maajabu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunià kutoka Tanzania

    General elections in Africa Maajabu ya dunia kutoka Tanzania Data By Liberatus Mwang'ombe Registered voters: Zambia – 8.7 million Kenya – 22.1 million Tanzania – 37.6 million Counting speed: Tanzania “counted” 32 million votes in two days… with no internet and no electricity. Kenya needed...
  2. JamiiForums Tanzania Maajabu: Mwaipopo kajitangaza wazi anamiliki vikundi vya kigaidi bila kuhojiwa. Wakati huo polisi wakibambikia vyama shi kesi za ugaidi

    Openly, kwenye media, bila uoga, Mwaipopo kajitangaza kwamba anamiliki vikundi vya kigaidi vyenye mafunzo ya hali ya juu, akivionyesha kwenye camera. Polis hawakuchukua hatua yoyote. Badala yake polis wako bize kubambika kesi za ugaidi kwa wakosoaji wa ccm na utendaji mbovu wa serikali iliyoko...
  3. JamiiForums Tanzania Je tutegemee maajabu hapa au ndo janja janja za wabongo

    Nimekutana na hili tangazo kua hawa watu wa Uhuru Market wame partner na Posta kufanya delivery nchi nzima, vipi kuna aliyewai kutumia huduma zao.
  4. JamiiForums Tanzania Video: Kama ulidhani umekwisha ona maajabu yote, nakuhakikishia bado kuna mengi hujayaona

    salam wakuu, Duniani kuna mengi ya kushangaza na kustaajabisha tazama mwenyewe. https://vt.tiktok.com/ZSCoTfqm5/
  5. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Leo ni Kama Tufanyapo Uchaguzi, Anayeshinda X Anatangazwa Y. Leo Maandamano Wamealikwa Wengine Wanaandamana Polisi!

    Kuna mambo yanaendelea ni ya kushangaza, Sasa ona Leo hata kazi za ujenzi wa taifa na uchumi wa individuals hazijafanyika kisa Waandamanaji wamealikana wao wenyewe lakini walioandamana na kwa gharama kubwa ni askari wetu. Hii tabia Sasa inajirufia sana, uchaguzi nao tumekuwa na tabia hii ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna watu ni washamba unajua kwanini hii ni maajabu, demu akiwa Instagram haliwi? Plus big size model wanauza hamjui

    Kuna kasumba hapa kwamba demu akiwa instagram haliwi kwanza kuna hawa akina Chizi Maarifa na Yule Mwingine ntamtag later wanadhani mwanamke akiwa instagram hafikiwi, ndo tunaishi nao huku, mi level zangu si samaki samaki au sijui chabibwa! Am more than that, sikutaka hawali kuwa naweka weka ma...
  7. JamiiForums Tanzania Video: kuna maajabu huwezi kuamini ukisimuliwa, mpaka uone mwenyewe !!

    salaam, Hakuna haja ya kusimulia, tazama mwenyewe .... https://vt.tiktok.com/ZSQ39G9yF/ kwa wanaoweza kuingia ticktok bfya link https://vt.tiktok.com/ZSQ39G9yF/
  8. JamiiForums Tanzania Maajabu ya ‘maridhiano’ yanayotajwa tajwa na ‘serikali’!

    Siulizi kwa kejeli wala kebehi. Nauliza kimaanani kabisa. Watu walioshinda uchaguzi kwa 98%…. Watu waliopigiwa kura milioni 31+…. Watu ambao serikali yao inawakamata na kuwaweka ‘wahaini’ jela na magerezani…. Watu ambao wanaamini kabisa kuwa watu wote waliouliwa Oktoba 29 waliuliwa kihalali...
  9. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania.

    Nimeikuta hii huko Youtube. https://youtu.be/TdpZMM5cbo4?si=BQFl2tp0WEveObmJ
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bunge la Ulaya (EU) lapinga Msaada wa Euro Milioni 156 (Tsh. Bilioni 440+) kwa Tanzania. Wataja Haki za Binadamu na Uchaguzi wa 2025

    Wakuu, Kuna mvutano mzito unaoendelea huko Ulaya kati ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Parliament) na Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (European Commission) kuhusu mpango wa kuipatia Tanzania msaada wa kimaendeleo wa kiasi cha Euro Milioni 156 (zaidi ya Tsh. Bilioni 440). Kwa mujibu wa taarifa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna watu wameshindikana maajabu hayawezi kuisha

