Utabiri: Tundu Lissu kuwatoa mahabusu mashehe wa uamsho kabla ya tarehe 28/10/2020

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.

Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.

Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.

Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.

Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
 
Mashekhe hawatoki leo wala kesho. Bahati mbaya hata Wanzanzibar wenyewe hawawatetei ndugu zao...
 
Upinzani kupinga kila kitu ndiyo mtaji wenu, ndiyo kula yenu na ndiyo uhai wenu.

Mkisema mazuri yanayofanywa mtakula nini? Suala la kibiti mlioponda serikali mkawatetea magaidi.

Tukaja kwenye Corona mkamponda magufuli.

Sio kwamba mnaponda kwasababu hafanyi kazi nzuri ila ndiyo kula yenu na kuwepo kwenu. Hongera saana wapinzani.
 
Ila kweli kwa sababu kuwatoa wana uhamsho lokapu hicho kitu hakipo hadi chama kingine kiingie madarakani maana hao kutoka ni ndoto. Jakaya mwenyewe aliwaacha, hata Magu atawaacha.
uhamsho walikuwa noma
 
Waliwekwa ndani na waislamu wenzao maraisi Raisi Shein na Kikwete mkristo mia nguruwe Lisu ndio awatoe walioshindikana kwa waislamu wenzao?
 
Mzee wa MIGA
Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.

Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.

Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.

Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.

Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
 
Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.

Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.

Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.

Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.

Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
MSIHAMISHE MAGOLI, KWANZA ATUAMBIE HAYAMATUSI YA KUTUKANA WATUMISHI WA UMA NDIO ILANI YA CHAMA CHENU??
WATUMISHI WANAHASIRA USIPIME.
MAJIBU YAO NIKWENYE SANDUKU LA KUPIGIA KURA.
 
Hapo sasa kuna kugusa siasa na imani za watu,ngoja tuone mjadala utakavyokuwa.
 
Upinzani kupinga kila kitu ndiyo mtaji wenu, ndiyo kula yenu na ndiyo uhai wenu.

Mkisema mazuri yanayofanywa mtakula nini? Suala la kibiti mlioponda serikali mkawatetea magaidi.

Tukaja kwenye Corona mkamponda magufuli.

Sio kwamba mnaponda kwasababu hafanyi kazi nzuri ila ndiyo kula yenu na kuwepo kwenu. Hongera saana wapinzani.
Hakika.
tapatalk_1577354951190.jpg
 
MSIHAMISHE MAGOLI, KWANZA ATUAMBIE HAYAMATUSI YA KUTUKANA WATUMISHI WA UMA NDIO ILANI YA CHAMA CHENU??
WATUMISHI WANAHASIRA USIPIME.
MAJIBU YAO NIKWENYE SANDUKU LA KUPIGIA KURA.
Mkuu na wewe upo kwenye Timu ya Propaganda!?
Kama ndio tafuta mada nyingine ...!
 
Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.

Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.

Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.

Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.

Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
[SUB]UAMSHO watoke, ili wawasaidie kufanya fujo Pemba ee![/SUB]
 
Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Mkuu Kishina cha Mshahara, kwanza naomba kukiri, ninaheshimu mawazo yako, ila kwenye uchaguzi, ni kweli kuna mtu amefanya the right timing na mtu ni too late too little!.

Niliwahi kuuliza hivi humu
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au ni Magufuli tu?!.

Uchaguzi wa 2020, Kukumbuka shuka kumekucha, is it too little too late kwa CHADEMA or better late than never?

Majibu ya swali hili ni tarehe 28 October,
Kuna mtu atalia na kuna mtu atacheka!. He who cries last cries most, and he who laughs last laugh most!.
P
 
Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.

Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.

Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.

Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.

Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Sijaribiwi
 
Back
Top Bottom