lisu

The Lisu people (Lisu: ꓡꓲ‐ꓢꓴ ꓫꓵꓽ; Burmese: လီဆူလူမျိုး, [lìsʰù]; Chinese: 傈僳族; pinyin: Lìsù zú; Thai: ลีสู่) are a Tibeto-Burman ethnic group who inhabit mountainous regions of Myanmar (Burma), southwest China, Thailand, and the Indian state of Arunachal Pradesh.
About 730,000 Lisu live in Lijiang, Baoshan, Nujiang, Diqing and Dehong prefectures in Yunnan Province and Sichuan Province, China. The Lisu form one of the 56 ethnic groups officially recognized by China. In Myanmar, the Lisu are recognized as one of 135 ethnic groups and an estimated population of 600,000. Lisu live in the north of the country; Kachin State (Putao, Myitkyina, Danai, Waingmaw, Bhamo), Shan State, (Momeik), (Namhsan, Lashio, Hopang, and Kokang) and southern Shan State (Namsang, Loilem, Mongton) and, Sagaing Division (Katha and Khamti), Mandalay Division (Mogok and Pyin Oo Lwin). Approximately 55,000 live in Thailand, where they are one of the six main hill tribes. They mainly inhabit remote mountainous areas.The Lisu tribe consists of more than 58 different clans. Each family clan has its own name or surname. The biggest family clans well known among the tribe clans are Laemae pha, Bya pha, Thorne pha, Ngwa Pha(Ngwazah), Naw pha, Seu pha, Khaw pha. Most of the family names came from their own work as hunters in the primitive time. However, later, they adopted many Chinese family names. Their culture has traits shared with the Yi people or Nuosu (Lolo) culture.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimemsikiliza sana bwana Lissu nikaelewa yafuatayo

    Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au haijafanya vizuri. Cha ajabu namuona huyu mheshimiwa amelipa uzito mkubwa sana suala la yeye kupigwa...
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni ‘mwanakulitafuta, mwanakulipata’. NEC tendeni haki, kama kavuruga mkateni kwa mjibu wa sheria, kanuni na utaratibu bila huruma

    Tundu lisu ni mwanasheria mzuri sana anajua lipi ni kosa kisheria na lipi si kosa kisheria Kama anajua kuwa kufanya maandamano ya shangwe na bashasha wakati wa musiba wa Mzee Mkapa si kosa kisheria basi atagombea Urais wa JMT Kama anajua kuwa kuidanganya mahakama kuwa hawezi kuhudhuria...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

    Ndugu Watanzania, Kipekee napenda kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama. Sasa naanza kuona kwa vitendo kitu ambacho nilitumia my mental image na kuona kuwa nchi fulani zitaingilia uchaguzi wetu huu na viashiria vimeanza kuonekana sasa. Kitendo cha nchi yetu kukaa kwa takribani mwezi mmoja na...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa Lissu: Majimbo ya uchaguzi yako 264 yeye katembelea 20 anasema katembea nchi nzima na anapendwa nchi nzima!!

    Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk Hata...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu sitakuchagua hata useme nini

    TUNDU LISU SITAKUCHAGUA HATA USEME NINI. Na, Robert Heriel Haya ni maamuzi yangu, sijalazimishwa na mtu. Mimi Taikon wa Fasihi ambaye siku zote nimekuwa kijana mpenda maendeleo, mpenda haki, nimeamua sitakuchagua. Huu ni uamuzi wangu binafsi. Tundu Lissu najua ujumbe huu utakuumiza, lakini...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!

    TUNDU LISU SIYO MZEE LOWASA, ASIPUUZWE. Na, Robert Heriel. Moja ya sifa ya Mpumbavu ni kuishi kwa Dharau na mazoea. Tabia ya mazoea imeangusha watu wengi mashuhuri. Maisha hayana mazoea, maisha yanabadilika. Hivyo hata siasa haina mazoea, siasa zinabadilika, dakika moja inatosha kabisa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu asisahau kuna mikoa miwili ya Zanzibar na muda ndio unayoyoma hivyo

    Namkumbusha tu kwamba katika mikoa kumi ya kusaka urais walau miwili iwe ni ya Zanzibar. Unajua sifa zinalevya anaweza kujikuta muda umekwisha bado yuko Tanganyika wanakomshangilia. Niishie hapo! Maendeleo hayana vyama.
  8. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu, kujaza watu wakati huu usifurahie maana ndivyo unavyochuja

    Mteuliwa wa CHADEMA Ndugu Tundu Lissu asifurahie sana anapoona wingi wa watu wakijitokeza kumuona kwani endapo atapitishwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mgombea kamili wa kiti cha Urais akipita tena katika maeneo hayo wingi wa watu utakuwa ni mdogo sana kwa sababu walishamuona mwanzo na hakuwa na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM siyo kwamba imeamua kukaa kimya. Haina hoja na hakuna mwana CCM wa kumjibu Lissu

    Nani atasimama jukwaani, azungumze na akubalike kwa watanzania ili kumsaidia John kujibu hoja za mbeba maono? John hawezi kupangiilia hoja akaielezea na ikaeleweka. Anahitaji wasemaji wazuri. Kulikuwa na vichwa mahili kama vile Nape, Kinana, Makamba Sr & Jr, Mwigulu na Bulembo. Lkn wote hawa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lisu anashambulia na CCM ishambulie pia isipaki basi, ipande na kushuka kama timu

    Haina sababu kumlalamikia Tundu Lisu kwa sababu ushindi ni mbinu na CHADEMA wameamua kutumia mfumo wa kumuweka mshambuliaji mmoja mbele na kujaza viungo kibao katikati. Naiona CCM ikijaribu kupaki bus mbinu za Morinho ambazo zinaruhusu mashambulizi ili wewe uzuie tu na kupata sare. Mbinu hii...
  11. puza46b

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tulinganishe sera za Magufuli, Lissu na Membe

    TULINGANISHE SERA ZA MAGUFULI, LISU NA MEMBE: Tukielekea kwenye uchaguzi tumeanza kuona washabiki wakibezana na kuhoji sera za washindani wao. Wapo waliomwambia Lisu kuwa yeye ni kutukana tuu hana hoja. Kuna waliosema Magufuli anatumia vitisho na kulazimisha watanzania wampende. Na mwisho kuna...
Back
Top Bottom