Mchunguzi Lugha Daraja la II - 1 Post

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,438
1,387
POSTMCHUNGUZI LUGHA DARAJA LA II - 1 POST
EMPLOYERBaraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA)
APPLICATION TIMELINE:2022-06-14 2022-06-27
JOB SUMMARYNIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIESi. Kusoma miswada ya vitabu vya kitaaluma na kushauri kuhusu lugha iliyotumika;
ii. Kutoa mapendekezo ya kuthibitisha lugha katika miswada;
iii. Kusaidia kufuatilia kazi za wanataaluma zinazohitaji kuhaririwa;
iv. Kuchunguza makosa ya matumizi ya lugha katika vyombo vya habari nchini na kuyatolea taarifa kwenye mamlaka husika;
v. Kuandika Makala zinazohusiana na masuala ya lugha ya Kiswahili; na
vi. Kufanya kazi nyingine atakazopewa na mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika kozi za Ualimu au Lugha zinazohusisha somo la Kiswahili kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali. Awe na uwezo wa kutumia kompyuta.
REMUNERATIONPGSS 6

CLICK HERE TO APPLY
 
Back
Top Bottom