lugha

  1. Tajiri wa kinyankole

    Taarifa za Ikulu kwa lugha ya Kiingereza za nini wakati sisi ni Waswahili asilia?

    Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imeibuka na mfumo mpya wa kujulisha umma Serikali inayoyafanya kwa njia ya Kiingereza. Hii imeminya umma usiojua Kiingereza kutojua yanayoendelea nchini Tabia kama hii naona ni bora Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais. Zuhura Yunus atambue kuwa kwa sasa...
  2. Analogia Malenga

    Kiswahili chatambulika kama Lugha rasmi ya Kikazi ndani ya Umoja wa Afrika

    Muungano wa Afrika (African Union) umeipitisha lugha ya Kiswahili, kuwa lugha rasmi ya kikazi ndani ya Umoja huo. Lugha hiyo huzungumzwa katika nchi kadhaa za Mashariki mwa Afrika pamoja na jamii za Waswahili katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu na Oman. Huu ni uamuzi ambao umekuwa...
  3. LENGISHO

    Je, Wachagga wanaongea lugha moja?

    Kumekuwa na Utata wa Muda Mrefu Kuhusu Kama Wachagga Wanaongea Lugha Moja Au Ni Lugha Mbalimbali Tofauti, Jambo Ambalo Limeleta Utata Mwingine wa Kwamba Kama, Je Wachagga Ni Jamii Moja Au Ni Jamii Mbalimbali Zilizojikuta Zinaishi Kwenye Mlima Kilimanjaro na Kuamua Kujiita Kwa Pamoja Wachagga? –...
  4. L

    Kutangaza kwa lugha nyingi na kukumbatia teknolojia kutadumisha umuhimu wa radio

    Na Ronald Mutie Tarehe 13 Februari ni Siku ya Radio Duniani, na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limechagua kauli mbinu ya Siku hiyo kuwa ni “Ndio kwa Redio, Ndio kwa Uaminifu”. Tafsiri yake ni kwamba, bado radio inaendelea kuwa chombo muhimu cha kupasha...
  5. FRANCIS DA DON

    Kwanini nchi nyingi za Afrika wanatumia lugha za wakoloni kama lugha za taifa, hivi hawaoni aibu?

    Kutumia lugha ya mkoloni kwa shughuli mbali mbali hasa zisizoepukika kwa sasa, mfano masomo ya sayansi, sioni kama ni shida sana. Shida yangu ni lugha ya mkoloni kufanywa kuwa ndio lugha ya taifa na inatumika mtaani hadi na wauza nyanya, ambao wangezweza kutumia lugha yao wenyewe kwenye masuala...
  6. N

    Aibu: RFA wamejiunga na DW redio ambayo inatangaza kwa lugha ya ajabu

    Sasa hivi ni saa moja usiku na dakika 5 , kwa muda wa dakika tano inaoenakana RFA studio hakuna mtu kuna DW lugha gani sijui kifaransa au kipashtun kiko hewani and nobody cares Its a shame Diallo kafikia hatua hii
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Lugha asili, Makabila, Mila na Utamaduni wa Mtanzania vinafutika kwa kasi sana

    Niko kijijini kabisa huku ndanindani. Nimekuja kumzika bibi yangu aliye fariki akiwa na miaka 97 lakini akiwa bado mrembo na nguvu zake. Kilichonuogopesha na kunishangaza, mimi wakati nakua, tulikiwa hatujui Kiswahili, tunabonga tu lugha yetu ya asili, huku tukisimuliana hadithi za Masala...
  8. Rebeca 83

    Viongozi wapewe 'option ' kutumia lugha wanayoitaka

    Hello JF Away from Ndugai news. Leo nimejikuta nawaza kwa nini viongozi wasipewe option ya kutumia lugha ambayo ni rahisi/wako comfortable nayo kuitumia? Najua kingereza ni kama PRIDE fulani, always tunamu admire mtu mwenye kingereza kilichonyooka ila tunasahau muundo wetu wa elimu ni mbovu...
  9. L

