lowassa

Edward Ngoyai Lowassa (born August 26, 1953) is a Tanzanian politician who was Prime Minister of Tanzania from 2005 to 2008, serving under President Jakaya Kikwete. Lowassa has gone into record as the first Prime Minister to have been forced to resign by a fraud scandal in the history of Tanzania. Following his resignation President Kikwete was obliged to dissolve his cabinet as required by the Constitution and with minimum delay, constituted a new one under a new Prime Minister, Mizengo Pinda.After the ruling CCM failed to select him as its candidate for the October 2015 presidential election, he left the party and stood instead as an opposition candidate. He was defeated in the election by CCM candidate John Magufuli.

View More On Wikipedia.org
  1. Kikwete: Lowassa ndiye alienishawishi kugombea Urais

    Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amefichua siri kuwa ni Lowassa ndiye alimshawishi kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 1995. Rais Mstaafu Kikwete anasema hakuwa na wazo la kutaka kujitosa kwenye kinyang'anyiro hicho lakini aliamua kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho licha ya kwamba...
  2. Ratiba ya msafara wa njia ya Mazishi ya Hayati Edward Lowassa

    Ratiba ya msafara wa njia ya Mazishi ya Hayati Edward Lowassa
  3. Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

    Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Moyo (JKCI). Akizungumzia kiongozi huyo, Kikwete amesema...
  4. Jakaya Kikwete na Mkewe wawasili Msibani kwa Lowassa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mh Jakaya Kikwete, leo Jumatatu ni miongoni mwa wadau waliofika nyumbani kwa Lowassa kuhani Msiba na kushiriki Maombolezo , ameambatana na Mkewe Mama Salma Kikwete. Itakumbukwa kwamba Lowassa ndiye aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza kuteuliwa kwenye awamu ya...
  5. Tumuomboleze Lowassa bila unafiki. Shule za kata ulikuwa uamuzi wa CCM

    Kunatofauti ya kuamua na kusimamia maamzi. Ujenzi wa shule za kata nchi nzima ulikuwa uamuzi wa CCM na ulikuwa kwenye ilani ya uchaguzi 2005-2010 USHAHIDI HUU HAPA Elimu ya Sekondari 61. CCM itazielekeza Serikali kuchukua hatua za kuendeleza elimu ya sekondari katika kipindi cha 2005 - 2010...
  6. Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  7. R

    Lowassa aliwezaje kumvumilia Nape bila kumtamkia jambo hadi anafariki? Nape aliwezaje kutokuomba radhi hadi Lowassa amefariki?

    Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara 2015. Alitamka maneno ambayo katika hali ya kawaida huwezi kusema yametoka kinywani kwa mwanadamu...
  8. Hivi ndivyo Mbowe alivyotinga kwenye Msiba wa Lowassa, aingia akiwa amevaa kombati

    Katika watu wa Tanzania waliobarikiwa kuwa na mvuto wa kisiasa na nyota kwenye Jamii, Freeman Mbowe ni miongoni mwao. Huyu Jamaa anatisha. Kwenye Msiba wa Lowassa wamefika viongozi wengi mno wakiwemo hata viongozi wa kitaifa wa sasa na wastaafu lakini alipoingia Freeman Mbowe kuna kishindo...
  9. F

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mbowe, hawa ndio walezi wakuu wa kisiasa wa Edward Lowassa

    Miamba hii mitano ndio inayohusika kwa kiasi kikubwa zaidi na mwanzo hadi mwisho wa maisha ya kisiasa ya Edward Lowassa. Edward Lowassa alianza maisha ya siasa katika mikono ya Mwalimu Nyerere akiwa kijana mdogo miaka ya 60's. Mwaka 1988 Lowassa alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha...
  10. Juma Duni Haji adai yeye na Lowassa walishinda Urais 2015

