lisu

The Lisu people (Lisu: ꓡꓲ‐ꓢꓴ ꓫꓵꓽ; Burmese: လီဆူလူမျိုး, [lìsʰù]; Chinese: 傈僳族; pinyin: Lìsù zú; Thai: ลีสู่) are a Tibeto-Burman ethnic group who inhabit mountainous regions of Myanmar (Burma), southwest China, Thailand, and the Indian state of Arunachal Pradesh.
About 730,000 Lisu live in Lijiang, Baoshan, Nujiang, Diqing and Dehong prefectures in Yunnan Province and Sichuan Province, China. The Lisu form one of the 56 ethnic groups officially recognized by China. In Myanmar, the Lisu are recognized as one of 135 ethnic groups and an estimated population of 600,000. Lisu live in the north of the country; Kachin State (Putao, Myitkyina, Danai, Waingmaw, Bhamo), Shan State, (Momeik), (Namhsan, Lashio, Hopang, and Kokang) and southern Shan State (Namsang, Loilem, Mongton) and, Sagaing Division (Katha and Khamti), Mandalay Division (Mogok and Pyin Oo Lwin). Approximately 55,000 live in Thailand, where they are one of the six main hill tribes. They mainly inhabit remote mountainous areas.The Lisu tribe consists of more than 58 different clans. Each family clan has its own name or surname. The biggest family clans well known among the tribe clans are Laemae pha, Bya pha, Thorne pha, Ngwa Pha(Ngwazah), Naw pha, Seu pha, Khaw pha. Most of the family names came from their own work as hunters in the primitive time. However, later, they adopted many Chinese family names. Their culture has traits shared with the Yi people or Nuosu (Lolo) culture.

View More On Wikipedia.org
  1. Nazgur

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aanza kukumbana na wananchi wakitaka maendeleo ya vitu

    Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko Mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu. Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu? Majibu ya...
  2. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukiwasikiliza kwa makini sana Tundu Lissu na Askofu Gwajima utaona dalili zote za mwisho wa Ulimwengu huu

    Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya. Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa. Tundu Lissu anazungumzia kutoa Bima ya afya kwa watu wote nchini raia na wasio raia...
  4. Nazgur

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu na CHADEMA hawana Ilani?

    Habari wana jamvi, Nimekuwa nikifuatilia mikutano yote ya CHADEMA, mara nyingi wanakuja na hadithi mpya na nyingi zinatungwa na washabiki wao hapa JF kisha mgombea anapanda nazo jukwaani. Je, Chadema hawana Ilani yao? Nimejaribu kuingia Google lakini nimeona ya mwaka 2015. Je, mpya bado...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Lissu kutamka hataki Muungano kwamgharimu Zanzibar uzinduzi wa kampeni ya urais, Waanzibar hawajamtaja hata jina tu

    Lisu akiwa Zanzibar alitamka wazi kuwa haitaki muungano. Sasa leo siku ya uzinduzi wa kampeni ya Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif hawajamtaja kabisa Tundu Lissu. Sababu wao wanatafuta Rais wa Zanzibar sio wa muungano Nikiwa Zanzibar, Wazanzibari wanasema walimshangaa Lissu aliposema...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bado naona Lowassa wa 2015 ni bora kuliko Tundu Lissu wa 2020

    Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya Mgombea Urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikiliza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni. Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee. Maendeleo hayana vyama!
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu anaahidi kufufua viwanda gani?

    Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa. Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu. Watanzania siyo wajinga. Maendeleo hayana vyama!
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

    Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu. Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

    Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anakataliwa mpaka na wazee hapa Bagamoyo

    Kwa wiki nzima nilikiwa Bagamoyo. Na nimesikiliza mijadala mingi sana ktk viunga vya mji huu wa kihistoria kuhusiana na kampeni zinazoendelea. Nami ktk nyakati na maeneo tofauti nilikuwa najaribu kuchomekea kutaka kujua watu wana matamanio ya kumchagua nani ktk uchaguzi wa 28/10/2020, na...
  11. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu: Watanzania sio kwamba hawana akili bali Lugha ya kufundishia ndio shida, Elimu yetu inabidi ifumuliwe na lugha ya kufundishiwa iwe moja

    Tundu Lissu amesema haya kuhusu lugha ya kufundishia: Ukiniuliza mimi, honest opinion Nchi yetu haiwezi kuzungumza Kiingereza, hivyo tunahitaji kuwa na mjadala juu ya sera ya lugha, tusipokuwa na mjadala huu, hatufiki popote kwani language of instruction is everything. Mimi ni Wakili, Majaji...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

    Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Haya ni baadhi ya aliyoyasema: ====== Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu! > Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

    Ndugu zangu, Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif. Muda unatoa majibu sasa.
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nilishawaambia muengueni Tundu Lissu, hamkusikia. Oneni!

    LISSU UMENISIKITISHA SANA, NILIKUWA SAHIHI KUSEMA UENGULIWE NA NEC. ONA SASA! Na, Robert Heriel Kipindi cha mchakato wa NEC kuteua wagombea watakaopeperusha bendera za Urais kupitisha vyama vya siasa hapa nchini, nilipendekeza kuwa Tundu Lissu aenguliwe kwa maslahi ya Muungano. Nilisema, Tundu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya mtu yako katika Uhuru wa kuabudu, mengine yote ni maendeleo ya vitu CCM wasitegeke na Tundu Lissu

    Kwa kifupi sana. CCM imeruhusu uhuru wa kuabudu kwamba kila mtu ana haki ya kuabudu katika imani anayoiamini. Viongozi wa dini ndio wenye jukumu la kuhakikisha " mtu" anaendelea kiroho na kimwili. Mambo mengine yanayosimamiwa na serikali kwamba tuwe na viwanda ili watu wavae na kula pamoja na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 JPM kwenye mabango, Tundu Lissu kwenye mioyo ya watu

    MAKALA hii nimeanza kuandika jana, nikiwa kwenye jukwaa la CCM, mjini Musoma. Mengi nimeyashuhudia kwa macho yangu, lakini kwa nafasi yangu hususan kwenye timu ya kampeni ya mgombea wetu nitajadili machache: Nimeshuhudia baadhi ya watu muhimu kwenye timu yetu wakifuatilia hotuba za Lissu kwa...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu

    Lissu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa CHADEMA Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu. Anagombea urais bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa kama Tundu Lisu mnapotumia msamiati wa " Jalalani" mnakosa uzalendo kwa UDSM!

    Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani" Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli. Maendeleo hayana vyama!
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu hafahamiki kabisa vijijini kwenye wapiga kura wengi

    Nimetembea wilaya ishirini za mikoa ya kanda ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kusini vijijini kuuliza kama wanamjua mtu anaitwa Tundu Lissu wamesema hawamjui kabisa Vijijini hana chake hata akienda kufanya kampeni ana kazi kubwa ya kujitambulisha yeye ni nani.
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii tabia ya Lissu kutumia maandiko ya Mwl. Nyerere kuhusu maendeleo ya vitu ni unafiki na upotoshaji

    Sina hakika kama unafiki na upotoshaji wa ukweli kwa wanasiasa ni kitu cha kawaida, lakini inakera zaidi wakati upotoshaji na unafiki huo unapo kithiri na kuvuka mpaka. Iko on record kwamba huko nyumba Tindu Lissu amekuwa ni mkosoaji mkubwa wa Baba wa Taifa kiasi cha kumwita dictator...
Back
Top Bottom