    Kuna Gen Z nilikuwa nae kwa mwaka jana sasa mwaka huu mwanzoni Kuna wahuni wakaweka mguu Kati mi naona katoto kanazidi kupendeza afu dharau zinazidi kishingo upande nikakubali yaishe. Sasa sijui ni mkosi ama udomo zege kila binti nayejaribu kuapproach nakula za uso sasa ikabidi nirudi rasmi...
  12. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Umoja wa Mataifa kuhusu Israel

    ⚠️Picha za picha kali sana⚠️ GRAPHIC-VIDEO Umoja wa Mataifa umeongeza vyombo vya Israeli kwenye orodha yake nyeusi ya unyanyasaji wa kijinsia unaohusiana na migogoro kwa mara ya kwanza, ukitaja Huduma ya Magereza ya Israeli katika ripoti ya 2026 na kuweka mamlaka zingine za Israeli chini ya...
  13. JamiiForums Tanzania Thamani na nidhamu ya muda Japan ni maajabu kwingine duniani

    Anaandika BSAT Properties katika ukurasa wake wa X Nilikuwa kwenye treni huko Tokyo. Tulisimama katikati ya vituo. Tangazo kwa Kijapani, kisha kwa Kiingereza: “Tunaomba radhi kwa kuchelewa. Tutaendelea safari muda mfupi.” Kuchelewa kulikuwa kama dakika tatu hivi. Hakukuwa jambo kubwa. Treni...
  14. JamiiForums Tanzania Kifahamu kitabu cha ajabu zaidi Duniani "Voynich Manuscript" na maajabu yake

    Hiki kitabu nilianza kusikia habari zake kupitia kwa Babu yangu kipenzi Mzee Moustapha Ameer, alikuwa mwandishi pia aliniambia kuna vitabu vingine si vya kusoma kwasababu hata wao kamwe hawakuwahi kuvielewa ila alinielewesha kuhusu kitabu cha One Thousands and One Night (Alf Laylah-wa Laylah) Mi...
  15. JamiiForums Tanzania Bara la Afrika na maajabu yake

    MAAJABU YA BARA LA AFRIKA. "Tajiri yuko tayari kutoa mamilioni kufadhili sherehe yako ya kijinga, lakini ukimwomba TZS 500,000 ya mtaji, anapata 'stroke' ya ghafla. Ni hapa pekee ambapo unaweza kuwa 'Most Wanted' (unatafutwa sana), si kwa sababu wewe ni jambazi, bali kwa sababu CV zako zimejaa...
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Sarah Wega afariki kwa ajali ya bodaboda

    Askofu wa Kanisa la The House of Prayer International Ministry, Kanda ya Songwe na muimbaji wa nyimbo za injili, Sarah Wega, amefariki dunia baada ya Pikipiki (bodaboda) aliyokuwa akisafiria kupata ajali ya kugongwa na lori iliyotokea Machi 16, 2026 katika eneo la Chapwa, Wilaya ya Momba mkoani...
  17. JamiiForums Tanzania Siri ya watu wenye high frequency(aura) na maajabu yake katika maisha

    High frequency(aura) ni energy au uwezo ambao mtu anakuwa nao kutoka kwa Mungu( God) au presence of God within. Kwa nini watu hawa wana high frequency ni sababu ya pure heart(upendo) sehemu yoyote yenye upendo uwa ina high frequency au aura, Mungu ili uwepo ndani yako lazima moyo wako uwe na...
  18. JamiiForums Tanzania Maajabu mwenyekiti achaguliwe na chama alafu msajiri aje amtengue kwani mwenyekiti wa chama cha siasa aliteuliwa na msajiri?

    Maajabu mwenyekiti achaguliwe na chama alafu msajiri aje amtengue kwani mwenyekiti wa chama cha siasa aliteuliwa na msajiri? Kwani msajiri ndio alimpa kazi mwenyekiti wa chama cha siasa haya mambo yalianza kama utani baada ya kuanza kuchezea chadema na ACT kwa kutumia ofisi ya msajiri sahivi...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Maajabu! Goba Mageti hadi mtaa wa Muhimbili, Dar es Salaam eneo hili halina mtandao

    Igweeeeeee Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi maisha standard ikiwa na ujenzi wa kisasa kabisa Ajabu ya eneo hili goba mageti hususani upande huu wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu, tume ile inakutana na wateule wanufaika wa utawala wà aliyeiunda

    Leo ni katelephone. Sasa huyu ana ukweli gani atakaousema wakati ni mnufaika wa utawala aliyeiteua Tume na ni mshukiwa wa matendo àliyoyaundia tume!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…