Ukiniuliza kule Ulaya ni Mshabiki wa Timu gani basi ni wazi kuwa ntakujibu Mimi ni Mshabiki na Mfuasi wa AC Milan.
Ukija Bongo ukiniuliza basi ntakwambia nipo Yanga, lakini pia ni mshabiki lialia wa Tangu na Tangu wa Club Deportivo Abajalo maarufu kama Abajalo Mnyama Mkubwa yenye Maskani yake...
Na Sam Ruhuza
Maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu Bandari!
Mahakama Kuu Mbeya chini ya Majaji watatu imetoa maamuzi yake kwenye kesi iliyofunguliwa na Wazalendo dhidi ya Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai.
Kwenye maamuzi hayo yenye kurasa 91...
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) imesema linafanya uchunguzi baada ya kupata malalamiko kutoka kwa Wadau wa Cameroon wakitaka kuchunguzwa kwa mwenendo usiofaa wa Samuel Eto’o ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT).
CAF inachunguza maombi haya kwa kuzingatia na kwa mujibu...
Afrika ni bara tajiri sana. Hilo halina ubishi, wasomi wetu wengi wanakuja na ushahidi wa kila namna unaoshihirisha namna bara hili lilivyobarikiwa. Kuanzia juu kabisa kule Morocco mpaka Afrika ya Kusini pote huko kumejaa mali nyingi zilizo chini ya ardhi.
Uranium inayopatikana nchini Niger...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuingia na kubobea kwenye kilimo, mifugo na uvuvi, akisema kuwa hilo ndilo eneo litakaoleta uchumi wa mtu mmoja mmoja na wananchi wote kwa ujumla.
Kauli hiyo ameitoa jana Agosti 3, 2023 baada ya kukagua mabanda ya maonesho ya nanenane kitaifa...
Nakumbuka 2002 niliazimwa cassete ya Nellyvile albam ya Nelly nikaenda kuirekodi nipate nakala, redio ikazunguka spidi ikala mkanda, kiukweli mshkaji alinimaidi sana maana ilikuwa ni casette original ametumiwa na ndugu yake kutoka Marekani. Nilijisikia vibaya sana kupoteza hii connection, kuna...
Wasalaam JF,
Kimya chenye mshindo hubeba dhana ya uzito wa tatizo, na kiwango Cha dhoruba kinampata.
Kuna sehemu mpaka Leo pameandikwa. "Usikonjoe hapwa" na bado watu wanakonjoa pale.
Ni hayo tu
Tulia na utatulizwa
Ndio mimi Wadiz
Utangulizi
Utawala bora na ushiriki wa wananchi ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Utawala bora unaohusisha uwazi, uwajibikaji, haki, na kuheshimu haki za binadamu unaimarisha demokrasia na kuleta ustawi katika taifa...
1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
2. Kufanya kiswahili kuwa...
Naandika kwa uchungu sana. Saa nyingine naona hata bora ningekuwa mhadzabe nisijue chochote kinachoendelea kufanywa na wenye mamlaka. Huu ufisadi unaovuja au kusikia kupitia CAG ni sehemu tu ya ufisadi mkubwa uliowahi kufanywa na unaofanywa na baadhi ya watanzania wenzetu wenye dhamana ya...
Ifike mahali mnaojifanya mna uchungu wa nchi hii na kuchukulia maamuzi kwa kusema watz wote wamechoka semeni kwanafasi yenu..
Leo hii kuna agenda zinaendelea chini kwa chin kuwa watu wanapanga kufanya vurugu kuandamana kisa bandari na wameeanza kuwadanganya baadhi ya watz kuwa nchi imeuzwa hivi...
Hivi karibuni, Tume ya Kimataifa ya Kusuluhisha Migogoro ya Uwekezaji, ambayo ni sehemu ya Benki ya Dunia, imefunga usuluhishi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tume hiyo imetoa adhabu yake, ikiamuru Tanzania kulipa fidia ya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 109.5 sawa na takribani...
Nimefuatilia mjadala ulioandaliwa na serikali leo.
Msemaji mmoja mwenye mlengo wa kiserikali alisema na naomba nimnukuu
"Kasomeni katiba masuala ya viwanda na uwekezaji sio miongoni mwa mambo ya muungano" mwisho wa kumnukuu.
Kauli hii inaonyesha dhahili ilivyo ngumu kwa mmatumbi kutoka...
Katika kitabu cha Shaban Robert kiitwacho Kusadikika, Mtunzi anashauri 'Ng'ombe kurejea zizini kusaidiwa baada ya kuvunjika marishoni, sio kosa'.
CCM imevunjika, irejee zizini kusaidiwa ili kusonga mbele.
Maandalizi ya uchaguzi wa 2025 ni sasa hivyo kama chama tufanye maanuzi magumu ili...
Uhuru wa abiria kusafiri usiku ni muhimu mno kwa maendeleo yetu. Unatoka Arusha saa 10 jioni unafika Dar saa 10 asubuhi. Unafunga mzigo wako mchana jioni saa 10 unakamata BM unarudi Arusha asubuhi saa 10 upo Arusha. Biashara inaendelea.
Madereva wa mabasi wanahitaji muda kidogo kuweza kuzoea...
Bandari, bandari Bandari
=====
Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi.
===
JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World
Utangulizi
Hali ya ushiriki wa wanawake katika maamuzi ya afya ni suala muhimu linalohitaji kipaumbele katika jamii zetu. Wanawake wana haki ya kuchangia katika maamuzi yanayohusu afya zao wenyewe, familia zao, na jamii kwa ujumla. Hata hivyo, katika sehemu nyingi duniani, wanawake bado...
MOYO WA SIMBA: KUIMARISHA UJASIRI NA UADILIFU KATIKA MAAMUZI YAKO
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Maamuzi ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunafanya maamuzi madogo na makubwa kila wakati, kuanzia chakula cha kula hadi kazi ya kufanya. Hata hivyo, si maamuzi yote tunayofanya...
Rais umefanya mema na mazuri kupitia uongozi wako. Mungu mtakatifu ana kusudi la kukupa nafasi kuu ktk nchi yetu ktk mazingira uliopewa si Kwa mapenzi ya wanadamu Bali Mungu tu..Si Kwa wewe kutaka Bali neema tu.
Wengi sana walijitokeza (Watangaza nia)ili kupewa kijiti cha kupeperusha bendera...
Asalaam,
Kila uchao maswali yanakuwa mengi bila majibu. Katika mijadala inayoendelea hasa hasa kuhusu bandari na mingine inayoanza kusikika kama TFS, TPDC, etc. Kuna eneo nimejaribu kuangalia kama limeongelewa sijaona. Kelele ni nyingi, uchungu ni mwingi, furaha ni kubwa, vijembe na tambo mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.