Mahusiano ya wawili hawa
Mahusiano ya wawili hawa yalianza zamani toka mwezi February 2022 wakati wa Expo Dubai, ambapo Mwarabu wa Dubai, kamuona binti Bandari DareSalama, kampenda. Akamwalika Mzazi wa binti kutembelea Dubai wakati wa Expo Dubai, ndipo DPW akatangaza nia ya kumposa binti Bandari DareSalama. Nia njema, MoU kati ya Bandari na DPW ikasainiwa Dubai huku mzazi akishuhudia, MoU hiyo ni kumruhusu shababi DPW kuleta barua ya posa.

October 2022 shababi DPW katua nchini na mshenga wake kuleta barua ya posa, ndio hii IGA.
Mzazi wa binti ni Mama harusi akamruhusu mjomba mtu Prof. kuipokea barua hiyo ya posa, ikapokelewa ile October 2022. Mzazi wa binti Bandari, Mamie mwali akaipeleka posa kwenye kikao cha wanafamia, kuomba ridhaa ya wanafamilia kuridhia posa ikubaliwe binti Bandari aposwe na DPW. Kikao cha familia, kikaridhia, ndio kile kikao cha Bunge kuridhia IGA.

Baada ya posa kukubaliwa yaani baada ya ile IGA kuridhiwa sasa ndio mahari ya binti yetu inapangwa ambayo itakuwani HGA.

Kiafrika kitendo cha binti kuposwa ni heshima kubwa, wajomba, msipigie sana kelele barua ya posa, mchumba asije kughairi, tutulie, tupange mahari ya maana, binti Bandari aolewe!.

Namalizia kwa hili swali Hii IGA iliyoridhiwa na Bunge, ni barua tuu ya posa!, jee tuendelee kupiga kelele kuzozania barua ya posa?, hizi kelele hazita mdisturb mchumba asije akaghairi?, au tutulie tupange mahari(HGA) nono ya maana, binti yetu aolewe?.

Paskali
 
Ni kukosa adabu kuilinganisha nchi yetu na binti anayehitaji mume.

Kwamba tunahitaji mwanaume atuongoze, atutungishe mimba na tumzalie watoto awaite kwa majina yake?

Huu mfanano wako hauna mantiki. Nchi yetu si mwanamke, na wala Dubai si dume.

Kwetu sisi Wakristo, ni mpaka kifo kitutenganishe. Kwa mantiki hiyo hata mkataba huo wa Dubai ni wa milele? Kwamba tutaendelea kuwa Wachumba kwa Emirati ya Dubai mpaka kyama?
 
hahahahaaaa.umenichekesha kweli.je inaruhusiwa kwenye mila zetu za kiafrica mtu akajitokeza kupinga kuolewa kwa binti yetu kwa kutoa sababu zinazoeleweka?
 
Posa ya kuoa mpaka mama mke , hii HAPANA. Posa haina heshima, mimi kama baba nasema sitaki hii ndoa. Kiasihara unaweza kuleta posa ya kunioa
 
Wanabodi,
Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Mwenye Dada Hakosi Shemeji!". Hii IGA iliyoridhiwa na Bunge, ni Barua tuu ya Posa!, Jee Tuendelee Kupiga Kelele Kuzozania Posa, Mchumba asije kughairi?, au Tutulie Tupange Mahari(HGA) nono ya ya maana, Binti Yetu Aolewe?.

Tuna tatizo kubwa la uelimishaji umma kuhusu DPW na bandari zetu, jee sasa kila mtu ni mwanasheria?. Kila mtu anaweza kuelimisha umma kuhusu hoja za kisheria?. Hongera CCM kujitolea kuelimisha umma, wananchi hawahitaji hoja za kisheria, wanataka matokeo chanya, bandari zetu ziboreke, zifanye kazi kwa ufanisi, Tanzania tupate manufaa na maendeleo endelevu!.

Hii IGA ya DPW na Bandari zetu, imetusaidia sana kujua mambo mengi, sio tuu imetusaidia kutuonyesha matundu kwe paa la nyumba yetu kwa kutuonyesha panapovuja, pia umetufungua macho kuona tuna wanasheria wa aina gani, wenye elimu gani na uwezo gani, ndio maana tunaingia mikataba ya ajabu ajabu, mingine ni mikataba ya hovyo kabisa, tukija kushtuka, tunavunja hiyo mikataba, tunashitakiwa, tunashindwa, tunatozwa tuzo, tunajimwambafay kuwa hatulipi!, lakini mwisho wa siku huwa tunalipa hizo tuzo, kimya kimya au tunalipishwa kwa nguvu kwa lazima baada ya ndege zetu kushikwa.

