Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.
Mi nafikiri uduni uliopo katika jamii yetu umetengeneza ulimbukeni katika fikra na reasoning za watu katika maswala ya maendeleo ya mahusiano.
Kuna watu wanadhani kuwa mtoto wa kiume ni kuwa robot alie auto-matic katika kukidhi kila kitu kilichopo mbele yake.
Ndio maana wanaojinyonga , walio...
Kuna changamoto na adha kubwa tunapitia Watumishi wenye mahitaji maalum kwenye suala la uhamisho, tunapangiwa sehemu za kufanya kazi ambazo sio rafiki, hivyo inaathiri utendaji na inapotokea tunafuatilia uhamisho barua zinapokelewa Kama ushahidi TU hazifanyiwi kazi.
Mara nyingi tunapofuatilia...
Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege anaelekea Ulaya, zile za utotoni?
Mgombea Ubunge Moshi- Nitafufua viwanda vyote vilivyofilisiwa na...
Habari zenu wanaJF wenzang
Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu.
Kama una taarifa, una...
Habari zenu wakuu.
Baada ya kukutana na vijana kadhaa wanatamani wamiliki gari used kuwahi shughuli zao ila bajeti haitoshi, Yaani ni kazi kukusanya milioni 5 au 4 kwa pamoja.
Naielewa vyema hali hiyo nami nilipitia nikianza maisha ya kujitafuta. Sasa nimekuja na plan kuwawezesha kutimiza...
Suala la uzazi hasa kwa karne hii imekuwa ni changamoto sana. Idadi kubwa ya wanawake inakumbwa na changamoto.za uzazi kwa wakati na pengine kupelekea utasa.
Lipo jambo moja ambapo umri wa mwanamke unapoonekana kwenda sana na hakuwahi kuzaa, kuna uwezekano mkubwa apate changamoto uzazi pale...
Habari za leo wadau na wajuzi wa sheria
Naomba msaada wako wa kisheria
Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja
Ambapo ulianza mwaka jana,
Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures...
Ndugu
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,huu ni Uzi Maalum wa kutoa neno la faraja na kumtakia Heri kiongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu A Lissu aliyepewa kesi ya uhaini na kuwekwa death row pale ukonga huku akikumbana na manyanyaso chungu nzima kutoka Kwa askari magereza...
Jesca John Magufuli amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana kutoka Tanzania Bara.
Katika matokeo yaliyotangazwa leo Agosti 2 aliyeshika nafasi ya kwanza Damas Kamani alipata kura 409, Jesca...
Msimamizi wa uchaguzi wa Viti Maalum kupitia kundi la UVCCM Bara na Zanzibar watakaowakilisha Vijana kwenye Bunge la Tanzania, leo asubuhi ya August 2 2025, ametangaza matokeo ya kura zilizopigwa usiku wa kuamkia leo ambapo kwa Tanzania Bara wamepatikana Wagombea sita.
1. NG’WASI KAMANI - KURA...
Mchakato wa kura za maoni kuwapata wagombea ubunge viti maalumu kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoani Morogoro umekamilika, huku Lucy Kombani akiongoza kwa kupata kura 1,314 kati ya kura halali 1,646 zilizopigwa, akifuatiwa na Sheila Lukuba aliyepata kura 597.
Katika mkutano huo...
Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20...
Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama...
Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa...
Majeshi majeshi!
VAENI SILAHA ZOTE ZA IMANI KUPIGANA NA YULE MUOVU!
Elewa neno SILAHA ZOTE (MASHINE mpya yesu na analogi za maombi ya sadaka na karamu za zamani katika agano la kale hatuwezi kuzipuuza)
Kama mulivyoona ibada iliyopita wana wa anaki bado wapo na sisi kutufuata fuata!
Muda wa...
Kulingana na katiba, kanuni za bunge au tume ya uchaguzi Tanzania kuna muda maalumu wa vyama vya siasa kuteua wagombea wa urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu??
Unamlea mwanafunzi:
Mwenye changamoto ya kujifunza (slow learner)
Asiyefahamu kusoma na kuandika vizuri
Mwenye uhitaji wa mbinu maalum ya ufundishaji
Au mwanafunzi wa Special Needs anayehitaji mwalimu mwenye uvumilivu, upendo na mbinu maalum?
Tunao walimu walio bobea katika:
Phonics &...
📢 TANGAZO MAALUM KWA VIJANA WALIO CHUO, WALIOHITIMU CHUO AU FORM SIX!
Kama wewe ni mwanafunzi wa chuo, umehitimu chuo, au umemaliza kidato cha sita, basi usikose kutembelea kurasa hizi muhimu zinazokupa taarifa sahihi, maarifa na mwelekeo wa maisha ya baada ya shule:
🔹 1. Fursa za Ajira –...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.