lisu

The Lisu people (Lisu: ꓡꓲ‐ꓢꓴ ꓫꓵꓽ; Burmese: လီဆူလူမျိုး, [lìsʰù]; Chinese: 傈僳族; pinyin: Lìsù zú; Thai: ลีสู่) are a Tibeto-Burman ethnic group who inhabit mountainous regions of Myanmar (Burma), southwest China, Thailand, and the Indian state of Arunachal Pradesh.
About 730,000 Lisu live in Lijiang, Baoshan, Nujiang, Diqing and Dehong prefectures in Yunnan Province and Sichuan Province, China. The Lisu form one of the 56 ethnic groups officially recognized by China. In Myanmar, the Lisu are recognized as one of 135 ethnic groups and an estimated population of 600,000. Lisu live in the north of the country; Kachin State (Putao, Myitkyina, Danai, Waingmaw, Bhamo), Shan State, (Momeik), (Namhsan, Lashio, Hopang, and Kokang) and southern Shan State (Namsang, Loilem, Mongton) and, Sagaing Division (Katha and Khamti), Mandalay Division (Mogok and Pyin Oo Lwin). Approximately 55,000 live in Thailand, where they are one of the six main hill tribes. They mainly inhabit remote mountainous areas.The Lisu tribe consists of more than 58 different clans. Each family clan has its own name or surname. The biggest family clans well known among the tribe clans are Laemae pha, Bya pha, Thorne pha, Ngwa Pha(Ngwazah), Naw pha, Seu pha, Khaw pha. Most of the family names came from their own work as hunters in the primitive time. However, later, they adopted many Chinese family names. Their culture has traits shared with the Yi people or Nuosu (Lolo) culture.

View More On Wikipedia.org
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tundu Lissu mahojiano yake na KTN kuwasema vibaya Jomo Kenyatta na Moi hakuwatendea haki Wakenya

    Kwenye mahojiano jana na television ya Kenya ya KTN live akiwa Ubelgiji aliwaponda sana mzee Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi kuwa walikuwa madikteta akawapongeza wakenya kujitoa kwenye mikucha yao na kuwa vizuri sasa. Hakuwatendea haki .Naomba wakenya wenyewe rejeeni hayo mahojiano ni ukosefu...
  2. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan, mambo yafuatayo ni muhimu

    Mpendwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan! Kama nilivyoandika hapo awali, ninapenda kuchukua tena nafasi hii kutoa salaam zangu za pole kwako wewe binafsi kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Hakika, hiki ni kipindi kigumu sana kwako wewe binafsi na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

    Najiuliza tu kama CHADEMA wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lissu kugombea tena urais 2025. Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana. Maendeleo hayana vyama!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kufungua kesi ya Madai dhidi ya Lissu na Wenzie

    Baada ya kusoma taarifa alizozitoa Lissu katika vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa kuhusu afya ya Rais na hatimae kueneza taarifa kuwa Rais karejea kwa muumba, ilinisababishia mshituko mkubwa na kuleta tatizo kiafya: Kwanza nilipata mshituko wa moyo ikizingatiwa Rais ni kiongozi wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Tundu Lissu huko Ubelgiji ni yake binafsi au anaongea kwa niaba ya CHADEMA?

    Ni vema watanzania tukajua kama Chadema ina ofisi ndogo Ubelgiji inayotumiwa na makamu mwenyekiti wa chama hicho chenye makao yake makuu mtaa wa Ufipa Kinondoni. Na pia kama yale yote anayoongea Tundu Lisu na vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani yana baraka za chama hicho. Na kwamba kwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanasheria wa Donald Trump amenikumbusha swaga za Tundu Antipas Lissu!

    Kuwa mwanasheria ni jambo moja lakini kuwa na uwezo wa kuichambua sheria kifungu kwa kifungu ni jambo lingine kabisa. Niko natazama mubashara impeachment trial ya Donald Trump hakika huyu mwanasheria David Schoen wa Trump ni kiboko. Amenikumbusha uwezo wa Tundu Lissu katika kuchambua vifungu...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Tundu Lissu: Kama Corona ipo Tanzania, kwanini toka alipoingia Tanzania na kipindi chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa?

    Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia Rais Biden anavyofuta sera za mtangulizi wake ni wazi Tundu Lissu angeshinda angeirudisha Serikali yote Dsm!

    Natafakari tu. Iwapo makao makuu ya CHADEMA bado yapo Dar es salaam hadi leo yawezekana chama hicho hakikubaliani na sera ya kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma. Je, unadhani ni nini Tundu Lissu angekifuta mapema kama angefaulu kutinga jumba jeupe ambacho kingeturudisha nyuma...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ukiwaangalia kwa makini wafuasi wa Trump na wale wa Bobi Wine utagundua kuwa Tundu Lissu hana wafuasi bali mashabiki!

