lowassa

Edward Ngoyai Lowassa (born August 26, 1953) is a Tanzanian politician who was Prime Minister of Tanzania from 2005 to 2008, serving under President Jakaya Kikwete. Lowassa has gone into record as the first Prime Minister to have been forced to resign by a fraud scandal in the history of Tanzania. Following his resignation President Kikwete was obliged to dissolve his cabinet as required by the Constitution and with minimum delay, constituted a new one under a new Prime Minister, Mizengo Pinda.After the ruling CCM failed to select him as its candidate for the October 2015 presidential election, he left the party and stood instead as an opposition candidate. He was defeated in the election by CCM candidate John Magufuli.

View More On Wikipedia.org
  1. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa kumshukuru Rais Samia pekee kwa matibabu ya Baba yake, atakuwa amekosea

    Nilimsikia Fred Lowassa katika salaam zake za rambirambi pale Karimjee Hall, akitoa shukurani zake za dhati Kwa Rais Samia Kwa matibabu ya Baba yake, Hayati Edward Lowassa na kwenda mbali zaidi Kwa kutamka kuwa kama siyo Kwa msaada mkubwa aliotoa Rais Samia, baba yake asingeweza kufikia majuzi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania JMAT yaitaka CHADEMA kuacha mpango wa kuandamanana mara moja, nchi ipo katika majonzi ya kuondokewa na Lowassa

    Jumuiya imetoa wito kwa CHADEMA kuacha mara moja mpango wao wa kufanya kuandamana katika mikoa mbalimbali hususani katika kipindi hiki ambapo taifa lipo katika majonzi ya kuondokewa aliyekuwa Waziri Mkuu Tanzania Edward Lowassa, wanachama wengine wa jumuiya hiyo waongeza kuandamana kipindi hiki...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kwa nini hayati Julius Nyerere alitaka taifa letu liwe na Viongozi kama hayati Mkapa na hayati Magufuli na Sio Lowassa au Jakaya?

    Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji. Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa madarakani ilikuwa ni skendo za upigaji tu. kagoda, Richmond, Escrow na sasa Dp world ya Dubai. Hayati...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

    "Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa
  6. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe alitumika kumuumiza Lowassa kwenye kashfa ya Richmond

    Wakati wa mjadala mkali wa kashfa ya Richmond bungeni, huku tume iliyochunguza kashfa hiyo ikibanwa kuwa haikutoa nafasi kwa watuhumiwa hasa Lowassa kujitetea, aliibuka mwenyekiti wa tume ile Mwakyembe na kusema kuwa kama watu hawaridhiki waombe kanuni zitenguliwe ili aweze kuwasilisha upya...
  7. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Anaandika Baba Askofu Bagonza kuhusu Edward Lowassa

    Edward Ngoyai Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgao wa umeme wala usanii wa treni za umeme. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu mzito kama Lowassa, kuna makundi matatu hujitokeza; 1. Wanaolia 2. Wanaofurahia 3. Wasiojua kama walie au wafurahie. Makundi yote matatu tunayo...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa ametibiwa kwa kodi zetu, si hisani ya Rais Samia!

    Jana nimemsikia mtoto wa Marehemu Edward Lowassa ambaye pia ni Mtunga Sheria (Mbunge) Fred Lowassa akimshikuru Rais Samia Suluhu Hassan na kusema, "kama si Rais Samia baba asingefika Jumamosi alipofariki" kwamba ni Samia alijitolea Kwa hali na mali kuhakikisha Lowassa anapata matibabu...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Picha ya Siku, imepatikana kwenye Msiba wa Lowassa

    Huyu ni kiongozi wa Taasisi ya Mama ongea na Mwanao Steve Nyerere, akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Lowassa, huku akilindwa na Mgambo wa UVCCM, wanaofahamika kama GreenGuard.
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 kupitia CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema hakuunga mkono Hayati Edward Lowassa kuwa mgombea wa urais kwenye chama hicho, bali alitaka akijiunga CHADEMA awe mwanachama wa kawaida.
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Lowassa awaachia watu hatia moyoni, Watubu wapi?

    LOWASA: Mfupi wa Maisha na Mrefu wa Historia. Edward Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgawo wa umeme wala usanii wetu wa Kibongo. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu mzito, kuna makundi makuu matatu. - Wanaolia sana -Wanaofurahia sana -Wasiojua kama walie au wafurahie...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Naoni yangu: Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini

    Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Aliyemtakia hayati Lowassa kuwa Ikulu sio wodi ya wagonjwa akitinga Karimjee kwa mbwembe

  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Lowassa: Mimi nilijiuzulu ili kuwajibika kwa makosa ya wengine

  15. Bams

    JamiiForums Tanzania Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

    Madaraka makubwa, usipokuwa na hekima, hasa hekima ya Mungu, yanalevya. Na ukikosa hekima unaweza kudhania kuwa wewe ni kila kitu, kwa sababu hakuna wa kukuhoji wala kukuadhibu. Mathalani madaraka ya Rais wa Tanzania, anaweza kuyatumia vyovyote apendavyo, hata kuua, akitaka, na asihojiwe wala...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ameacha alama zitakazokumbukwa daima

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwenye shughuli ya kuaga mwili wa hayati Edward Lowassa kwenye viwanja vya Karimjee, “TUMSHUKURU Mwenyezi Mungu kwa muda aliotupatia wa kuishi na kuhudumiwa na ndugu Edward Ngoyai Lowassa, wakati wa uhai wake ametoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi yetu, na...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

    "Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike" "Lakini katika vita yake hii ya kupigania maisha yake lazima niseme kipekee naomba sana kutoa shukrani za familia...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kwenye shughuli kuaga mwili wa Edward Lowassa inayofanyika leo tarehe 2/23/2024 katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/aF_0GKdRJYI?feature=shared Salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye afika Karimjee kuaga Mwili wa Lowassa

    Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio. Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika Mwili wa Lowassa ukitoka Lugalo
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku umekumbwa na nini hadi leo hii umsifie hivi marehemu Lowassa ambaye ulitokea kumchukia sana mwaka 2015?

    "Lowassa alikuwa ni Kiongozi makini,, hakuwa na Maadui na alipendwa na Watu wengi japo Kibinadamu kuchukiwa au kutokubalika na Wengi ni jambo la kawaida" Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Kada Tukuka wa CCM na Mmoja wa Think Tanks wa Baba wa Taifa Mwalimu...
Back
Top Bottom