Siku zote fani ya sheria ni fani yenye heshima kubwa katika jamii Wanasheria ni watu smart, wanavalia nadhifu, wanavaa majoho, wanaongea kwa mapozi hivyo kuna wengi walitamani kuwa wanasheria, hawakuweza!. Zamani kupata nafasi kusoma sheria ni wale wanafunzi waliofaulu vizuri tuu, wenye Div. 1 pekee. Sheria ilikuwa ni fani ya vipanga tuu!.

Lakini sasa kufuatia kuongezeka kwa vyuo vikuu vya binafsi nchini, sasa kila mtu anaweza kusomea sheria, sio vipanga tuu, hata vilaza nao sasa wana fursa ya kujiunga na vyuo vikuu wakasomea sheria, wanahitimu na kupata shahada ya LL.B, ila uanasheria wao ni uanasheria wa makaratasi, uanasheria wa vyeti, yaani kusoma sheria, kuhitimu na kupata cheti ni jambo moja, lakini uwezo wa kuifanya sheria ni jambo jingine!.

Wanasheria hawa hawawezi kupenya shule ya sheria, LST na kuwa mawakili!, ila ni wazuri kwa kuongea!, na wazuri kwa ku lobby na kujipenyeza, kwenye nafasi mbalimbali, usikute sasa baadhi ya hawa ndio wanasheria wetu tegemewa kwenye baadhi ya taasisi zetu muhimu kama hiki kinachoendelea kwenye mjadala huu wa mkataba/makubaliano ya IGA ya Bandari.

Haya mambo ya kudogosha mambo makubwa, hayakuanza leo, yameanza toka enzi za Jei Kei na Eddo walikuwa ni vijana wawili marafiki, katika uchaguzi Mkuu wa 1995, walikodi ndege moja pamoja, wakaenda Dodoma pamoja, wakachukua fomu za kugombea urais kupitia CCM, pamoja, wakazitembeza pamoja kutafuta wadhamini, na kuzirejesha pamoja.

Watu wakawabatiza, jina la Boys II Men, mmoja alionekana kama a boy na mwingine a man!.
Baada ya Boys II Men kushindwa uteuzi wa 1995, ili kujiandaa kwa uchaguzi wa 2005 kundi la "mtandao" liliiasisiwa likijumuisha watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari na media, kazi yao ni kuhakikisha a boy ndiye anapenya 2005.

Kweli The Boy, akashinda 2005 akaunda serikali ya kishikaji, the Man akafanywa kiranja Mkuu. Baadaye Boys II Men wakafarakana, ikamlazimu Eddo kuachia ngazi.

Kufuatia the Boy kumaliza full term yake yote, then 2015 kukatokea a scramble ya kugombea urais!, The Boy ameudogosha sana urais!, kuna watu wakajiona kama the Boy ameweza kuwa rais, basi kila mtu anaweza kuwa rais!, wakajitokeza wagombea 62!.

Hiki kinachoendelea kwenye mjadala wa IGA ya DPW na Bandari zetu, kumeidogosha sana fani ya sheria!, sasa kila mtu anajiona ni mwanasheria!. Hivyo sasa wanasheria sio watu muhimu kivile, mtu yoyote anaweza kuwa mwanasheria, na sio kila mwanasheria aliyesomea sheria ni mwanasheria!, wengine ni wanasheria makaratasi tuu naendelea kusisitiza, hoja za kisheria zilizoibuliwa kuhusu hiiIGA sijibiwe kisheria na sio kisiasa!.

Kwa vile na mimi ni mwanahabari mwanasheria, najitolea kuelimisha umma kuhusu IGA na HGA kwa lugha rahisi IGA ni kama barua ya posa tuu kwa DPW kumposa binti yetu Bandari!

Mahusiano ya wawili hawa yalianza zamani toka mwezi February 2022 wakati wa Expo Dubai, ambapo Mwarabu wa Dubai, kamuona binti Bandari DareSalama, kampenda. Akamwalika Mzazi wa binti kutembelea Dubai wakati wa Expo Dubai, ndipo DPW akatangaza nia ya kumposa binti Bandari DareSalama. Nia njema, MoU kati ya Bandari na DPW ikasainiwa Dubai huku mzazi akishuhudia, MoU hiyo ni kumruhusu shababi DPW kuleta barua ya posa.

