lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. M-mbabe

    Aliyoyatamka Nape Nnauye baada ya jaribio la kuuawa Tundu Lissu

    Video clip hii inawakilisha silent sympathisers wa Tundu Lissu tuliomo ndani ya CCM. Tupo wengi tu. Kwenye clip hii Nape Nnauye anaonyesha kuguswa, kusikitishwa na kuwa na hofu kubwa sana baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi kadhaa. Ni wana CCM wengi tuliguswa na tukio lile ambalo lilituachia...
  2. T

    GE2020 Kutokana na kunyongewa Vyombo vya Habari, Tundu Lissu kampeni zaidi ya nyumba kwa nyumba inahitajika

    Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni. Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo...
  3. Libya

    IGP Sirro: Polisi wanaendelea kumfuatilia Tundu Lissu ili kumuhoji kuhusiana na tukio la kushambuliwa kwake ila bado hawajampata

    Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro amesema wapelelezi wanamfatilia Tundu Lissu ili waweze kumuhoji kuhusiana na tukio la kushambuliwa kwake na bado hawajampata lakini kwa sababu amerudi nchini sasa tutampata. Sirro ameongea hayo na mtangazaji wa ITV Fahma Middie katika kipindi cha Dakika...
  4. Mdaiwa-Sugu

    Tundu Lissu ni jasiri sijapata kuona

    Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza. Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi...
  5. Mwanahabari Huru

    Tundu Lissu afanya misa ya shukrani Ikungi, Singida. Aahidi kutompitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeo (Chadema), Tundu Antiphas Lissu, leo Jumatatu, Agosti 10, 2020 amefanya Misa ya Shukrani kwenye kanisa la Mtakatifu Rita wa Kashia lililopo Ikungi, jimboni kwake Singida Mashariki. Kwenye Misa hiyo iliyoongozwa na Paroko Laurent Bahale...
  6. Sijijui

    GE2020 Hotuba za kampeni za Lissu, naomba sana ziwe na yafuatayo

    Mh. Tundu A. Lissu habari ya asubuhi, Mimi si mwanachama wa CHADEMA wala CCM Ila my country Tanzania na watanzania ni kila kitu kwangu. Lakini pia naomba nikiri wazi kuwa naichukia CCM kwa dhati kabisa kwanza kwa kuamua kuwekeza kwenye ujinga na umasikini wa watanzania ili waendelee kuwatawala...
  7. M

    Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo. Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa...
  8. Jaji Mfawidhi

    Vyombo vya Habari vinacheza Mdumange wa CCM, vyapigwa marufuku kuripoti mapokezi ya Lissu Jimboni

    MALISA GJ Baada ya Lissu kunusurika risasi 37 na waliompiga, ama kutojulikna , na baadaye kupokwa ubunge wake, na pia kunyimwa matibabu na mafao yake, na watu ambao wana majina ya watakatifu , "Yoana Nduguwai" na "Yohana Alcohol Padlock" huku wakimtakia kifo, Mungu kamtende miujiza kaibuka...
  9. Tindikali

    VIDEO: Tundu Lissu, aliyepigwa risasi akipinga ukabila na u-Mobutu, na yeye aiga kuongea vilugha majukwaani

    Jambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba ile ya "Mtoto wa Dada," ambamo alishutumu vikali na kulaani kwa nguvu ukabila na undugu uliokuwa...
  10. Erythrocyte

    Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

    Hii ndio taarifa mpya inayozagaa mitandaoni kwa sasa. wote mnakaribishwa === Mgombea wa Urais, kupitia Chama cha Upinzania CHADEMA Tundu Lissu, alivyohojiwa na Citizen Online Radio Station, kutoka Nairobi Kenyan Tundu Lissu aongea mengi kuhusu mustakabali wa Tanzania, ambae anagombania...
  11. The Palm Tree

    GE2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

    This is very interesting, kwa kweli... Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kampeni rasmi za kila mgombea za nchi kavu, angani au majini za kutembea kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo Tanzania nzima zitaanza trh 26/8/2020.... Lakini kampeni zisizo rasmi za MTU kwa MTU...
  12. K

    Utamaduni wa woga ndiyo umempa Lissu na Seif umashuhuri

    Lissu na Seif ni mashuhuri sana kwasababu hatuna viongozi majasiri wengi nchini kwetu. Tanzania imekuwa nchi ya kuogopa tunaogopa mabeberu, tunaogopa wakenya, tunaogopa wachagga!, tunaogopa wapemba, tunaogopa ndugu zetu wa diaspora, tunaogopa serikali! . Wakati wa wakoloni nchi yetu ilikuwa na...
  13. S

    Tundu Lissu: Mnapoambiwa tumekombolewa, mjue ndani ya miaka 5 tumekopa zaidi ya trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu

    Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu. Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi...
  14. M

    Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo. Akiwa na msafara mkubwa wa magari, pikipiki, bajaji, baiskeli na Punda kiongozi huyo kipenzi Cha Watanzania ameingia rasmi kwenye Jimbo...
  15. W

    GE2020 Hongera Tundu Lissu. Watanzania wamepata wa kuwafuta machozi

    Leo nina furaha sana. Nina furaha kwa Lissu kuteuliwa na Chama chake. Ninaamini sasa tutakuwa na uchaguzi. Watanzania wengi wamefurahi wamepata mtu wa kuwafuta machozi kutokana na kifungo, minyororo, na mateso ya miaka mitano. Hongera sana. Nimemuona Lissu halisi. Mungu akulinde na akupe...
  16. DR HAYA LAND

    Ujio wa Lissu umekuwa tishio kwa CCM?

    CCM + JPM imekaa miaka mitano ikifanya siasa, na haikutosha wakajenga mabarabara, wakanunua mandege, wakafanya kila aina ya kitu huku Lissu akiwa Belgium akiwekewa vyuma lakini cha ajabu wanamuogopa mtu wa aina hiyo. Mimi ningeshauri CHADEMA tungefungua account kwenye mitandao ya Youtube...
  17. Mzalendo Uchwara

    GE2020 Ushauri muhimu sana kwa Tundu Lissu tukielekea Oktoba 2020

    Ni wazi kuwa Lissu amekuwa mwanaharakati wa kutetea haki za wananchi kwa miaka mingi, pia ni wazi kuwa kwa sasa yeye ndiye mwanasiasa pekee wa upinzani mwenye uwezo wa kumtikisa Magufuli. Lakini kuna mambo machache ningependa kumshauri ayazingatie atakavyoendelea na kampeni zake kuelekea...
  18. funaku

    GE2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

    Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais? Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais? Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa...
  19. PAZIA 3

    GE2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

    Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais. === Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais. Ikumbukwe Tundu Lissu mara ya mwisho kuondoka katika mkoa huu ni baada...
  20. B

    GE2020 Tundu Lissu atoa salamu kwa wakulima

    Dodoma, Tanzania MHE. TUNDU LISSU AKITOA SALAMU KWA WAKULIMA IKIWA NI MAADHIMISHO YA SIKU YA NANE NANE Leo ni NaneNane sikukuu ya wakulima, tufikirie hali ya mkulima popote katika nchi hii, tufikirie hali ya mfugaji na mvuvi katika nchi hii. Wakulima hawa wana umasikini mkubwa wakati...
Back
Top Bottom