Katika harakati zangu za mtaa kwa mtaa, nilijikuta naanzisha uhusiano na singo maza mmoja ambaye anasoma chuo A hapa mjini.
Kutokana na shepu yake, nikajikuta mwili wote umelegea na moyo ukasahau kusukuma damu, na kuanza kumpenda.
Changamoto aliyonayo, ni kutokuwa na uwezo wa kuniridhisha...
Leo Juni 14, 2022 amesema Mwita Waitara ameshindwa kuthibitisha watu kuuawa jimboni kwake pia alibeza maamuzi ya Spika alipoipa Serikali siku 90 kuchunguza.
Waitara amekiuka kanuni ya 5 ya Bunge inayomtaka kukata rufaa kwa maandishi endapo hataridhika na maamuzi ya Spika badala yake akaenda...
Kila kinachoendelea Tanzania Rais ndiyo anayetoa maamuzi na amri kuanzia kupandisha bei za mafuta, umeme, kukamata raia kuwaweka rumande na kuwaachia pia kama akina Mbowe, Sabaya & Co. mpaka hili la kufukuzwa kwa Watanzania kwenye ardhi yao kwa mitutu ya Bunduki ni rais ndiyo anafanya siyo...
MH. RAIS SAMIA ANAHITAJI WATENDAJI WA DHATI KIVUKONI KIGAMBONI NA MANISPAA KWA UJUMLA
Umati ni mkubwa.
Kivuko kimoja tu ndio kinachofanya kazi
Muda wa kusubiri ni zaidi ya Saa moja
Kwa wale wanaodhani Magufuli alikuwa pekee wafikirie tena.
Asilimia kubwa ya maamuzi yake ni report tu alizokuwa anasoma na kuamua kutokana na option anazopewa.
Nape, Mwigulu na Makamba; eleweni vita mnavyonunua sio na marehemu bali watu waliohai.
Kibaya zaidi hiyo vita kapewa mtu ambae...
Matuga ni kijana kutoka kijijini, alianza hustle zake baada ya kumaliza darasa la 12. Aliuza mazao na kuweka pesa mpaka alipofanikiwa kupata nauli na hela kidogo ya kujikimu alikwenda Afrika ya Kusini. Bahati nzuri aliongea Kiingereza cha kueleweka shukran imwendee kiongozi wake wa dini kwani...
WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA.
Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)
Salaam Mhe Waziri!
Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi sana kwa majukumu iliyonayo ya ujenzi wa taifa hususani dhamana kubwa uliyopewa ya kushikilia afya za...
Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama...
Ndugu zangu, katika maisha kuna wakati tunapitia changamoto mbalimbali za kimaisha ikiwa pamoja na mapenzi.Nilimpenda dada mmoja kwa dhati kabisa, lakini upendo toka kwake ulikuwa kama wakulazimisha hivi, maana wakati mwingine unamuona online ukimtumia msg hajibu au anachelewa sana ukiona...
Mimi pia si Chadema ila namshukuru Jenerali Ulimwengu kwa kusema niliyotaka kuyasema, ni wakati muafaka sasa madaraka yawe mikononi mwa wananchi wenyewe pale pale walipo Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya, Kitarafa na Kimtaa!
Jukumu hilo linaweza kusimamiwa tu na chama imara ambacho kaulimbiu yake ni...
Wanabodi,
Mimi kama kawaida yangu ni mtu wa maswali na hapa nauliza tuu, ila tuanze na kitu kinachoitwa first thing first
Kwanza, Kikao cha Baraza Kuu la Chadema, ni kikao, halali, hivyo maamuzi yaliyofikiwa na kikao hicho, yamefikiwa kihalali kwa kufuata utaratibu, ila uamuzi huo ni uamuzi...
Licha ya kuongea kwa kusisitiza uharamu wa Mdee na wenzake kutotambulika kama wabunge rasmi lakini kuna wengine waliona hayupo sahihi ikiwemo Spika Tulia. Mzee Msekwa katuonesha ni namna gani mtu anatakiwa kusimamia anachoamini.
Nami binafsi niliona Mdee na wenzake hawakustahili kuwepo pale...
Mwenyekiti wa TFC Taifa, Gishuli Charles
SHIRIKISHO la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) limetengua agizo la kuzivunja Bodi za Vyama vya msingi vya Ushirika (AMCOS) 335 mkoani Simiyu ambalo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kwa vile halikuzingatia taratibu za ushirika...
Huwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi.
Kisa tu ni kuwa haikubali kulipa kwa ruble! Hawajali kuwabebesha mzigo mkubwa zaidi wananchi wao ili...
Mimi sio Mchambuzi wa soka lakini kama Shabiki wa soka nimekuwa nikijifunza kla siku kupitia kuangalia Soka.
Baada ya Soka kuonesha mafanikio na ufuatiliwaji mkubwa kama kawaida Wenzetu(haswa Wazungu) waliona fursa na kuigeuza kuwa kati ya biashara kubwa sana Ulimwenguni.
Hivyo basi kama...
Hatuna shida sana matokeo tuliyopata maana yote aliyoyasema Abdi Banda yametimia. ila kilichotukera sana sisi ni vile vitochi vyenu vya kitoto mlivyokuwa mkivielekeza kwa golikipa wetu muda wote.
Karibuni South Africa.
Wanabodi,
Katika kipindi hiki ambacho bajeti imeanza kujadiliwa bungeni, ni vyema kutathmini majukumu ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo na jinsi ambavyo wanasiasa wanahusika katika mabadiliko yoyote yanayofanyika nchini.
Nime bahatika kuangalia mikutano ya hivi karibuni ambapo...
MAHAKAMA YA RUFANI: CMA HAINA MAMLAKA WAFANYAKAZI WA UMMA
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imesema Tume ya Usuluhishi ya wafanyakazi (Commission for Mediation and Arbitration-CMA) haina mamlaka ya kusikiliza na kutolea maamuzi kesi zinazohusu migogoro ya wafanyakazi wa umma.
Kupitia kesi ya...
Kila mwaka Juni 16 huwa ni siku ya kukumbuka watoto waliouawa katika Kitongoji cha Soweto, Nchini Afrika Kusini wakati wakiandamana kupinga ubaguzi wa rangi uliokuwa ukiendeshwa na utawala wa wakati huo wa Makaburu.
Mauaji yalifanyika mwaka 1976 wakati watoto hao waliokuwa wakidai haki ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka.
Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya
Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.