lugha

  1. JamiiForums Tanzania Kijana ajifunze lugha ipi kupanua goli la ajira na fursa?

    N.B: HADI NAFIKA HAPA NIMEONA KUNA PONGEZI NYINGIZAIDI YA MALALAMIKO KWA WALIOFANYA KAZI KWA WAZUNGU, KWA WENZETU WAHINDI, WACHINA, N.K HUKO KUNA MALALAMIKO MENGI KUZIDI PONGEZI, HIVYO NAOMBA USHAURI UWE UMELENGA LUGHA ZA ULAYA. Habari zenu wakuu, Nina kijana kamaliza form 6 mtoto wa shangazi...
  2. JamiiForums Tanzania Kijana ajifunze lugha ipi kupanua goli la ajira na fursa?

    N.B: HADI NAFIKA HAPA NIMEONA KUNA PONGEZI NYINGIZAIDI YA MALALAMIKO KWA WALIOFANYA KAZI KWA WAZUNGU, KWA WENZETU WAHINDI, WACHINA, N.K HUKO KUNA MALALAMIKO MENGI KUZIDI PONGEZI, HIVYO NAOMBA USHAURI UWE UMELENGA LUGHA ZA ULAYA. Habari zenu wakuu, Nina kijana kamaliza form 6 mtoto wa shangazi...
  3. JamiiForums Tanzania Vishazi katika lugha ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, Leo tuendelee kujikumbushia masuala mbalimbali yanayohusu lugha. Baada ya kuangalia maana ya Virai na aina zake katika somo lililopita (Soma: Fahamu zaidi kuhusu Virai, muundo na aina zake) leo tutatazama kwa kina kidogo kuhusu vishazi. Katika somo hili tutatazama maana ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Lugha wanazotumia wanawake kupiga mizinga zinafanana

    Kuna kitu nimekigundua siku za hivi karibuni, na naona kinafanana na wadada wengi, hata baadhi ya marafiki zangu nao wameanza kukumbana nacho. Inaonekana mahusiano ya kimapenzi imekuwa mojawapo ya chanzo cha mapato kwa wadada wengi, au kwa maneno mengine wewe mwanaume umekuwa chanzo cha mapato...
  5. JamiiForums Tanzania Rais hakuwatuma Polisi wamkamate Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi

    Friends and Enemies, Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake, Walikaaa kimya,na wengine walikimbilia Dubai na wengine Canada wengine wakahama chama na kumfuata kwenda kuunga...
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe atumia lugha chafu. Amuita DC Ilemela mjinga, hana Wilaya

    "Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowet ===
  7. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mtanzania yeyote, hata asiye na Elimu ni muhimu ajifunze lugha ya Kiingereza

    Habari zenu wanajukwaa la Story of change. Katika uzi huu nataka kuelezea ulazima wa kujifunza lugha ya kiingereza kwa mtanzania hata asie na elimu kubwa. Hili suala huwa haliongelewi kabisa na kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu lugha ya kiingereza. JE, HUO UPOTOSHAJI UPOJE? Hapa nchini...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Lugha ya Kingereza itumike kama lugha ya kujifunzia kwa shule zote za serikali na binafsi kuanzi elimu ya awali

    Nimefanya kazi katika taasisi za elimu kwa miaka mingi sasa. Tatizo kubwa ambalo nimekuja kukutana nalo hasa kwa graduates wa nchi hii ni uwezo mdogo wa kupambania soko la ajira linapokuja suala la kushindana na nchi nyingine. Tatizo kubwa hapa ni Lugha ya kufundishia. Kwa sasa shule za msingi...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Matumizi ya Lugha Fasaha katika Majukwaa ya Dini

    Lugha ndio nyenzo kuu inayotumika kufikisha ujumbe kwa walengwa. Ingawa kuna nyenzo zingine kama picha, michoro, ishara, alama nk zinazotumika katika kufikisha ujumbe lakini lugha ndio nyenzo pekee yenye kueleweka kwa haraka na isiyo na ubaguzi. Lugha hii inapotamkwa kwa ufasaha na mpangilio...
  10. JamiiForums Tanzania Rudisheni lugha ya Kiingereza shuleni kama lugha ya kufundishia

    limekuwa gumzo kwa nini mawaziri na watu wanaojiweza wanapeleka watoto wao shule za kiingereza kwa gharama kuu wakati watoto wa masikini hawajaliwi katika shule za kata. sababu ni moja tuu ni kutafuta njia ya watoto wao waongee kiingereza vizuri kama ilivyokuwa enzi za darasa la nane .sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini tunateseka kwa kuendelea kutumia Kiingereza kama lugha ya kujifunzia?

