YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Lisu akiwa Zanzibar alitamka wazi kuwa haitaki muungano.
Sasa leo siku ya uzinduzi wa kampeni ya Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif hawajamtaja kabisa Tundu Lissu.
Sababu wao wanatafuta Rais wa Zanzibar sio wa muungano Nikiwa Zanzibar, Wazanzibari wanasema walimshangaa Lissu aliposema anamuunga mkono mgombea urais wa Zanzibar wakati yeye sio mpiga kura wala raia wa Zanzibar kuwa uungaji mkono wake ni hewa sababu si mpiga kura wa kuchagua rais wa Zanzibar.
Leo wazanzibari wa Act wazalendo wamemwonyesha Lissu kuwa akae mbali na mambo yanayowahusu Wazanzibari peke yao kwa kutontaja hata jina tu mkutano wote pamoja na Lisu kujikomba kuwa anamuunga mkono Maalim Seif.
Hongereni ACT Wazalendo Zanzibar kwa ku muignore Lisu ambaye si mpiga kura wa kuchagua Rais wa Zanzibar.