lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Sina shaka CCM watafanya kampeni za matusi na kashfa kama 2015. Je, Tundu Lissu ajibu mapigo? Je, vyombo vitakaa pembeni au vitapendelea CCM?

    Uwezekano wa ccm na Jpm kufanya kampeni za MATUSI na KASHFA ni 99%. Kwanza, wameshaonja mafanikio ya kampeni za namna hiyo kwa kumshambulia na kumkashifu Lowassa mwanzo mwisho mwaka 2015. Bahati nzuri ni kwamba Lowassa hakuwa ktk hali ya kuweza kujibu matusi hayo, au hata kufanya kampeni za...
  2. Jaji Mfawidhi

    Askofu Mwamakula: Ni nani wa kuionya TBC kuacha upendeleo?

    NI NANI WA KUIONYA TBC KUACHA UPENDELEO?! TBC inaongozwa na AYUBU RYOBA,huyu ni mhafidhina aliyegeuka kuwa mwimba kwaya. ameharibu sana TBC na kimekuwa chombo cha chama badala ya UMMA. Kumbuka amekuwa akimdanganya mkuu kwamba TBC hakuna matatizo na pia amekuwa akifanya ujanja ujanja ili JPM...
  3. T

    Nyalandu basi lako litatumika kutafuta wadhamini wa Lissu?

    Ni MCCM haswa mie. Hata hivyo ninaomba kwa heshima na taadhima Nyalandu fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza - zoezi la Lissu liwe bora zaidi. Lile basi libadili liandikwe jina la Tundu Lissu - tembea naye Lissu kutafuta wadhamini. Msiache kuja Shinyanga - hata mkiishia mjini mimi na wenzangu...
  4. Jaji Mfawidhi

    Askofu Bagonza: Taifa letu limekumbwa na virusi viwili vya hatari. Kimoja kinaitwa LISSUPHOBIA na kingine kinaitwa LISSUPHORIA

    Anaandika Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. Taifa letu limekumbwa na virusi viwili vya hatari. Kimoja kinaitwa LISSUPHOBIA na kingine kinaitwa LISSUPHORIA. Inaonekana viliingia nchini tarehe 27/7/2020 kupitia jiji la DSM. Madaktari wanadai dalili za...
  5. GENTAMYCINE

    Je, hii 'Media Blackout' ya leo juu ya tukio zima la uchukuaji fomu wa Tundu Lissu ndiko kumuenzi vyema Mwanahabari Hayati Rais Mkapa?

    Nichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo...
  6. Erythrocyte

    Baada ya Lissu kutwaa madaraka, wale waliotenda makosa wakiwa madarakani wasamehewe tuanze upya au Sheria ifuate mkondo wake?

    Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao. Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao...
  7. Superbug

    Tundu Lissu na kuruka vihunzi

    Maisha ya Tundu Lissu yamejaa majaribu makubwa na vizingiti vingi anavyowekewa na wasiomtakia mema ikiwepo system. Mfano, Walidhani watamshinda kwa hoja bungeni ikashindikana. Walidhani watamshinda mahakamani kwa makesi ikashindikana. Wakaona wamuuwe Mungu akakataa ikashindikana. Wakasema...
  8. T

    Lissu alitaka tufe na Corona kwa wingi ili Magufuli ashindwe halafu anataka awe Rais wetu?

    Alitaka tufe na Corona kwa wingi ili Magufuli ashindwe halafu anataka awe rais wetu? Alisema Magiufuli atake asitake korona intamshinda na kuthibitisha hana uwezo wa kuongoza, alitaka korona ituue kwa wingi kuthibitisha yake sio? Si lolote si chochote ila anataka urais anufaike yeye na jamaa...
  9. B

    Lissu tembelea Rusahunga - Rusumo haraka iwezekanavyo

    Mtia nia kipenzi cha wengi yapo mengi yanayoashiria wazi kuwa "ni wewe 2020" kama hapatakuwa na zengwe. Kuna wale wanaoijitanabaisha kuwa wamefanya mengi hasa kwenye miundo mbinu hali ni janja janja tu za kutafutia kura mijini. Katika picha ni hali halisi ya barabara kuelekea rusumo kutokea...
  10. USSR

    Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

    Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni. Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi. Hii imekaaje?
  11. K

    Imekuaje Tundu Lissu ameumia zaidi mguu wa kulia hali ya kuwa alishambuliwa upande wa kushoto

