lisu

The Lisu people (Lisu: ꓡꓲ‐ꓢꓴ ꓫꓵꓽ; Burmese: လီဆူလူမျိုး, [lìsʰù]; Chinese: 傈僳族; pinyin: Lìsù zú; Thai: ลีสู่) are a Tibeto-Burman ethnic group who inhabit mountainous regions of Myanmar (Burma), southwest China, Thailand, and the Indian state of Arunachal Pradesh.
About 730,000 Lisu live in Lijiang, Baoshan, Nujiang, Diqing and Dehong prefectures in Yunnan Province and Sichuan Province, China. The Lisu form one of the 56 ethnic groups officially recognized by China. In Myanmar, the Lisu are recognized as one of 135 ethnic groups and an estimated population of 600,000. Lisu live in the north of the country; Kachin State (Putao, Myitkyina, Danai, Waingmaw, Bhamo), Shan State, (Momeik), (Namhsan, Lashio, Hopang, and Kokang) and southern Shan State (Namsang, Loilem, Mongton) and, Sagaing Division (Katha and Khamti), Mandalay Division (Mogok and Pyin Oo Lwin). Approximately 55,000 live in Thailand, where they are one of the six main hill tribes. They mainly inhabit remote mountainous areas.The Lisu tribe consists of more than 58 different clans. Each family clan has its own name or surname. The biggest family clans well known among the tribe clans are Laemae pha, Bya pha, Thorne pha, Ngwa Pha(Ngwazah), Naw pha, Seu pha, Khaw pha. Most of the family names came from their own work as hunters in the primitive time. However, later, they adopted many Chinese family names. Their culture has traits shared with the Yi people or Nuosu (Lolo) culture.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Fadhila za Lissu kwa majasusi wa kibepari na kisingizio cha uwekezaji nchini

    Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC. Swali...
  2. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Magufuli na Lissu kukutana Kigoma kwa mara ya kwanza leo

    Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huo huo Rais Magufuli atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na Rais wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama. Hofu yangu ni, je, CHADEMA wataruhusiwa kufanya...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nilichoshuhudia kwenye kampeni za Tundu Lissu Sumbawanga, CHADEMA inafeli kwenye mikakati

    Habarini wapiga kura wenzangu. Jana nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa Kampeni wa mgombea wa CHADEMA ndugu Tundu Lissu, kiukweli watu walijitokeza wengi sana kumlaki na walionesha ushirikiano kwa kumsindikiza kwa maandamano hadi hotelini kwake hiyo ni mida ya saa mbili usiku, polisi...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mdogo wangu amenidharau kisa kusema sitamchagua Lissu

    MDOGO WANGU KANIAMBIA AMENIDHARAU KWA KUSEMA SITAMCHAGUA TUNDU LISU. Na, Robert Heriel Unajua mpaka siamini kabisa kwamba mdogo wangu wa kuzaliwa anaweza nambia maneno makali kama yale. Nina hasira, sijui nimfanyeje, bado nafikiri ni adhabu gani itakausha hasira zangu. Hawa madogo wa siku hizi...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Tulia atema cheche Mbeya Mjini, awajibu Lissu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu watu wafurika mkutano wake

    Mama Dk Tulia kachachamaa majukwaani Mbeya Mjini, awajibu Lissu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu.
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa

    Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mifano ya uongozi na maendeleo anayoitoa Lissu kutoka Ulaya ni kujitoa fahamu au ni ushamba

    Tokea kampeni zimeanza nimekuwa nikisikiliza sera za mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu tundulisu lakini mara nyingi akitoa hoja zake lazima aseme "NDIVYO ULAYA WANAFANYA" amekuwa akiyasema akitolea mfano wa bima ya afya na utawala wa majimbo, NK: Nimewaza sana ni ushamba, ujinga au...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu ya Vyama vya Upinzani kutomuunga mkono Lissu, CHADEMA walivunja makubaliano ya kugawana Ruzuku kuvipa Vyama vyote vya UKAWA

    2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza kumpa nguvu zaidi ya kura Lowassa za Zanzibar na za waislamu. Vyote vikakubaliana kuwa kwa kuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akifanya hili kwa Watanzania anashinda Urais asubuhi na mapema

    Aombe msamaha Watanzania kwa ile biti ya hatari aliyoichimba maana Watanzania wote kutoka katika vyama vyote na wasio na vyama, haja kubwa ilikuwa inagonga nguo za ndani kwa hofu. Watanzania wengi waliingiwa na hofu kuu hasa ukinzingatia hatuna uzoefu wala mazoea ya kuvamiwa kivita kwani hata...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli amka Lissu ameshapita tatizo hukuona hata vumbi

    Yaani namshangaa Mheshimiwa Magufuli amebaki na kuachwa akiangalia live band tu,anakula starehe, Sijui kama anazo taarifa au wahusika hawampi na kumwambia ukweli,kuwa Tundu Lissu ameshauteka umma wa walio wengi na anaendelea kukata mbuga kwa kasi ya ajabu. Ukiangalia vizuri utaona Polepole...
  11. Nazgur

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aanza kukumbana na wananchi wakitaka maendeleo ya vitu

    Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko Mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu. Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu? Majibu ya...
  12. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukiwasikiliza kwa makini sana Tundu Lissu na Askofu Gwajima utaona dalili zote za mwisho wa Ulimwengu huu

    Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya. Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa. Tundu Lissu anazungumzia kutoa Bima ya afya kwa watu wote nchini raia na wasio raia...
  14. Nazgur

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu na CHADEMA hawana Ilani?

    Habari wana jamvi, Nimekuwa nikifuatilia mikutano yote ya CHADEMA, mara nyingi wanakuja na hadithi mpya na nyingi zinatungwa na washabiki wao hapa JF kisha mgombea anapanda nazo jukwaani. Je, Chadema hawana Ilani yao? Nimejaribu kuingia Google lakini nimeona ya mwaka 2015. Je, mpya bado...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Lissu kutamka hataki Muungano kwamgharimu Zanzibar uzinduzi wa kampeni ya urais, Waanzibar hawajamtaja hata jina tu

    Lisu akiwa Zanzibar alitamka wazi kuwa haitaki muungano. Sasa leo siku ya uzinduzi wa kampeni ya Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif hawajamtaja kabisa Tundu Lissu. Sababu wao wanatafuta Rais wa Zanzibar sio wa muungano Nikiwa Zanzibar, Wazanzibari wanasema walimshangaa Lissu aliposema...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bado naona Lowassa wa 2015 ni bora kuliko Tundu Lissu wa 2020

    Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya Mgombea Urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikiliza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni. Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee. Maendeleo hayana vyama!
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu anaahidi kufufua viwanda gani?

    Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa. Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu. Watanzania siyo wajinga. Maendeleo hayana vyama!
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

    Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu. Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

    Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anakataliwa mpaka na wazee hapa Bagamoyo

    Kwa wiki nzima nilikiwa Bagamoyo. Na nimesikiliza mijadala mingi sana ktk viunga vya mji huu wa kihistoria kuhusiana na kampeni zinazoendelea. Nami ktk nyakati na maeneo tofauti nilikuwa najaribu kuchomekea kutaka kujua watu wana matamanio ya kumchagua nani ktk uchaguzi wa 28/10/2020, na...
Back
Top Bottom