lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Kennedy

    GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  2. PAZIA 3

    Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  3. K

    AZAM TV kama mlivyoonekana leo live zaidi ya saa 3 na 8 August, 2020 Lissu akija hapo tuwaone live

    Pamoja na mitambo kukata kata..bado AZAM TV mmeendelea kurusha picha zisizoonekana vizuri ili mradi lengo lenu la kumrusha Mubashara Mgombea wa CCM. Tunaomba mfanye hivi pia siku ya Jumamosi atakapokuja kuchukua fomu mgombea wa chama kikuuu cha upinzani.
  4. GENTAMYCINE

    GE2020 NEC kama 'mlivyoonekana' leo basi naomba tarehe 8, August 2020 Lissu akija hapo niyaone pia haya yafuatayo...

    1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale 2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo 3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno 4. Niwaone Watendaji wote wa...
  5. M

    GE2020 Kwa Siasa za Rais Magufuli mtu kama Lissu ndio anafaa kupambana naye. Lissu hana cha kupoteza tena hivyo hana hofu ya kumkabili jino kwa jino

    Lissu ndio hasa kisiki cha mpingo cha kupambana na Jiwe. Hata wapiga kura watakuwa majasiri wa kudai haki yao endapo wataporwa ushindi wao. Wakina Membe na wengineo wampishe Lissu kwa huu Uchaguzi maana hawana uwezo wa kupambana na Siasa za kibabe za jiwe. Lissu hasa ndio pekee anayeweza kwenda...
  6. feyzal

    GE2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
  7. MAHANJU

    GE2020 Ipo mifano hai kuwa Lissu atashinda Urais 2020, CCM tusijipe matumaini nawaambieni

    Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili! Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani. Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni...
  8. N

    GE2020 Utanzania wetu ubaki palepale

    Nasema hivi, shukrani kwa ccm mlipotufikisha ,asanteni sana naamini bado mna nguvu ya kuendesha nchi hii hata kwa miaka 100 ijayo ILA NYIE CCM, ACT NA CHADEMA MNAKERA SANA Wengine siyo washabiki wa siasa ila haya makarateee niliyoanza kuyaona yanakera MNABOA SANA. sikilizeni nyie jamaa Hii...
  9. Opinionated

    GE2020 Ushauri kwa Tundu Lissu: Simamia 'agenda' hii ya kimapinduzi

    Muheshimiwa Tundu Lissu, Kwanza napenda kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kupeperusha bendera ya chama chako katika uchaguzi huu wa 2020. Pili, Sera hii yako ya Mifumo ya kifalme ni sera moja kubwa na yenye mashiko makubwa na yenye uwezo mkubwa wakuleta mapinduzi ya kifikra kwetu watanzania na...
  10. Mystery

    GE2020 Je, CHADEMA itamuunga mkono Maalim Seif kule Zanzibar na Membe atamuunga mkono Tundu Lissu katika nafasi ya Urais huku Bara?

    Najua kuwa mazungumzo bado yanaendelea kati ya Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na Chama cha ACT Wazalendo ya namna ya kuachiana nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao. Kwa mazingira niliyoyaona Leo kwa mgombea wa Urais wa chama cha Chadema, Tundu Lissu kuibuka kwenye mkutano...
  11. M

    ITV siyo sahihi kutoa sauti ya Hotuba ya Tundu Lissu katika Mkutano wa ACT-Wazalendo

    Nimefuatilia mkutano wa ACT Live unaorushwa na ITV. Tundu Lissu kapewa nafasi ya kuongea, kaongea kirefu, kisha akaanza kuzungumzia hali ya nchi ndani ya miaka mitano iliyopita, na nia na sababu ya kuiondoa CCM madarakani. ITV wakamzimia sauti. Sasa najiuliza kama ITV inafanya kazi kwa maslahi...
  12. Q

    GE2020 Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020

    Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'. Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana ukwasi lkn hana bei, anajiamini hasa eneo lake la kujidai la sheria tofauti na Lowassa, hivyo ana...
  13. ACT Wazalendo

    GE2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

    Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR - Chama hicho...
  14. Dam55

    GE2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

    Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
  15. Dr Akili

    Ikitokea kama ilivyotokea 2015, Lissu atafanya kama kile alichofanya Dkt. Slaa?

    Mazungumuzo yanaendelea kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA kuweka mgombea mmoja wa urais ili kuongeza nguvu ya ushawishi wa kuing'oa CCM madarakani. Sasa je, ikitokea vyama hivyo viwili vikaamua kumuweka Bernard Membe kuwa mgombea wao kwa nafasi ya Urais kwa manufaa ya vyama vyao, Tundu Lissu...
  16. Nyani Ngabu

    Livestream ya hotuba ya Lissu kwenye Digital Mwananchi iko censored?

    Naangalia hapa acceptance speech ya Tundu Lissu. Hoja zake nyingi, hususan zile za nguvu na uwezo wa rais, nazikubali. Cha kushangaza ni kwamba, kila akianza kumrushia vijembe na madongo Rais Magufuli, sauti inapotea kwa muda halafu baadaye kidogo inarudi. Anaendelea tena kuongea, lakini...
  17. Roving Journalist

    Dar, Mlimani City: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA leo tarehe 04/08/2020

    Salaam Wakuu, Leo Vikao vya Chanma cha CHADEMA vinaendelea Jijini Dar es Salaam. Na leo ni mkutano Mkuu wa CHADEMA. Tutawalea Updates ya kile kitakachojiri kutoka Mlimani City. Leo Tarehe 4, Agosti 2020, Mkutano Mkuu wa Chama una kazi ya kutekeleza kazi zake, ikiwemo “kuteua mgombea wa Urais...
  18. S

    GE2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

    Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu
  19. Dam55

    GE2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

    Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020. Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake...
  20. Gerald .M Magembe

    GE2020 Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kupeperusha bendera ya CHADEMA ni kukiua chama

    Kampeni za chama zimeisha na tayari chama kimempata mgombea ambaye ni Tundu Lissu. Tunampeleka kwenye mkutano mkuu na naamini atapata baraka za mkutano mkuu. KAZI ZINAZO FUATA NI KUMUUZA MGOMBEA NCHI NZIMA Mgombea wetu amaleta msisimko mkubwa kwa wanachama wa Chadema na hasa wajumbe. Hali hii...
Back
Top Bottom