October 2022 shababi DPW katua nchini na mshenga wake kuleta barua ya posa, ndio hii IGA.
Mzazi wa binti ni Mama harusi akamruhusu mjomba mtu Prof. kuipokea barua hiyo ya posa, ikapokelewa ile October 2022. Mzazi wa binti Bandari, Mamie mwali akaipeleka posa kwenye kikao cha wanafamia, kuomba ridhaa ya wanafamilia kuridhia posa ikubaliwe binti Bandari aposwe na DPW. Kikao cha familia, kikaridhia, ndio kile kikao cha Bunge kuridhia IGA.

Baada ya posa kukubaliwa yaani baada ya ile IGA kuridhiwa sasa ndio mahari ya binti yetu inapangwa ambayo itakuwani HGA.

Kiafrika kitendo cha binti kuposwa ni heshima kubwa, wajomba, msipigie kelele barua ya posa, mchumba asije kughairi, tutulie, tupange mahari ya maana, binti Bandari aolewe!.

Paskali
Simple-minded examples. These are two issues quite incomparable! haya ni mambo ya kisheria na kikatiba, tena intrnational laws! halafu wewe unaleta mifano ya kitoto
 
Suala hili la Mkataba Huu Kuna sintofahamu , kutoka kwa pande zote wapingaji na wanaoutetea Bila kujua njia sahihi za kuelewesha wapingaji

Britanicca
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye swali, hoja, kisha majibu utatoa wewe msomaji mwenyewe.

Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Mwenye Dada Hakosi Shemeji!". Hii IGA iliyoridhiwa na Bunge, ni barua tuu ya posa!, jee tuendelee kupiga kelele kuzozania barua ya posa?, hizi kelele hazita mdisturb mchumba asije akaghairi?, au tutulie tupange mahari(HGA) nono ya maana, binti yetu aolewe?.

Jee Bandari Yetu ni Binti?
Kitu chochote, unachoingiza mtaji, kinazalisha mali, hicho ni kitega uchuumi, kitu chochote kinachozalisha ni binti!.
Tanzania hatuna mwanaume shababi wa kuitumia bandari yetu kuzalisha kwa faida, unaposhindwa, lazima usaidiwe!, sasa ametokea Mwarabu wa Dubai, DPW, shababi kweli kweli, amemposa binti yetu!. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie? na Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?

Hata Muungano wetu huu Adhimu ni Ndoa Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?

Tuna tatizo kubwa la uelimishaji umma kuhusu DPW na bandari zetu, jee sasa kila mtu ni mwanasheria?. Kila mtu anaweza kuelimisha umma kuhusu hoja za kisheria?. Hongera CCM kujitolea kuelimisha umma, wananchi hawahitaji hoja za kisheria, wanataka matokeo chanya, bandari zetu ziboreke, zifanye kazi kwa ufanisi, Tanzania tupate manufaa na maendeleo endelevu!.

Hii IGA ya DPW na Bandari zetu, imetusaidia sana
Hii IGA ya DPW na Bandari zetu, imetusaidia sana kujua mambo mengi, sio tuu imetusaidia kutuonyesha matundu kwe paa la nyumba yetu kwa kutuonyesha panapovuja, pia umetufungua macho kuona tuna wanasheria wa aina gani, wenye elimu gani na uwezo gani, ndio maana tunaingia mikataba ya ajabu ajabu, mingine ni mikataba ya hovyo kabisa, tukija kushtuka, tunavunja hiyo mikataba, tunashitakiwa, tunashindwa, tunatozwa tuzo, tunajimwambafay kuwa hatulipi!, lakini mwisho wa siku huwa tunalipa hizo tuzo, kimya kimya au tunalipishwa kwa nguvu kwa lazima baada ya ndege zetu kushikwa.

Siku zote fani ya sheria ni fani yenye heshima kubwa katika jamii Wanasheria ni watu smart, wanavalia nadhifu, wanavaa majoho, wanaongea kwa mapozi hivyo kuna wengi walitamani kuwa wanasheria, hawakuweza!. Zamani kupata nafasi kusoma sheria ni wale wanafunzi waliofaulu vizuri tuu, wenye Div. 1 pekee. Sheria ilikuwa ni fani ya vipanga tuu!.

