Maalim Seif ni Mtanzania, tena ni Mtanzania mzalendo kwelikweli!
Ni miongoni mwa watu ambao mwalimu Nyerere aliwaheshimu sana kutokana na misimamo thabiti na kipawa chake kikubwa sana cha akili.
Lakini ukiacha kuipenda Tanzania, Maalim anaipenda sana Zanzibar, nchi aliyozaliwa. Wazanzibar...
Wakuu hongereni na majukumu ya kila siku.
Najua mlio wengi hamjapata nafasi ya kuwa pahala nilipo. Ninaiita nafasi kwa kuwa ninachokishuhudia hapa LIVE kimeniletea hisia za kimwili, kiakili na kisaikolojia ambazo huwezi kuzipata kwa namna yeyote ile hata kwa kutazama pichani huko kwenye...
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja.
Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall.
#MkutanoMkuuACT2020
#KaziNaBata
#TheFutureIsPurple
=====
UPDATES
======
#UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR
- Chama hicho...
Najua kuwa mazungumzo bado yanaendelea kati ya Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na Chama cha ACT Wazalendo ya namna ya kuachiana nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao.
Kwa mazingira niliyoyaona Leo kwa mgombea wa Urais wa chama cha Chadema, Tundu Lissu kuibuka kwenye mkutano...
Salaam kwenu wakuu,
Mimi sijihusishi na siasa za Tanzania kidhati ya moyo, nimekuwa ni mfuatiliaji tu wa namna mambo yanavyokwenda/yanavyoendeshwa ndani ya nchi yetu. Niliwahi kuwa mwanachama wa CUF Habari mwanzoni mwa miaka ya 2010 na kadi yangu nilipewa na Julius Mtatiro, hata hivyo nilihamia...
ZITTO ANAJUA NINI ANAFANYA.
Mbowe alipompeleka Lowasa CHADEMA (inasadikika kidikteta) alisema wamebadilisha gia angani. Mbowe alikuwa anaamini Lowasa atashinda uchaguzi, alitegemea kuwa ile mitandao ya Lowasa italinda kura na CHADEMA kitashika madaraka. Baada ya matokeo ya uchaguzi (inasadikika...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha mchakato wa kupata mgombea wake wa urais kwa upande wa Zanzibar.
Ni Hussen Ali Hassan Mwinyi. Mwanasiasa mtulivu, mkimya na asiyependa kujikweza.
Zipo tetesi kuwa ukimya wa Hussein Mwinyi, unavuka mipaka ya kawaida. Hata kwenye vikao vya Baraza la...
FUNGU GANI NIMUWEKE MAALIM SEIF AHESABIKE?
Na, Deogratias Mutungi
Kisiasa unaweza kusema hizi ni nyakati za jioni na hivyo giza linaanza kuingia na ni vema kuanza kujiandaa kurejea majumbani tayari kwa kusubiri siku nyingine, Huu ndio ukweli ambao upo wazi kuwa Bwana Maalif Seif Shariff Hamad...
Maalim Seif akabidhiwa fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha ACT Wazalendo kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Kakabidhiwa fomu hizo na Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu Ado Shaibu katika Ofisi Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo iliopo Vuga, Zanzibar.
Maalim Seif...
Wakuu leo nimemuona Maalim Seif akiwa na Fimbo maarufu kama Mkongojo, silamlaumu ila at 77 ni kawaida kwa mtu kuanza kupata mashambulizi. Kinachoniumiza kwanini mzee haamini katika Succession plan?
Kampeni zinahitaji Nguvu ya ziada zisiwe zile za Lowassa 2015 alikua hawezi hata kumaliza dakika...
habari ndugu zangu wana JamiiForums.
Nionavyo Mimi Maalim Seif ajaribu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa sababu hizi
1: Amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio hivyo ajaribu na JMT
2: Maalim Seif ni mwanasiasa makini hivyo akigombea JMT na akashinda Tanzania nzima...
Historia ya siasa za Zanzibar haiwezi kuandikwa ikakamilika bila kulitaja jina la Seif Sharif Hamad. Maalim ni mtu mmoja mwenye sehemu kubwa katika historia hiyo na kamwe hapuuziki.
Maalim alizaliwa tarehe 22 Oktoba mwaka 1943 huko Mtambwe Nyali kisiwani Pemba. Yeye ni mtoto wa pekee kwa mama...
VYAMA vya Siasa 12 vimeitaka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kumchukulia hatua kali za kisheria Mwenyekiti wa chama cha ACT wAZALENDO, Maalim Seif Sharif Hamadi kwa kutoa kauli za kichochezi ambazo anaenda kinyume na kanuni na sheria za vyama vya siasa nchini
Pia, wamesema kiongozi huo...
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD WELCOMES G20 DECISION ON DEBT RELIEF: NOW IS THE TIME FOR ACCOUNTABILITY MECHANISMS TO BE DEVELOPED AND ENFORCED
Statement by Maalim Seif Sharif Hamad, Chairperson of ACT-Wazalendo
I welcome the decision of the G20 countries made on 15 April 2020 to suspend debt...
Ndugu zangu,
Karma inafanya yale unayomfanyia mwenzio, taabu wanazopata Chadema huenda ni malipo ya mabaya waliyofanyia waliowainua.
========
Mwenyekiti wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ametoa mtazamo wake kuhusu uamuzi wa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama Cha...
Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.
Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo?
Halafu iangalie vizuri historia ya Prof...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.