    Hii ni Taarifa ya kikakamavu aliyoitoa alipohojiwa na MwanaHalisi Digital , ikiwa ni sehemu ya Maombolezo ya Kifo cha Edward Lowassa aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA ======= Kwenye jambo hili mengi yamesemwa ikiwemo ofisi moja iliyokuwa Masaki ikiongozwa na watu watatu (majina yanahifadhiwa kwa...
  11. D

    CHADEMA ipewe hadhi sawa na CCM mazishi ya Lowassa

    Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya CHADEMA. Dunia ilishuhudia ukomavu wa demokrasia Lowassa akiwa CHADEMA huku CCM ikipumulia mashine katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Faida ya...
  12. Ratiba: Lowassa kuzikwa kwao Monduli tarehe 17/02/2024

    Hii ndio Taarifa ya sasa kuhusiana na Msiba huo Hii ni kwamba Maombolezo ya kitaifa ya siku 5 yataisha kabla hajazikwa. ==== Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa unatarajiwa kuzikwa Februari 17, mwaka huu kijijini kwao Ngarash wilayani Monduli Mkoa wa Arusha. Lowassa amefariki...
  13. Maisha ya Lowassa ni funzo kwa midomo michafu ya wanasiasa wa Tanzania

    Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita Ameonewa sana na kaonea na kila mtu Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka lakini yeye alibaki yule yule wa kutafuta alichokusudia kupata mwisho wa siku sidhani kama alipata alichokusudia kupata
  14. Maisha na Nyakati za Marehemu Edward Ngoyai Lowassa

    Jana, Makamu wa Rais Dokta Philip Mpango aliwatangazia Watanzania kwamba Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Tanzia hii inazungumzia matukio muhimukuhusu marehemu Lowassa ambaye alishika nyadhifa mbalimbali serikalini na kisiasa. Makala haitozungumzia...
  15. Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

    Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa. Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha...
  16. Msiba wa Lowassa, Makonda aahirisha Ziara zake

    Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda ameahirisha ziara yake ya Mikoa 20 Back to Back ili kushiriki msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyefariki jana katika Hospital ya moyo ya JKCI Jijini Dar es salaam. Akizungumza mjini Songea Mkoani Ruvuma Makonda amesema kama...
  17. Hamis Mgeja adai kuna waliopandishwa vyeo kwa sababu ya ‘kumtukana Lowassa’

    Ameyasema hayo alipozungumza na gazeti la Mwananchi kufuatia Msiba wa Rafiki yake Lowassa Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Sinyanga na rafiki wa karibu wa Hayati Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Hamisi Mgeja amesema kiongozi huyo alikuwa na uvumilivu wa hali ya juu kiasi cha...
  18. Kingine cha zaidi kuhusu hayati Edward Ngoyai Lowassa

    Ningependa kuzungumzia Edward Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu mstaafu aliefariki dunia leo Februari 10, 2024. Nimekaa nikawaza naandika nini kuhusu Edward Lowassa ambacho umma wa Watanzania hawaujui? Naelezea nini kipya kuhusu kada mkubwa wa CCM ambae akageuka na kuwa tishio kubwa la kumaliza...
  19. Mrema: Lowassa aliimarisha CHADEMA kisiasa

    "Mzee Lowasa kuhamia kwake Chadema kulibadilisha kabisa mwelekeo wa siasa mwaka 2015 kwenye nchi hii, kwa sababu alikuwa ni mtu ambaye ana ushawishi mkubwa, jamii ilikuwa inamuelewa, na aliweza kusaidia mageuzi ya nchi hii mwaka 2015 kwa mara ya kwanza majiji yote makubwa yakaongozwa na Chadema"...
  20. Ujumbe wa Bashe kwa Kikwete uliozua gumzo ni kuhusu Edward Lowassa

    Wakati tunasikitika kumpoteza, Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, si vibaya tukakumbushana kidogo. Ikumbukwe, baada ya kukatwa kwa jina la Edward katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mgombea wa CCM mwaka 2015. Mzee Lowassa alitimkia upinzani CHADEMA, ambako alipata nafasi ya kugombea Urais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…