maalim seif

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Tundu Lissu: Hatuna maslahi na Urais Zanzibar, tutatangaza rasmi kumuunga mkono Maalim Seif

    “Sisi CHADEMA tumetangaza rasmi kumuunga Mkono Maalim Seif kama ilivyo kwa Cheyo na Mrema kumuunga mkono Magufuli na hili tutatangaza rasmi muda si mrefu"- Tundu Lissu. "Kama ilivyosahihi kwa Mrema na cheyo kumuunga mkono Magufuli, ni sahihi kwa Maalim Seif na ACT kuniunga mkono na ni sahihi...
  2. Roving Journalist

    GE2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

  3. Miss Zomboko

    GE2020 Maalim Seif: CCM imeweka mikakati yake ya kumtafutia ushindi Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu aje nimpe mikakati ya kushinda kwenye Uchaguzi

    MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo anataka kukutana na Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema ili ampe mikakati ya ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Maalim Seif ambaye ni Mwenyekiti chama hicho ametoa kauli hiyo jana...
  4. YEHODAYA

    GE2020 Mgombea Urais wa chama kimoja aweza muunga mkono mgombea urais wa chama kingine tofauti bila ridhaa ya Mkutano Mkuu wa chama chake?

    Kuna maajabu yanayovunja katiba za vyama kwenye uchaguzi huu mkuu. Tumeona Lisu Makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA na mgombea uraisi kupitia Chadema akitoa tamko kuwa anamuunga mkono Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif wa Act wazalendo. Pia tumeona Maalim SEIF Mwenyekiti wwa ACT wazalendo...
  5. M-mbabe

    GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
  6. Kurzweil

    Maalim Seif: Nikichaguliwa, wakulima wa karafuu, viungo watauza popote duniani

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza, atahakikisha wakulima wa viungo na karafuu wanakuwa huru kuuza mazao yao sehemu yoyote wanayotaka duniani. Maalim Seif aliyaeleza hayo katika Kijiji cha Konde, Wilaya...
  7. TandaleOne

    Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    TAKWIMU HAZIDANGANYI Kwa kawaida Kisiwa cha Pemba limekuwa chini ya himaya ya Maalim Seif kwa muda mrefu, mara zote kura za Pemba zimekuwa ni kura za uhakika kwa Maalim, kwa kifupi Pemba ilikuwa ni Ngome ya Maalim Seif, ukweli huu kwasasa umebadilika. Mapokezi ya Dkt Mwinyi jana yamekuja na...
  8. Erythrocyte

    GE2020 Pemba: Maalim Seif azindua Kampeni rasmi katika Viwanja vya Tibirinzi

    Ni katika Viwanja vya Tibirinzi, viwanja mpaka muda huu vimetapika, hizi ni picha za awali
  9. Erythrocyte

    Kibandamaiti, Zanzibar: Uzinduzi wa kampeni za Maalim Seif usipime

    Ni hivi , kama kuna Mwanaccm yeyote anayetegemea Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya sanduku la kura basi ni vema akaendelea na shughuli zingine , kwa hali ilivyo Zanzibar tangu asubuhi ya leo, ambayo ndio siku ya uzinduzi wa kampeni za Maalim Seif wa ACT WAZALENDO hakuna namna...
  10. B

    Maalim Seif ateuliwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuwa mgombea Urais Zanzibar

    Hatimaye Mwenyekiti wa ZEC amethibitisha kuteuliwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar. ===== ZEC YAMPITISHA MAALIM SEIF KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imempitisha Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif kuwa mgombea wa Urais baada...
  11. Erythrocyte

    Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

    Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi. UPDATES: Zanzibar 2020 - Maalim...
  12. G

    Maalim Seif waambie ukweli, unataka kuwa Rais? Adui wa Mzanzibari ni Mzanzibari

    AGREEMENT & CONTRACT Ushawahi kukutana au kufanya kazi na mtu akakwambia ikitokea ukaharibu basi na mimi nimeharibikiwa na tutaangamia wote. Uchunguzi wa jambo lolote ni sanaa na sayansi kama utalifanya pasipo kuwa na majibu kichwani ila ukawa na maswali yasiyo na majibu utapata majibu ila...
  13. Naantombe Mushi

    Kama Maalim Seif akishindwa kuchukua nchi mwaka huu, ajilaumu mwenyewe kwa uamuzi wake wa kutokwenda kwa Wapinzani wenye nguvu (CHADEMA)

    Nimesikiliza kwa makini sana hotuba za Tundu Lissu akiwa Zanzibar, yaani unaona kabisa madini aliyokuwa anamwaga Tundu Lissu, laiti kama ile platform angekuwa yupo bega kwa bega ana mnadi Maalim Seif kama mgombea wa CHADEMA Zanzibar, mambo yangekuwa tofauti sana. Sio kwamba napuuza nguvu ya ACT...
  14. W

    GE2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

    Ndugu zangu, Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif. Muda unatoa majibu sasa.
  15. K

    GE2020 Ujumbe maalum kwa ndugu Polepole: "Maalim Seif ni sauti ya Zanzibar"

    Mada inahusika. Wakati akitaja majina ya wateule wa nafasi ya kugombea uwakilishi kwa Zanzibar, Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Polepole alisikika akitumia neno Mzee yule akimlenga Maalim Seif eti kuacha kuwataja viongozi wao na kufika hatua ya kusema ni onyo la mwisho na vyenginevyo...
  16. Dam55

    Maalim Seif, punguza ukali wa maneno kutunza heshima yako

    Wana JF wenzangu sijui labda ni Mimi ndio sielewi Ila kwa mtu ambaye tunategemea aje kuwa Rais alafu anatamka maneno makali kiasi hiki si picha nzuri na inamvunjia heshima. "Na mimi nawambieni CCM. Wallahilaadhim mara hii simzuii mtu yoyote kabisa na mimi na Viongozi wenzangu tukiamua kutoka...
  17. Richard

    "Tunajua wanapolala, wanachopanga" - IGP Sirro

    Msikilize kwa makini IGP Sirro kuanzia dakika ya 33 hadi mwisho.
  18. M

    Hatma ya Muungano ipo mikononi mwa Maalim Seif, ili kuulinda basi tumtendee haki huyu mzee angali hai

    Maalim Seif ni Mtanzania, tena ni Mtanzania mzalendo kwelikweli! Ni miongoni mwa watu ambao mwalimu Nyerere aliwaheshimu sana kutokana na misimamo thabiti na kipawa chake kikubwa sana cha akili. Lakini ukiacha kuipenda Tanzania, Maalim anaipenda sana Zanzibar, nchi aliyozaliwa. Wazanzibar...
  19. demigod

    Mapokezi ya Maalim Seif Zanzibar, Mwili wangu umekufa ganzi

    Wakuu hongereni na majukumu ya kila siku. Najua mlio wengi hamjapata nafasi ya kuwa pahala nilipo. Ninaiita nafasi kwa kuwa ninachokishuhudia hapa LIVE kimeniletea hisia za kimwili, kiakili na kisaikolojia ambazo huwezi kuzipata kwa namna yeyote ile hata kwa kutazama pichani huko kwenye...
Back
Top Bottom