Lakini sasa kufuatia kuongezeka kwa vyuo vikuu vya binafsi nchini, sasa kila mtu anaweza kusomea sheria, sio vipanga tuu, hata vilaza nao sasa wana fursa ya kujiunga na vyuo vikuu wakasomea sheria, wanahitimu na kupata shahada ya LL.B, ila uanasheria wao ni uanasheria wa makaratasi, uanasheria wa vyeti, yaani kusoma sheria, kuhitimu na kupata cheti ni jambo moja, lakini uwezo wa kuifanya sheria ni jambo jingine!.

Wanasheria hawa hawawezi kupenya shule ya sheria, LST na kuwa mawakili!, ila ni wazuri kwa kuongea!, na wazuri kwa ku lobby na kujipenyeza, kwenye nafasi mbalimbali, usikute sasa baadhi ya hawa ndio wanasheria wetu tegemewa kwenye baadhi ya taasisi zetu muhimu kama hiki kinachoendelea kwenye mjadala huu wa mkataba/makubaliano ya IGA ya Bandari.

Boys II Men
Haya mambo ya kudogosha mambo makubwa, hayakuanza leo, yameanza toka enzi za Jei Kei na Eddo walikuwa ni vijana wawili marafiki, katika uchaguzi Mkuu wa 1995, walikodi ndege moja pamoja, wakaenda Dodoma pamoja, wakachukua fomu za kugombea urais kupitia CCM, pamoja, wakazitembeza pamoja kutafuta wadhamini, na kuzirejesha pamoja. Watu wakawabatiza, jina la Boys II Men, mmoja alionekana kama a boy na mwingine a man!.
Baada ya Boys II Men kushindwa uteuzi wa 1995, ili kujiandaa kwa uchaguzi wa 2005 kundi la "mtandao" liliiasisiwa likijumuisha watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari na media, kazi yao ni kuhakikisha a boy ndiye anapenya 2005.

Kweli The Boy, akashinda 2005 akaunda serikali ya kishikaji, the Man akafanywa kiranja Mkuu. Baadaye Boys II Men wakafarakana, ikamlazimu Eddo kuachia ngazi.

Urais wa JMT Kudogoshwa
Kufuatia the Boy kumaliza full term yake yote, then 2015 kukatokea a scramble ya kugombea urais!, The Boy ameudogosha sana urais!, kuna watu wakajiona kama the Boy ameweza kuwa rais, basi kila mtu anaweza kuwa rais!, wakajitokeza wagombea 62!.

Hiki kinachoendelea kwenye mjadala wa IGA ya DPW na Bandari zetu, kumeidogosha sana fani ya sheria
Hiki kinachoendelea kwenye mjadala wa IGA ya DPW na Bandari zetu, kumeidogosha sana fani ya sheria!, sasa kila mtu anajiona ni mwanasheria!. Hivyo sasa wanasheria sio watu muhimu kivile, mtu yoyote anaweza kuwa mwanasheria, na sio kila mwanasheria aliyesomea sheria ni mwanasheria!, wengine ni wanasheria makaratasi tuu naendelea kusisitiza, hoja za kisheria zilizoibuliwa kuhusu hiiIGA sijibiwe kisheria na sio kisiasa!.

Kwa vile na mimi ni mwanahabari mwanasheria, najitolea kuelimisha umma kuhusu IGA na HGA kwa lugha rahisi
Kwa vile na mimi ni mwanahabari mwanasheria, najitolea kuelimisha umma kuhusu IGA na HGA kwa lugha rahisi IGA ni kama barua ya posa tuu kwa DPW kumposa binti yetu Bandari!

Mahusiano ya wawili hawa
Mahusiano ya wawili hawa yalianza zamani toka mwezi February 2022 wakati wa Expo Dubai, ambapo Mwarabu wa Dubai, kamuona binti Bandari DareSalama, kampenda. Akamwalika Mzazi wa binti kutembelea Dubai wakati wa Expo Dubai, ndipo DPW akatangaza nia ya kumposa binti Bandari DareSalama. Nia njema, MoU kati ya Bandari na DPW ikasainiwa Dubai huku mzazi akishuhudia, MoU hiyo ni kumruhusu shababi DPW kuleta barua ya posa.