    Nimerudi tena na hii hoja dhidi ya matumizi ya kiingereza kama Lugha ya kujifunzia. Umewahi soma riwaya za kiingereza na kiswahili? Kama umewahi, utagundua kuwa utatumia muda mrefu sana kusoma riwaya ya kiingereza kuliko ya kiswahili. Riwaya ya kiswahili unayoweza kusoma kwa siku mbili, ikiwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tuzikatae lugha zisozokuwa na staha kwenye mambo ya msingi

    Kama Taifa tuna mambo ya msingi sana mbele yetu kutumia muda wetu kurushiana matusi. Bila ya kujali itikadi zetu tuyakatae yote yanayodhalilisha utu wa mtu, bila ya kujali mlengwa au mlenga kwa cheo, mhusika au chama. Mambo kama haya: Kauli kama: 1. "Tulizo Mat*ko wewe!" 2. "U baji na M@vi...
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Tazama mchanganuo wa nafsi katika lugha ya kiswahili na Kiingereza

  14. JamiiForums Tanzania Aina za Viwakilishi (W) katika lugha ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, tuendelee na somo letu pana la aina za maneno. Katika andiko hili tutasonga zaidi kwa kutazama kiundani Viwakilishi na aina zake. Twende pamoja. VIWAKILISHI Viwakilishi ni maneno yanayotumika badala ya nomino(vibadala vya nomino). Nomino husika huwa haitajwi katika sentensi. Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Aina za Vitenzi (T) katika lugha ya Kiswahili

    Wakuu salaam, tunaendelea na mada yetu ya aina za maneno katika andiko hili tutatazama vitenzi kwa upana wake. Tutaangalia dhana ya vitenzi kwa ujumla pamoja na aina zake. Twende pamoja tujadili. Ruksa kuongezea maarifa. VITENZI Vitenzi ni maneno yanayoarifu kuhusu jambo linalotendwa au...
  16. JamiiForums Tanzania Aina za Nomino (N) katika Lugha Kiswahili

    Subalkheir ndugu zangu, Baada ya andiko lililopita kufafanua aina mbalimbali za maneno (Soma hapa: Aina za maneno katika lugha ya Kiswahili) nikaona si vyema kuwaacha hewani. Kama nilivyoahidi kuja na ufafanuzi wa undani wa aina moja moja ya maneno, katika andiko hili tutaangalia aina za...
  17. JamiiForums Tanzania Aina za maneno katika lugha ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, Leo turudi shule kidogo tujikumbushe aina mbalimbali za maneno katika lugha. Mada hii itaeleza kwa ufupi aina mbalimbali za meneno zilizopo halafu mada zijazo ntagusia aina moja moja kwa upana wake. twende kazi hapa chini: Kabla hatujaenda kiundani kuelezea aina za maneno kwanza...
  18. JamiiForums Tanzania Utata katika matumizi ya lugha

    Kwa fasili ya harakaharaka Utata katika maneno au katika matumizi ya lugha ni ile hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja Mfano:maneno kama vile 📌Ua 📌Mbuzi 📌Chezewa Mfano wa sentensi: 📌Mwenye kazi yeyote halali Hapa maana ya kwanza ni kuwa mtu yeyote mwenye kazi huwa halali...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Lugha ni Utamaduni?

    Kiongozi mmoja wa Kiyunani (Kigiriki) aliitwa Alexander Mkuu, ndiye aliyefanya mabadiliko makubwa sana ya kueneza utamaduni wa Kigiriki eneo lo lote alilotawala. Akaeneza na kuhimiza watu kutumia lugha ya Kiyunani, ikawa lugha ya kibiashara kwa mataifa yote aliyotwala, ikachangia kwamba hata...
  20. JamiiForums Tanzania Upi ni uandishi sanifu: Muenendo au Mwenendo, Mwongozo au Muongozo?

    Kama kichwa cha mada kisemavyo, upi ni uandishi sanifu: Muenendo au Mwenendo, Mwongozo au Muongozo? Kwa wataalamu msaada tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…