    Mafunzo ya Lugha ya Kichina katika Afrika yapokelewa kwa dhati kutokana na umuhimu wake duniani

    Na Pili Mwinyi Kwa muda mrefu sasa China imekuwa ikifungua milango yake na kukaribisha watu kutoka pande mbalimbali duniani kuja China ili kujionea kwa macho yao nchi kubwa iliyopata maendelo ya kasi kwa muda mfupi tu, na pia kuwafanya wachina kwenda nje ili kujionea na kujifunza mengi zaidi...
  10. mathsjery

    Siku zote Java Script itaendelea kuwa lugha ya kipekee sana

    Matumizi ya javascript yanaendelea kukua kila siku kwa kuwa ndio lugha pekee inayoweza simama pekee yake pande zote mbili yaani frontend na backend aiseh nafikiri uwepo wa node. JS ni sababu moja kubwa ya javascript kuwa na sifa hii na kuinuka kidedea mara kwa mara. Mimi sina mengi nachangamsha...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Tetesi: Nadhani viongozi wote mliofanya mikutano ya kimataifa mmeona changamoto ya lugha.

    Tuchague lugha moja ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Ningekua mimi ni kiongozi maramoja ningechagua lugha moja iwe ya kufundishia kuanzia shule ya chekechea mpaka chuo kikuu. Nilipata kuhudhuria kongamano moja tulikua nawaganda kwakweli sisi kiingereza kinapiga chenga na hata...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji. Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani. 1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu. 2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
  13. M

    Jamani nahisi nimetukanwa kwa lugha ya Kirusi, nisaidieni kujua maana yake

    Salaam! Jamani nimeandikiwa kwa lugha ya Putin sijaelewa so anayefahamu anieleweshe. Уважаемый мистер Шабани! Я искренне не понимаю чего Вы хотите добиться своими сообщениями? Natanguliza shukran!
  14. B

    Waache walime hata wakilima ndani ya Maji: Awamu ya 5 na 6 - Lugha Inapogongana

    Clip hii hapa chini inajieleza: Yetu macho.
  15. Meneja Wa Makampuni

    Tetesi: Dr. Meneja wa Makampuni: Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo

    Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo. Kila kitu huja kwa kukariri lol. Bila kukariri huwezi kuelewa. Bila kukariri huwezi kujua kusoma na kuandika, bila kukariri huwezi kushika verbs, bila kukariri huwezi...
  16. MK254

    Hongera Wakenya kwa kukuza lugha ya Kiswahili Sudan Kusini

    Niko huku Sudan Kusini nasaka mpunga kwenye mishe fulani hivi na nimefaulu kukatiza maeneo mengi na kushududia namna Wakenya wamehusika pakubwa kwenye kubadilisha maisha ya hawa watu waliokua wamezoea vita maporini. Kiswahili kinazidi kutamalaki na kuzagaa, leo hii kuna ushindani mkali baina ya...
  17. Kulupango

    Kwa uozo huu, hakuna budi tuchague lugha moja ya kufundishia

    Dogo yuko fm1 shule zetu za kata. Jana nikawa nambananisha maswali ya hapa na pale ya fm 1, kichwani hamna kitu. Basi nikamwambia anitajie majina ya Topics za hesabu, akataja topic 1 tu inaitwa Real number. Nikamwambia taja topics za History, akataja Chimpanzee, taja topics za chemi hajaweza...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza

    Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza. Wakuu naomba tusaidiane, hii sentensi inamaana gani? Yaani nikiwa naama kwamba wewe umeilewaje? Kama tunapenda maendeleo ya kiuchumi kupitia elimu yetu tunapaswa kufanya jambo katika elimu yetu...
  19. Sky Eclat

    Mnaweza wote kuongea lugha moja na msielewane

  20. OLS

    Kuna kosa la lugha katika Penal Code (2019)

    Nipo nasoma sheria zenu, Penal Code (2019) inakosa kidogo kwenye kiingereza limetumia neno 'Parson' badala ya 'Person' katika Ibara ya 176 Neno person ni tofauti na Parson
Back
Top Bottom