October 2022 shababi DPW katua nchini na mshenga wake kuleta barua ya posa, ndio hii IGA.
Mzazi wa binti ni Mama harusi akamruhusu mjomba mtu Prof. kuipokea barua hiyo ya posa, ikapokelewa ile October 2022. Mzazi wa binti Bandari, Mamie mwali akaipeleka posa kwenye kikao cha wanafamia, kuomba ridhaa ya wanafamilia kuridhia posa ikubaliwe binti Bandari aposwe na DPW. Kikao cha familia, kikaridhia, ndio kile kikao cha Bunge kuridhia IGA.

Baada ya posa kukubaliwa yaani baada ya ile IGA kuridhiwa sasa ndio mahari ya binti yetu inapangwa ambayo itakuwani HGA.

Kiafrika kitendo cha binti kuposwa ni heshima kubwa, wajomba, msipigie sana kelele barua ya posa, mchumba asije kughairi, tutulie, tupange mahari ya maana, binti Bandari aolewe!.

Namalizia kwa hili swali Hii IGA iliyoridhiwa na Bunge, ni barua tuu ya posa!, jee tuendelee kupiga kelele kuzozania barua ya posa?, hizi kelele hazita mdisturb mchumba asije akaghairi?, au tutulie tupange mahari(HGA) nono ya maana, binti yetu aolewe?.

Paskali
Usituletee swaga zako, barua ya posa haifai
 
Ni kukosa adabu kuilinganisha nchi yetu na binti anayehitaji mume.
Sijalinganisha nchi na binti, nimetumia lugha ya tafsida, Bandari kwenye nchi ni kama binti amechumbiwa kwa barua ya posa IGA, mahari ni HGA
Huu mfanano wako hauna mantiki. Nchi yetu si mwanamke, na wala Dubai si dume.
Vipi hujasikia Mama Tanzania?.
Kwetu sisi Wakristo, ni mpaka kifo kitutenganishe. Kwa mantiki hiyo hata mkataba huo wa Dubai ni wa milele? Kwamba tutaendelea kuwa Wachumba kwa Emirati ya Dubai mpaka kyama?
Hakuna kitu kama hiki, hakuna mkataba wa milele. IGA ni makubaliano tuu na sio mkataba, mkataba ni HGA na una ukomo!.
P.
 
Sijalinganisha nchi na binti, nimetumia lugha ya tafsida, Bandari kwenye nchi ni kama binti amechumbiwa kwa barua ya posa IGA, mahari ni HGA

Vipi hujasikia Mama Tanzania?.

Hakuna kitu kama hiki, hakuna mkataba wa milele. IGA ni makubaliano tuu na sio mkataba, mkataba ni HGA na una ukomo!.
P.
Hivi una elimu gani? Kama Iga sio mkataba kwa nini ibara ya 20 ya IGA inaseme kama kutakuwa na mgogoro upelekwe Icsid na sio mahakama za hapa Tanzania? Kinyume na sheria zetu za hapa Tz
 
hahahahaaaa.umenichekesha kweli.je inaruhusiwa kwenye mila zetu za kiafrica mtu akajitokeza kupinga kuolewa kwa binti yetu kwa kutoa sababu zinazoeleweka?
Yes inaruhusiwa!, kwanza kikawaida kabla hujatangaza kutaka kuoa, a due diligence research hufanywa huko unakotaka kuoa, ripoti ukionyesha kuna matatizo, unazuiwa isioe huko. DPW haina matatizo tatizo ni barua tuu ya posa imeletwa bila kishika uchumba. Tupange mahari ya maana, ili na kishika uchumba tukizamishe mumo humo kwenye mahari.
P
 
Hivi una elimu gani? Kama Iga sio mkataba kwa nini ibara ya 20 ya IGA inaseme kama kutakuwa na mgogoro upelekwe Icsid na sio mahakama za hapa Tanzania? Kinyume na sheria zetu za hapa Tz
IGA sio mkataba ni makubaliano tuu ya maandalizi ya HGA. HGA ndio mkataba, hivyo kukitokea mgogoro kwenye HGA ndio utapelekwa ICSID kuamuliwa!. Uelewa ni tatizo kubwa kwa wengi wetu.

Na Bunge walikaa kujadili makubaliano? Spika alisema ni mkataba au ni vitu viwili tofauti. Hii barua yako ya uchumba na ndoa iliyojadiliwa bungeni. Mayala wakati wewe unahangaika kupigia debe hii barua amini kuna watu weshapokea na mahari kabisa. Na bibi harusi keshakabidhiwa kwa mmewe
 
Back
Top Bottom