lugha

  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anajua kusoma Quran ila lugha ya kiarabu haijui?

    Naomba kueleweshwa, binafsi huwa naona Quran ni maandishi ya kiarabu. Sasa kuna maustadhi kama wanne hivi kwa nyakati tofauti nimewahi kuwapa gazeti lenye maandishi ya Kiarabu wanisomee na kunitafsiria ila cha ajabu wameshindwa. Je, kuna tofauti ya lugha iliyotumika kuandika Quran na lugha ya...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mlete mzungu lugha yenye viashiria vya kibaguzi

    Ukifuatilia Kwa Makini tunakoelekea na Kelele hizi. Naona mchezaji wa Simba anazalilishwa kutokana na rangi yake . Siongelei kishabiki lakini fuatilieni na ninyi muone. TFF Toeni neno tunakoelekea siko, kwa nini ni mzungu tu na lugha za kukebei. Kwani hakuna wachezaji wengine wa Simba...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Usanidi wa programu ya lugha ya Kiswahili

    Habari wana Jamii Forum. Naitwa Suzana, fani yangu ni uandishi wa habari mbali na hilo, ni mtunzi wa kazi za fasihi na zisizo za kifasihi. Moja kati ya changamoto zinazonikumba ni suala la kupata wahariri wazuri wa kuhariri kazi zangu kabla ya kuzisambaza kwa watumiaji. Wataalamu wa kazi ya...
  4. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Tweet hii ya Waziri Nape

    Natamani kujua ni kwanini Nape anatumia lugha za kigeni kutoa kuelezea suala la mtandao kwenye mlima kilimnjaro. Nini hasa kusudi lake?
  5. SweetMillah

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimesoma shule za kawaida nikiwa sisikii vizuri. Changamoto zilizopo ni uhaba na ukosefu wa mafunzo ya lugha za alama

    Ulemavu ni Hali ya upungufu wa kazi katika kiungo kimoja wapo katika mwili wa mwanadam au mnyama kiungo hicho chaweza kuwa mkono, mguu macho nk kupelekea uhitaji wa vifaa maalumu ili kujishirikisha katika shughuli za kijamii na kiuchumi. Binafsi nimezaliwa nikiwa na uwezo wa kusikia na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanyakyusa na Wasukuma nani kawaambie Lugha zenu ni Dili?

    Rais Samia yupo Mkoa wa Mbeya kikazi kwa siku nne leo ni siku ya tatu. Yupo Rais pale na ujumbe wake. Pili tukio liko LIVE watanzania wote wanaliangalia na kufuatilia. Hasa wabunge ni washamba zaidi ni Spika tu ndiye mwelewa. Kwanini wanaongea kilugha wanapandikiza kitu gani? Kwamba lugha...
  7. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kiswahili kitumike kama lugha rasmi ya kujifunza na kufundishia

    By Erick Mange Leo nakuja na maada hii nyeti kabisa katika maendeleo na kukua kwa lugha ya kiswahili katika nchi yetu na duniani kwa ujumla. Mara kadhaa nmekuwa nkijiuliza kwanini tumeamua kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia wakati lugha ya taifa ni kiswahili? Sipati majibu.. kuna...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Upendo ni lugha ya vitendo sio ya maneno matupu, kama huamini mwambie mbwa I LOVE YOU kama atakuelewa

    Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu. Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia. Je, huyo unayemwambia unampenda, je unamuoneshaje huo upendo? 1 KOR 13 Karama ya Upendo...
  9. CK Allan

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi ya Kutengeneza umoja wa kitaifa Bila migongano!

    UTANGULIZI Makala hii inajikita katika kuangalia namna Bora ya kuwa na umoja na ushirikiano wa kitaifa wenye tija Bila kumuathiri mtu au kikundi chochote Cha Watu katika nchi yetu! Ingawa mara nyingi tunaambiwa hakuna mabadiliko yasiyo na maumivu hata hivyo Kwa njia hizi zikitumika ipasavyo...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya lugha ya Kiingereza katika kufundishia na kujifunzia Tanzania

    LUGHA NI NINI? Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu zilizokubalika na jamii ya watu fulani ili zitumike katika kuleta mawasiliano. Tunaposema sauti za nasibu tunamaanisha nini? Ukweli ni kwamba hakukuwa na kikao maalumu kilichokaliwa na watu na kuteua sauti ambazo ni lugha hivyo basi ni sauti za...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Lugha za mwili unazotakiwa kuziepuka wakati wa usaili wa kazi

