Ulimsaliti Maalim Seif kwa vipande vya fedha. Umevuna ulichopanda.
Umeondoka kwa aibu kubwa!
Umebakiza kufa tu duniani!
THE EVILS THAT MEN DO LIVE AFTER THEM.
BADO ADHABU YA KABURI INAKUSUBIRI
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha AAFP, Said Soud Said, amemshukia mgombea wa ACT Wazalendo, Othman Masoud, akidai hana uwezo wa kufikia hata kwa mbali hadhi ya kisiasa ya marehemu Maalim Seif Sharif Hamad.
Said alitoa kauli hiyo akijibu maneno ya uchochezi na ya kubeza sheria za...
Maalim Seif alipewa kipaji cha kukubalika na kuaminika Unguja na Pemba kuliko mwanasiasa mwengine yoyote kutokea katika miaka hii 60 - 70 iliopita.
Tundu Lissu amepewa kipaji cha kuwa binaadam mwenye akili sana Tanzania, asiweza kukata tamaa na
Licha ya madhila makubwa aliokumbana nayo ni mtu...
Kama mlikuwa manjua Tanzania kuna upinzani basi mlikuwa mnajidanganya Sana
Mrema
Mbowe
Lipumba
Maalim Seif
These guys, walikuwa double Agent so kuweni makini vijana sasa tunaelekea katika ukombozi wa kweli .
Mkongwe Maalim Seif hadi anakwenda kwa muumba wake (Mwenyezi Mungu amrehemu na ampunguzie adhabu za kaburi) amefanya Kila jitihada za kuingia Ikulu ya Zanzibar lakini hakufanikiwa, hakuna mkakati, mpango, mbinu ambazo Maalim hakuzitumia.
Kwa mfano Leo Tundu Lissu anasema No reforms no...
Kuhusu Mbowe, Mandela, Nyerere na Maalim Seif...
Mlisoma kitabu cha Nelson Mandela cha The Long Walk to Freedom, kiongozi huyo wa zamani wa ANC na baadaye Afrika Kusini anasema wakati alipoanza mazungumzo ya faragha ya kusaka maridhiano na serikali ya makaburu wakati akiwa jela, wenzake ndani...
Tunatakiwa kujiuliza kwanini nchi inapotaka kufanya maandamano ya amani na ku express hisia za wananchi, CCM huwa inahaha kuhakikisha hilo jambo halitokei, kuna nini? Shida ni nini?
Je ni mkate wenye siagi nyingi utapotea?
CCM na serikali yake inalazimisha umma kuamini nchi inaamani, uhalisia...
"MAALIM SEIF, MAALIM SEIF, MAALIM SEIF"
Naangalia matangazo haya mubashara kutoka Bungeni, Dodoma. Hakika lilikuwa jambo la fedheha kwani kibwagizo kile cha jina la Maalim kilikuwa kinasema mengi na kuashiria mengi. Dunia ilikuwa inashuhudia upeo wa mwisho wa nguvu na ushawishi wa Maalim Seif...
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.
Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.
Lakini kwa nini hakuwakumbuka...
Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana...
Taasisi ya Maalim Seif Foundation ikishirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann Foundation imeratibu Mkutano wa Tatu wa Kumkumbuka na Kumuenzi Maalim Seif Sharif Hamad unaofanyika kwa siku mbili tarehe 25 - 26 Novemba, 2023 katika Hoteli ya Golden Tulip Airport, Zanzibar.
Kiongozi wa Chama cha...
Katika muktadha wa historia ya Zanzibar kuna wanaoamini kuwa hata Marehemu Mzee Karume mwenyewe alijutia yale maamuzi yake ya kuiunganisha Zanzibar na Tanganyika na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na ukweli kwamba mambo yalikwenda kinyume na matarajio yake. Viongozi wakubwa wa...
Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana.
Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi.
Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM.
Maalim Seif kule ACT Wazalendo.
Chama pale Simba SC.
Mbowe hapo Chadema nk.
Hata kama hawakuweka majina yao sentensi zao zitakujulisha waandishi hawa. Kulia ni Jabir Ali na kushoto ni Ali "Alberto" Saleh. Hakuna asiyewajua watu hawa. Makala zao wasomaji hawazipiti lazima watazisoma.
Waandishi hawa makala zao zinauza na kujenga gazeti na mwisho wa siku gazeti linapata...
“Tangu asubuhi nimeamka taswira ya maalimu Seif inanijia na natamani leo angekuwepo hapa katika uzinduzi huu na naamini huko aliko anatabasamu na mwenyezimungu aendeleee kumuweka mahala pema peponi” -
@zittokabwe
, Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo
Siku moja jioni moja miaka sita iliyopita nilipata bahati ya kumfikia Maalim nyumbani kwake Sharif Shamba nje na mbali na matarumbeta na shamrashamra za mikutano na mengineyo.
Ilikuwa starehe kubwa kwangu kunywa kahawa na Maalim na kuchekanae mfano tuko barzani tunapumzika.
Lakini tabu...
Majina mazito mazito haya ni kielelezo kamili cha wapigania haki wenye kutukuka. Nini kisimame mbele ya watu kama hao kuzuia haki kutamalaki?
Nini thamani ya maisha ya awaye yote kama ukosefu wa haki ndiyo unaozidi kuota mizizi?
Nini kimetupata watanzania sisi leo kutokuwa na kizazi cha...
Hii maana yake hasa ni nini? Upinzani Tanzania umekwisha? Chadema walilaumu sana kwanini kipindi kile Maalim alimtafa Magufuli Ikulu na kumsema maalim seif amewasaliti Upinzani, Lakini sasa macho yangu yanashuhudia kile kile kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo - CHADEMA.
Wananchi tupate picha...
"Mwaka sasa umetimia tangu ututoke. Ulituachia misingi imara kiuongozi. Tumeendeleza wosia wako wa kututaka kupigania Maridhiano ya Wazanzibari kwa nguvu na juhudi zote. Tumeendelea kushikamana na kuimarisha Taasisi yetu ya ACT–Wazalendo. Asante sana kwa Maisha yako kwetu Maalim."
Kiongozi wa...
MOHAMED GHASSANI AMEZUNGUMZA UKWELI NA UAMINIFU WA MAALIM
Nami naweka ushahidi wangu wa mapenzi waliyokuwa nayo watu Visiwani na Bara kwa Maalim.
Bahati mbaya sana mimi Allah hakunijaalia kipaji cha utunzi wa mashairi wala sauti ya kuyasoma mashairi asomavyo yeye.
Hatuchoki kumsikiliza, ''The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.