    Tundu Lisu baada tu ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa alikimbilia ubalozi wa Germany kisha JNIA kukwea pipa na kurudi zake Ubelgiji. Hakuna kamanda yoyote kutoka Chadema aliyejitokeza kumtetea Lisu zaidi ya akina Mrangi, tindo, Mmawia, erythrocyte na salary slip waliokuwa wanampigania hapa...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

    Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake. Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Mwinyi kukiri kwamba Rais Magufuli ndiye amewezesha Zanzibar kuwa Wamoja, ni wazi Tundu Lissu angepata uteuzi kama alivyoahidiwa

    Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana. Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanasiasa asiyejipendelea hata Tundu Lissu na Zitto waliwapendelea dada zao Ubunge Viti Maalum!

    Tunakumbushana tu. Tundu Lissu alikuwa na dada yake Bungeni Zitto Kabwe alikuwa na dada yake Bungeni. Dkt. Slaa alikuwa na mtalaka wake Bungeni Ndesamburo alikuwa na mwanae pamoja na mkwewe bungeni Mbatia alimpeleka dada yake bunge la Afrika Mashariki nk nk Kila jambo na wakati wake, awamu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu na Lema hawakwenda uhamishoni kwa marafiki zetu China ila wameenda kwa Wakoloni?

    Kwanza nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka. China ni marafiki zetu kama taifa tangia tulipojinasua kwenye makucha kandamizi ya wakoloni waliotunyonya na kututesa sana huku wakipora rasilimali zetu. Ndio nauliza kwanini Tundu Lissu na Godbless Lema wameomba hifadhi kwa adui zetu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliosingiziwa sana ni Kawawa, Lowassa na Ridhiwani pia wanasiasa waliosingizia sana ni Dr Slaa na Tundu Lissu!

    Moja kwa moja kwenye pointi ni kwamba kama kuna wanasiasa waliosingiziwa sana kwa habari za uongo nchi hii basi ni Kawawa rip wakati wa chama kimoja na mzee Lowassa na Ridhiwani Kikwete wakati wa vyama vingi. Na wanasiasa wanaoongoza kwa kuwasingizia wenzao habari za uzushi ni Dr Slaa na Tundu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nimeikubali barabara ya Mwenge - Morocco hakika ilani ya CCM kiboko, Lissu asingeweza haya!

    Kupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika. Nimeona kipande cha Mwenge hadi Sayansi, taa murua kabisa zinafungwa itakuwa safi sana, hongera CCM. Chadema uchaguzi umekwisha chapeni kazi sasa kutoka Mwenge hadi Ufipa street ni dakika 3 tu. Maendeleo hayana vyama!
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kijo Bisimba, Ananilea Nkya, Lissu na Fatma Karume taasisi mlizoongoza zinakufa mkiangalia?

    Kwa Nini mtu aondoke madarakani taasisi inyong'onyee? TAMWa, TLS na taasisi nyingine zinazitetea haki Tanzania zinakufa taratibu kwa kukosa watu wanaoweza kuyaona matatizo ya wananchi kwa upana nakuyatatua. Kama taasisi hizi za haki za binadamu zimebaki kulipana mishahara nakukaa ofisini bila...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mojawapo ya masharti ya STATUS ya Lissu nchini Ubelgiji

    Wasichokijua watu wengi kuhusu Status ya ukimbizi aliyoomba Lissu zamu hii hata kabla ya kufika Ubelgiji ni kutojihusisha na masuala ya kisiasa au uanaharakati akiwa nchini humo. Ni kwamba Lissu ni assylum seeker na bado haja-qualify kupewa permanent resident status mpaka ashinde kesi yake...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Demokrasia na Utetezi wa Haki za Binadamu aliyotunukiwa Tundu Lissu iwe neema kwa chama

    Chadema kwa muda mrefu imesemwa sana kwa kushindwa kujenga majengo yake Kama ofisi kuanzia ofisi ya makao makuu, kanda, mkoa na hata majimbo ya uchaguzi na kata. Nakubaliana na hoja kuwa ruzuku waliyo kuwa wanapokea kama chama isingeweza kujenga ofisi, kulipa mishahara ya wafanyakazi na kufanya...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu rudi nyumbani, Rais Magufuli yupo tayari kutimiza ahadi yake

    TUNDU LISU RUDI NYUMBANI, RAIS MAGUFULI ATIMIZE AHADI YAKE. Na, Robert Heriel Sisi wote ni wanadamu, kila mmoja anamapungufu yake ambayo anahangaika kuyaweka sawa ili tuwe wakamilifu. Hatuwezi kuwa na tabia zile zile mbaya zinazowaumiza wengine, ni lazima tuziondoe ili kulifanya taifa hili...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Job Ndugai ilivyowasambaratisha Prof. Assad, Makonda, Tundu Lissu, Mbowe na Mpina!

    Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua. Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful. Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa...
Back
Top Bottom