lisu

The Lisu people (Lisu: ꓡꓲ‐ꓢꓴ ꓫꓵꓽ; Burmese: လီဆူလူမျိုး, [lìsʰù]; Chinese: 傈僳族; pinyin: Lìsù zú; Thai: ลีสู่) are a Tibeto-Burman ethnic group who inhabit mountainous regions of Myanmar (Burma), southwest China, Thailand, and the Indian state of Arunachal Pradesh.
About 730,000 Lisu live in Lijiang, Baoshan, Nujiang, Diqing and Dehong prefectures in Yunnan Province and Sichuan Province, China. The Lisu form one of the 56 ethnic groups officially recognized by China. In Myanmar, the Lisu are recognized as one of 135 ethnic groups and an estimated population of 600,000. Lisu live in the north of the country; Kachin State (Putao, Myitkyina, Danai, Waingmaw, Bhamo), Shan State, (Momeik), (Namhsan, Lashio, Hopang, and Kokang) and southern Shan State (Namsang, Loilem, Mongton) and, Sagaing Division (Katha and Khamti), Mandalay Division (Mogok and Pyin Oo Lwin). Approximately 55,000 live in Thailand, where they are one of the six main hill tribes. They mainly inhabit remote mountainous areas.The Lisu tribe consists of more than 58 different clans. Each family clan has its own name or surname. The biggest family clans well known among the tribe clans are Laemae pha, Bya pha, Thorne pha, Ngwa Pha(Ngwazah), Naw pha, Seu pha, Khaw pha. Most of the family names came from their own work as hunters in the primitive time. However, later, they adopted many Chinese family names. Their culture has traits shared with the Yi people or Nuosu (Lolo) culture.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Afande Sirro, ukimuona Lissu kama unavyomuona Magufuli kuwa wote ni wagombea Urais, basi utakuwa na amani na Lissu

    Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo. Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu...
  2. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu kufanya kampeni mpaka usiku, hii sio hatari kwake?

    Jana akiwa njiani kuelekea Moshi Lissu alifanya kampeni gizani huku wananchi wakiwasha simu na tochi zao kupata mwanga sasa je haya si kwamba anafanya makusudi ili akidhurika ailaumu serikali. Kwanini hataki kufuata sheria zilizowekwa kuwa muda wa kumaliza kampeni ni saa 12 jioni. Nawasilisha
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli na Tundu Lissu wawatakia maisha ya kheri wazee leo ikiwa Siku ya wazee duniani!

    Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM Dkt. Magufuli amewatakia kheri wazee wote katika kuadhimisha siku ya wazee duniani. Kadhalika mh Tundu Lisu mgombea urais wa JMT kupitia Chadema amewatakia kheri ya siku ya wazee duniani wazee wote. Maendeleo hayana vyama!
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Tundu Lissu anatumia muda mwingi kutafsiri Katiba na Sheria badala ya kutangaza sera?

    Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi. Mfano katika mkutano wa leo ametumia muda mwingi kuelezea utaratibu wa kumshtaki mtu na jinsi ya kumuita shaurini...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Leo tuna ratiba ya mkoa wa Kilimanjaro halafu tutakuwa na mapumziko mafupi hadi 4/10/2020

    Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema, Tundu Lissu anasema leo atakuwa na ratiba ya kampeni mkoani Kilimanjaro na baada ya hapo watakuwa na mapumziko mafupi hadi Oktoba 4 wataendelea tena. Maendeleo hayana vyama. ===
  6. A

    JamiiForums Tanzania Angalia US Presidential Debate 2020

    Kwa wale watu wanaofuatilia siasa za kimataifa ili kutanua uelewa wa siasa fuatilia US Presidential Debate 2020 Cleveland, Ohio saa 10.00 usiku. DSTV ALJAZEERA channel Namba 406 na News Room Afrika Channel Namba 405 watakuwa Live kukuletea Debate hii. Hii itakuwa debate ya kwanza kwa uchaguzi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu usihame kwenye ajenda muhimu

