Uchaguzi 2020 Wakati umefika Maalim Seif agombee Urais wa JMT siyo Zanzibar

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
709
1,556
habari ndugu zangu wana JamiiForums.

Nionavyo Mimi Maalim Seif ajaribu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa sababu hizi

1: Amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio hivyo ajaribu na JMT
2: Maalim Seif ni mwanasiasa makini hivyo akigombea JMT na akashinda Tanzania nzima itanufaika na uongozi wake
 
habari ndugu zangu wana jamii forum....
nionavyo Mimi ..maalim seif ajaribu kugombea urais wa jamhuri ya muungano kwa sababu hizi
1: amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio...hivyo ajaribu na JMT
2: maalim seif ni mwanasiasa makini hivyo akigombea JMT na akashinda Tanzania nzima itanufaika na uongozi wake
Zamu yao bado!
 
Kuwa makini pekee hakukufanyi ushinde uchaguzi.

BTW:Umesikia sababu aliyoitoa juu ya kwa nini ameamua kugombea?

Nanyi mnaotaka agombee JMT mtishieni kuandamana na kutojitokeza kupiga kura asipogombea kama walivyofanya Zanzibar!
 
JMT anaogopa,ataanzia wapi,labda aseme kuwa utafiti unaonyesha kuwa akigombea JMT watu watakufa kwa kisukari ndio maana hagombeagi.
 
habari ndugu zangu wana jamii forum....
nionavyo Mimi ..maalim seif ajaribu kugombea urais wa jamhuri ya muungano kwa sababu hizi
1: amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio...hivyo ajaribu na JMT
2: maalim seif ni mwanasiasa makini hivyo akigombea JMT na akashinda Tanzania nzima itanufaika na uongozi wake
Wenzake wote sasa wanalea vitukuu,labda agombee Tandika kwa wapemba wenzake.
 
habari ndugu zangu wana jamii forum....
nionavyo Mimi ..maalim seif ajaribu kugombea urais wa jamhuri ya muungano kwa sababu hizi
1: amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio...hivyo ajaribu na JMT
2: maalim seif ni mwanasiasa makini hivyo akigombea JMT na akashinda Tanzania nzima itanufaika na uongozi wake

Jamani huyo mtu amechoka tunao vijana wengi tu damu changa
 
Huyo hana shida na Urais huyo anajambo na Zanzibar
Kuna watu wapo nje ya Nchi wanamtumia
Adhma yake na wenzake ni kuvunja muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar, kisha kuiunganisha Zanzibar na uarabuni (eg. Oman, Iran, Falme za Kiarabu).
 
habari ndugu zangu wana jamii forum....
nionavyo Mimi ..maalim seif ajaribu kugombea urais wa jamhuri ya muungano kwa sababu hizi
1: amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio...hivyo ajaribu na JMT
2: maalim seif ni mwanasiasa makini hivyo akigombea JMT na akashinda Tanzania nzima itanufaika na uongozi wake

Zanzibar miongo mitatu kapata mafanikio, chaguzi zote ameshinda, iliokosekana mipango madhubuti ya kudai ushindi wake , Lakini ipo siku watatoa, kwa Tanganyika hata agombee ni bure kwa sababu watanganyika waoga sana kama kunguru
 
habari ndugu zangu wana jamii forum....
nionavyo Mimi ..maalim seif ajaribu kugombea urais wa jamhuri ya muungano kwa sababu hizi
1: amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio...hivyo ajaribu na JMT
2: maalim seif ni mwanasiasa makini hivyo akigombea JMT na akashinda Tanzania nzima itanufaika na uongozi wake

At 77 years!!!
 
Adhma yake na wenzake ni kuvunja muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar, kisha kuiunganisha Zanzibar na uarabuni (eg. Oman, Iran, Falme za Kiarabu).
Dah akili nyengine.
Mumelishwa propanganda hadi miaka hii.. mbona hii serikali iliyopo inashirikiana na Omani na hamsemi.
 
Kwa siasa hizi hakuna Mzanzibari ataweza kugombea tena Tanganyika.

Mwinyi alifunga milango.

Maalim anatosha Zanzibar tu, ccm msiogope. Mpambanisheni na Jecha.
 
Back
Top Bottom