maalim seif

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ACT Wazalendo

    Maalim Seif achukua fomu ya Uenyekiti ACT-Wazalendo

    Kwenye ukurasa wake wa Twitter Maalim Seif ameandika hivi punde: "Kufuatia kutangazwa kuanza kwa Uchaguzi ndani ya Chama cha @ACTwazalendo Ngazi ya Taifa leo nimeamua kutumia haki yangu ya kikatiba kuchukua fomu kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa. Nilikabidhiwa fomu na Katibu Mkuu...
  2. J

    Tetesi: Maalim Seif kugombea urais wa JMT, Mbowe mgombea mwenza Zitto Waziri Mkuu mtarajiwa; Lema kugombea Ubunge Hai

    Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT. Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu. Godbless Lema naye anatajwa kuhamia...
  3. beth

    Pemba: Viongozi wa ACT, Maalim Seif na Salim Bimani waitwa Polisi. Washutumiwa kufanya mkutano bila kibali, waachiwa kwa dhamana

    Mshauri mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad na Mwenyekiti wa Kamati ya Itikadi na Uenezi wa ACT Wazalendo Salim Bimani wameripoti katika Kituo cha Polisi Wete Pemba asubuhi ya leo. Viongozi hao wa ACT Wazalendo wameitwa na Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (RCO) Mkoa wa Kaskazini...
  4. B

    Mkwara wa Rais Magufuli, Maalim Seif anyimwa posho ya matibabu!

    Kwa mujibu wa RAIA TANZANIA, Maalim Seif Augwaya Mkwara wa Magufuli..Aenda Kwenye matibabu bila posho , Maombi yake yadunda ofisini kwa Dr Shein
  5. KAMUGUNGA

    Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

    Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo. Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais...
Back
Top Bottom