Na wengine kila Maamuzi ya Awamu ya 5 yalipokuwa yakifanywa mkialikwa Ikulu mkipewa muda wa Kuzungumza na Hadhira mlikuwa mkiyaafiki tena na mpaka Kupongeza leo mpo katika Awamu yenu hii ya 6 mmeyabadili bila hata Aibu ya Unafiki uliowajaa kutoka Bara mpaka Visiwani.
Kwangu Mimi KEROZENE Mchawi...
What was the issue of contention, what was Liganga supposed to decide? Kama ni issues hizi: Estopel? Res judicata? au Functus Officio? Mahakama ya Rufaa ilishaweka msimamo kamili: ina rejea ya hayo isome hapa chini
Jaji kakosea katika maamuzi yake ya leo?
Ni ya Kiingereza labda itafsiliwe na...
Pamoja na baadhi ya Watanzania kuona kuna madudu yanafanyika pmus kuwanyonya kutokana na baadhi ya viongozi kuingia kwenye siasa kwa mgongo wa wazee wao, bado mnaweza kuwaachia watanzania legacy ya kuwakumbuka hata msipokuwepo.
MAJI; Nchi yetu imekuwa na janga la uhaba wa maji kwa miongo kadhaa...
Wanasheria na wadau mnaofahamu naomba mrejesho juu ya kichwa cha habari hapo juu. Kwanini Jaji hawezi kutoa maamuzi ya papo kwa hapo au ndio sheria inavyotaka?
Ili kufanya maamuzi madogo lazima ahirishe shauri kwa siku nzima?
TZS Bilioni 11 za Rais Samia Suluhu zamtetemesha RC Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema, afanya maamuzi magumu Kishapu,
" Hakuna kama Samia "
Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema amefanya maamuzi magumu ya kumsimamisha kazi afisa manunuzi mzembe wa Wilaya ya Kishapu Ili kupisha...
Habari za jioni wakuu,
Hii kitu inaudhi sanaaa, yaani wanafunzi wametengeneza project zao kwa gharama halafu mnakuja ghafla tu eti mwaka huu hakutakua na project . Hivi mlikuwa wapi muda woote huo mpaka wanafunzi wametumia gharama zao ndio mnakuja kusitisha hivyo
Hivi...
Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka...
Kama umemkamata mwanamke wako ana mapichapicha akaanza kutoa chozi na kulia isiwe kigezo cha kusamehe.
Mwanamke hata akitoa machozi jaba zima ni namna yao ya kuku"fool mwanaume umuonee huruma kwa utopolo wake.
"Oooh nilimkamata na nanii akaanza kulia sana ikabidi nimsamehe" ukaanza kusema "...
Kwanza unatakiwa kujua kwamba Serikali inapokuwa inafanya maamuzi yake Inaweza isiwe sahihi Kwa mujibu WA katiba lakini ikawa sahihi kisiasa, kiuchumi, kiusalama wa nchi au kiutawala.( Constitutionally wrong but politically right etc and vice versa).
Utaratibu Huu upo katika Serikali zote...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura Namba 129 ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu na mafunzo ya ufundi katika Vyuo ambavyo si Vyuo Vikuu ama Vyuo Vikuu Vishiriki nchini. Jukumu mojawapo la Baraza ni kuhakikisha kuwa mafunzo...
Tulianza awamu ya tano tukapiga makofi wapinzani walipofilisiwa na kufunguliwa kesi tukiamini tunakijenga chama. Tulipomalizana nao tuliamia kwa wana CCM nakuwachapa kuanzia kwenye fikra Hadi kwenye akaunti zao. Leo Wana CCM wote waliokuwa na nguvu ya kiuchumi wamefilisika, au wamekufa kwa...
Asikudanganye mtu hakuna chochote kigeni kwenye hii dunia. Mambo yanayotokea leo hii yalishakuwepo kwenye huu ulimwengu miaka maelfu kwa maelfu iliyopita.
Unaongelea kuhusu rushwa, chuki, wivu, ukatili, ukabila, upendeleo, kulewa madaraka, magonjwa, mauaji etc etc yote utayakuta kwenye vitabu...
Maisha ya kila siku Lugalo MATC yakoje? Ni kama sekondari? Maana naona joining instructions kama za sekondari!
Nisaidieni nifaye maamuzi sahihi, sitaki maisha ya kishule shule, ki- sekondari tena.
Mara uniform, mara ufagiio, mara kudeki bweni, mara kengele ya kula, kulala, kuoga etc etc...
"Kuanzia sasa wale Wote ambao watakutwa na Makosa ya Kuua Wenzao hakuna Kufungwa Kifungo cha Maisha Jela bali na Wao wanatakiwa Kuuliwa kwa Kunyongwa ili wasiendelee Kututia Hasara kwa Upumbavu wao na kuwazidishia tu Majonzi wale Ndugu wa Marehemu wakijua bado wanaendelea Kupumua hii Hewa ambayo...
Changamoto ya afya ya moyo ya Mkuu wa tano wa utawala wa nchi yetu ilijulikana kwa kuchelewa sana (baada ya kifo chake) kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya.
Changamoto ya afya ya moyo ambayo ndiyo iliyomlazimu (hili nina uhakika kabisa ukirejea utaalamu wa kiafya) asiweze kusafiri mbali kwa...
Nimeona ni vema jambo hili liwekwe wazi ili kuondoa upotoshaji maana tayari kuna wapotoshaji wameanza kazi yao.
Uongozi na hasa uongozi wa Juu kama Urais, unaendeshwa kwa utaratibu uliowekwa ndani ya Katiba ya nchi, hauendeshwi kwa kutumia jinsia, kigezo hicho hakuna, Suruali au dela la mtu...
Na Salma Said, Zanzibar
Ushiriki wa wanawake katika masuala uongozi ni jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele sana na watetezi wa haki za wanawake wakitaka kushirikishwa kikamilifu kama azimio namba tano la umoja wa kimataifa linalotaka asibakishwe mtu nyuma.
Wadau wanatambua kuwa kuna...
Habari zenu wadau .?
Mimi nitaandika kidogo kuhusu utulivu wa mtu na jinsi unavyoweza kumsaidia myu katika kuaminiwa, au kufanya jambo lolote lile katika maisha ya kila siku.
Ni maanaya utulivu.??
Utulivu kwangu mimi nasema ni ile hali ya mtu kujipa tafakari la muda kiasi utakao msaidia...
Bunge limekuwa dhaifu. Aliwahi kuyasema haya Prof. Assad.
Bunge limekuwa kibogoyo. Aliwahi kuyasema haya mwandishi na mchambuzi mkongwe wa masuala ya kisiasa Pascal Mayalla.
Maneno ya nguli hawa yanajidhihirisha sasa. Nitatoa mifano michache tu.
Moja. Yeye mwenyewe amewahi kukiri kwa kinywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.