    Habari wana JF, Ni jambo la kumshukuru mungu kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ameimarisha afya ya ndugu yetu Tundu Antipas Lisu kwa kiasi kikubwa nani matumaini yetu muda si mrefu atarejea katika shughuli zake za kila siku katika ubora. Ndugu wa JF kutokana na uelekeo ambao gari lilishambuliwa...
  12. Erythrocyte

    RPC Muroto ni wajibu wako kumlinda Mgombea Urais Lissu atakapokuja Dodoma kuchukua fomu ofisi za Tume ya uchaguzi

    Nimeona nikukumbushe mapema kuhusu jambo hili kutokana na umuhimu wake . Lissu alishambuliwa mchana Dodoma , hatuna haja ya kukumbusha yaliyojili , bali itoshe tu kusema kwamba hakuna juhudi zozote zilizofanyika ili kuwabaini washambuliaji , bali sarakasi na danadana tu ndio zilizotamba , TUKIO...
  13. J

    GE2020 Tundu Lissu Mbona Watanzania wanakuelewa ila punguza ukali kidogo we jenga tu hoja

    Najua pengine ukali wa speech zako kwa namna Fulani unachangiwa na madhila uliyopitia ambayo Mungu wa Rehema alikuepusha. Labda tu kukushauri unapoanza safari ndefu ya kampeni katika kuwaomba watanzania wakuchague jaribu kuwa moderate unapokuwa unatoa speech zako na pia jikite Zaidi katika...
  14. El Roi

    Kuna mtu ameelewa alichosema Lissu?

    Kama nakumbuka vizuri wakati Lissu anatoa hotuba ya kukubali uteuzi wa kuwa mgombea kupitia chama chake alisema Mambo ambayo nina Shaka Kama yamefahamika kwa Chadema wenyewe au sisi wengine. Kwanza aliomba tuondoe notion ya kila wakati wagombea kuja na ahadi kwa lugha rahisi ilani ya Mambo gani...
  15. Matojo Cosatta

    Uvunjaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na sifa za Tundu Lissu kugombea Urais wa Jamhuri

    UVUNJAJI WA SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA SIFA ZA TUNDU LISSU KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. SEHEMU 1: UTANGULIZI. Jana tarehe 4 Augosti, 2020 nilisoma waraka ulioandikwa na Kaka yangu Daddy Igogo ambapo kupitia waraka huo alijenga hoja kuwa Mhe. Tundu Lissu hana...
  16. VUTA-NKUVUTE

    Nimeshawishiwa, nimeshawishika na kukubali kuwa Tundu Lissu ni mgombea sahihi wa Upinzani mwaka huu

    Si siri humu Jamvini kuwa mimi ni kada mwandamizi wa CCM. Nimekuwa ndani ya CCM kwa zaidi ya miaka arobaini. Nimeshuhudia chaguzi nyingi za nchi hii kuanzia zile za chama kimoja na hata za vyama vingi. Nimejionea wagombea na nimesikia sera zao kwa miongo kadhaa. Kuna chaguzi zilikuwa na wagombea...
  17. M

    GE2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

    WanaJF Dodoma Inazizima.Ndivyo tunavyoweza kusema kwa Sasa. Mapokezi kabambe yanamsubiri mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Antipass Lissu ambaye atachukua rasmi fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kesho siku ya Nane Nane. Inatarajiwa mgombea huyo kusindikizwa na umati mkubwa wa...
  18. M

    GE2020 Makosa ya Lissu yanaweza kutumiwa na CCM kumzidi kete kisiasa

    Kosa moja ambalo Lissu anafanya hivi sasa ni kuaccumulate makosa mengi ya kisiasa ambayo CCM wanaweza kuyatumia dhidi yake. Tangu arudi nchini Lissu ameshafanya makosa kadha wa kadha ambayo asipokuwa makini na akaendelea kuyafanya yataanza kumpungunzia mtaji wa kisiasa kuelekea kwenye uchaguzi...
  19. matunduizi

    GE2020 Sababu 11 kwanini Lissu atapata ushindi wa asilimia ndogo kuliko wote tangu 1995

    1: JPM anamengi yakuonekana aliyofanya kwa wananchi Lissu hata jimbo lake tu hakuna chochote cha kuonyesha. 2: Kila vita anayoingia JPM anapata ushindi au nusu ushindi (MAKINIKIA) wa kugusika, Lissu ni nusu ushindi au ushindi wa maneno. 3: Lissu amejipanga kutumia tuhuma kujinadi wakati JPM...
  20. Kennedy

    GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
Back
Top Bottom