    Kabla hujaanza kampeni, nchi ilikuwa imekata tamaa. Watu walikuwa wamekata tamaa wakijiuliza ni lini ukombozi wao utakuja. Nchi ilikuwa kilio kila mahali si wa CCM, CHADEMA, CUF wala ACT. Ugumu wa maisha, pamoja na maendeleo yaliyoyaliyofanyika kwa awamu hii bado ukweli uko wazi, ni maendeleo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Marekani kupitia Shirika lake la CIA walivyotekeleza Mapinduzi nchini Guentamala na kuondosha Serikali ya Kiraia ya Jacob Arbenz

    Na. Belvin Kagoma Miaka ya 1970 nchi ya marekani walipitisha Sheria maalumu ya Uhuru wa Kupata Taarifa (Freedom of Information Act). Moja wapo ya vipengele vya Sheria hii ni kulitaka Shirika la Kijasusi la CIA kuweka hadharani taarifa zao za siri kila baada ya miaka 50. Hii imesaidia...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ahairisha mkutano uliokuwa ufanyike leo kwenye Jimbo la Hai hadi itakapotangazwa tena

    Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter. Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana. Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu. Maendeleo hayana vyama!
  10. General Mangi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni ===== => Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
  11. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

    Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume. Chanzo: TBC My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono. Maendeleo hayana vyama!
  13. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

    Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu alitakiwa kuwa Serengeti leo Septemba 27, kwa mujibu wa Ratiba za NEC

    NEC Jimbo la Serengeti imemtaka Mgombea Urais wa CHADEMA kuheshimu ratiba iliyopangwa ambayo ilimtaka septemba 27 awe na mkutano wa kampeni Serengeti
  15. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Hoja za Lisu ni kaa la Moto

    Nimekuwa nikifanya follow-up ya hoja za Lisu jukwaani ambazo kwa sasa zimesambaa kwa Kasi sana karibu kila usafili wa ardhini, majini na angani wanafuatilia very closely Kwanza jamaa ana akili sana anajua aongee nini na wakati gani. Anajua aongee nini na adui atarespond vipi ili ammalize...
  17. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu mnaamini Lissu atakuwa Rais?

    Habari wakuu, Tunaaswa kuwa na IMANI iliyo imara ila sio kutumia imani kwa ovyo,jukwaa la siasa mmepata washabiki wengi wa chama cha Lissu maana ni nyuzi za Lisu mshindi, Lisu ndo anatakiwa. Anyway, sioni uwezekano wa lisu kushika madaraka, wananchi watanzania ni watu wavumilivu ni watu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu alipongeza jeshi la polisi kwa kutenda haki katika mikutano yake ya kampeni

    Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu anasema jeshi la polisi limefanya kazi nzuri katika maeneo yote aliyopita na kufanya kampeni. Lisu anasema polisi wasisingiziwe kwa lolote kwa sababu wanafanya kazi yao vizuri. Source Ayo tv. Maendeleo hayana vyama!
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kura ya Mungu ipo kwa Lissu 2020: Mwaka 2015 Ilikuwa kwa Magufuli; wapi alikosea Magufuli? jionee

    MUNGU AMEMPA KURA LISU, JE WEWE UTAMPA NANI? Na, Robert Heriel Hata Mungu hufanya uchaguzi, Hata Mungu hupiga kura. Sio mwanadamu peke yake apigaye kura, hata Mungu Muumba wa Mbingu na ardhi hupiga kura. Katika Historia ya Biblia wapo watu kadhaa waliopigiwa kura na Mungu miongoni mwao ni...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa, Rekodi ya mapokezi ya Lisu ipo hivi

    MIKOA ILIYOVUNJA REKODI KWA KUMPOKEA TUNDU LISU MPAKA USIKU WA TARE 25/09/2020 1. MBEYA 2. MWANZA 3. IRINGA 4. KAGERA 5. SONGWE 6. NJOMBE 7. GEITA MIKOA ILIYOONYESHA MBWEMBWE KATIKA KUMPOKEA TUNDU LISU MPAKA USIKU WA TAREHE 25/09/2020 1. MWANZA. 2. SONGWE (HASA HASA TUNDUMA) 3. MBEYA 4...
Back
Top Bottom