    1. Epuka kuegemea ukuta au kupishanisha miguu 2. Epuka kukunja mikono yako kifuani; inaonyesha unajiamini kupita kiasi au dharau 3. Unapoulizwa maswali; daima angalia mbele, usiiname chini 4. Epuka kutafuna kitu chochote mdomoni au kung’ata kucha 5. Kama umekaa usiegemee sana kiti -...
  12. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mbinu zitakazosaidia Watanzania kuifahamu lugha ya Kiingereza au lugha nyingine yoyote ya Kigeni kwa urahisi

    Wanafunzi wakijifunza lugha ya kigeni | picha na mtandao UTANGULIZI Lugha ya kigeni niile lugha ambayo haipatikani katika jamii ya mjifunzaji na kuwa hawezi kujifunza lugha hiyo bila kufundisha. Niukweli usiopingika kuwa na ufahamu wa lugha nyinginezo za kigeni zaidi ya Ile lugha yako Kuna...
  13. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Lugha za wanawake zinavyowachanganya wanaume

    Habar wana JF, Wanawake Wana lugha zao flan hivi ambazo huwachanganya Sana wanaume wengi, unajua inakuwaje? Nakupa mchongo ufuatao, wanachoongea Sicho wanachomaanisha na hapa ndo wanaume tunapo katishagwa tamaa na hawa viumbe kutoka Venus. Unajikuta unajitoa Kwa nguvu zote kumcare mkeo lkn...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kiswahili sasa Lugha rasmi ya Uganda, kufundishwa Shule za Msingi, Sekondari

    Bazara la Mawaziri la Uganda limeidhinisha matumizi ya Kiswahili kutumika kuwa lugha rasmi nchini humo pamoja na kuwa somo la lazima katika Shule za Msingi na Sekondari. Maamuzi hayo yamefikiwa ili kutekeleza mapendekezo ya Azimio la 21 wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, waliopitisha...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kujifunza lugha ya KIARABU

    Wakuu nimepata fursa ya biashara ya kuuza Mkaa katika nchi wanazozungumza Kiarabu Egypt, Oman, Bahrain, Kingdom of Saudi Arabia, UAE na Qatar. Ili kurahisisha mawasiliano nimeona nijifunze lugha pendwa. Wapi naweza kujifunza kwa Dar es Salaam? Gharama sio tatizo. **Walimu wawe professional...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jamii Forums kwanini tusimwombe Profesa Shivji awe anatufundisha sheria kwa lugha ya Kiswahili hapa jukwaani?

    Najua Prof. Shivji ni mwalimu wa sheria hapo school of Law. Sina hakika kama huwa anapata muda wa kuielezea au kufundisha sheria kwa lugha ya kiswahili. Mimi kiukweli baada ya kutoa somo lake la sheria ya umiliki wa ardhi kwa lugha ya kiswahili nimejikuta nakua mpya kabisa kichwani kuliko...
  17. ommytk

    JamiiForums Tanzania Nashauri simu zote ziwe na lugha ya Kiswahili ili kuhimiza matumizi ya Kiswahili

    Katika kuhimiza matumizi ya kiswahili simu nashauri ziwe katika lugha ya kiswahili zote hii itasaidia pia katika matumizi ya lugha
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Msanifu Lugha Daraja II (Nafasi 1) BAKITA

    POST MSANIFU LUGHA DARAJA II - 1 POST EMPLOYER Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-14 2022-06-27 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kusaidia kufanya kazi za utafiti kuhusu istilahi za masomo mbalimbali; ii. Kukusanya na kuchambua istihali...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Mchunguzi Lugha Daraja la II - 1 Post

    POST MCHUNGUZI LUGHA DARAJA LA II - 1 POST EMPLOYER Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-14 2022-06-27 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kusoma miswada ya vitabu vya kitaaluma na kushauri kuhusu lugha iliyotumika; ii. Kutoa mapendekezo ya...
  20. N

    JamiiForums Tanzania PICHA: N/Waziri mwenye lugha ya dharau kwa Vijana enzi zake akiwa choka mbaya

    Hapa ni kabla hajatumia ile technic inayotumiwa na wengi ya kumtukana Mbowe na CHADEMA kisha kupewa ulaji na kulambishwa asali, jamaa keshasahau kwa sasa anawaona vijana wasio na ajira wanaotafuta mikopo na kukosa kwamba ni wajinga fulani hivi au ni wakenya kwa akili yake na ujeuri wake ni...
Back
Top Bottom