lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kilochopelekea Tundu Lissu kwenda kwa haraka kumwaga sumu Zanzibar

    Ndugu watanzania wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku ya leo. Kwa kifupi sana, nadhani baada ya Tundu Lissukuona trend ya kampeni za Mh. Magufuli: Dodoma, Tobora, Shinyanga, Simiyu, Mara, na baadaye mapokezi yake kule Mwanza, wanamwanza ndiyo walivunja rekondi...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

    Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Haya ni baadhi ya aliyoyasema: ====== Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu! > Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Asante Lissu amesababisha ajira za walimu kutangazwa, hotuba ya bajeti ya Waziri hapakuwa na hilo

    Ni mtu mpuuzi tu anayeweza kumdharau mtu kama Tundu Lissu. Lissu kasema Serikali haijaaijiri walimu tangu 2014, hapo hapo serikali inaitupa bajeti ya Ndalichako na kaika hali ya kupaniki inatangaza kufungua dirisha la kuajiri walimu kwa maelfu. Katika hotuba ya waziri wa elimu, yeye aliahidi...
  4. JamiiForums Tanzania Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

    Augustino Chiwinga 0756810804. Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma. Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu. Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

    Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana. Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila...
  6. JamiiForums Tanzania VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

    Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu. Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli...
  7. JamiiForums Tanzania Lissu unasema uongo kuhusu Jeshi la Akiba, umesahau au hujui?

    Juzi nilimsikia intern wangu akidai mgambo ni intarahamwe na kuwa hakuna kitu kinaitwa jeshi la akiba. Nimpe benefit of doubt kuwa hajui au kasahau. Ningependa nimumbushe tena kwa picha. Kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha JKT na jeshi la mgambo yeyote aliepitia JKT au mgambo ni askari wa akiba...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Magufuli, mtaondoaje mirundikano ya kesi mahakamani?

    Katika kipindi hiki cha kampeni nimesikia kila mgombea akinadi atakavyoboresha maeneo ya sekta kadhaa ya nchi yetu. Lakini sijasikia mgombea aliyeahidi kuboresha mahakama zetu na ziondokane na misongamano iliyopo kule. Nimeona uhuru wa mahakama ukiongelewa kwa juu juu. Nadhani wanasiasa wote...
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

    Ndugu zangu, Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif. Muda unatoa majibu sasa.
  10. JamiiForums Tanzania VIDEO: Ni mpambano wa Tundu Lissu vs Polisi kuhusu Sheria. I love this guy more than enough!

    The guy is very unique. Kutojua nini amesema kwa siku moja kt kipindi hiki cha kampeni kunanipa taabu sana. Mwisho wa siku ktk fukua fukua yangu nikakutana na video hii. Ni somo la sheria kwa Polisi wetu wanaofanya kazi zao kwa mazoea tu badala ya kufuata Sheria. Huyu jamaa ni mtu anayekufanya...
  11. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 TCAA chunguzeni ndege anayotumia Lissu

    Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege. Kwanza ina engine moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Unajua ni kwanini Tundu Lissu anamshinda Dkt. Magufuli?

    Kuna wakati hua nafuatilia mijadala hasa kwa jamaa zangu wa CCM wanavyojigamba kwa sababu tu hawafikirii sawa sawa. Matumaini makubwa kwao kua CCM inaendelea kutawala kwa sababu wapiga kura wengi wako vijijini, wewee nani kakudanganya wapiga kura wengi wako vijijini? TWENDE NA HESABU HII...
  13. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mhe. Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti. Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 BAWACHA amkeni, uwezo wa kumfanya Tundu Lissu awe Rais wa Tanzania uko mikononi mwenu kwa sasa

    Hatari Wana JF, Baada ya takribani siku kumi za amshaamsha ya mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu kuigongesha CCM na mgombea wake kwenye majukukwa ya kampeni, ni dhahiri kuwa Magufuli na CCM yake waweza kuwa chama cha upinzani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya taifa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Ratiba ya kampeni visiwani Zanzibar - Sept 7, 2020

    Live : Shughuli nzima ya Kampeni ya Tundu Lissu leo Zanzibar Source : swahili villa Mapokezi ya Tundu Lissu alipowasili airport Zanzibar Updates: LISSU AKIZUNGUMZIA KUMUUNGA MKONO MAALIM SEIF UCHAGUZI WA ZANZIBAR Tundu Lissu : Uchaguzi huu ni muhimu kwa taifa la Zanzibar lazima maamuzi...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

    Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini. Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli...
  17. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwajibu tit for tat "wagombea urais" wa CCM

    Hakika uchaguzi huu pele limepata mkunaji. Rick Rose anaimba..the bigger the bullet the more that it makes bang.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Tundu Lissu kuwatoa mahabusu mashehe wa uamsho kabla ya tarehe 28/10/2020

    Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana. Hotuba za...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Hii hapa hotuba ya Tundu Lissu Dodoma, ambayo Magufuli ameamua kumjibu akiwa Musoma.

    ..hotuba ya Tundu Lissu akiwa Dodoma. ..sikujua kuwa amerusha makombora makali kumlenga Magufuli. ..baada ya kuisikiliza nimeelewa kwanini Magufuli amezungumza vile akiwa Musoma.
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbe sera ya Bima ya afya kwa watanzania wote Tundu Lissu ka copy kutoka Ilani ya CCM!

    Rais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote. Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini. Kuthibitisha kuwa sera hiyo ni yake amesoma Ilani ya ccm ya uchaguzi 2020 katika ukurasa wa 139 kipengele "e". Amesema ahadi hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…