lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama ahadi za Magufuli wakati wa kampeni si rushwa na anazitoa kama Rais, Lissu anapaswa kuwaambia walioahidiwa atazitekeleza zote akiwa Rais

    Nashangaa kwanini watu wanaumiza kichwa juu ya ahadi za Raisi Magufuli wakati wa ziara zake za kampeni kuwa ni rushwa au la. Labda kwanza nikubaliane na Rais Magufuli kwamba ni kweli yeye bado ndio wa raisi wa Tanzania, na ana haki ya kutoa hizo ahadi kama raisi - ingawa ni jambo la kushangaza...
  2. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndani ya mwezi mmoja tu Tundu Lissu ameweza kufanya aliyoshindwa Magufuli kwa miaka mitano

    Tunajua kwamba hata Magufuli anaposema "Nitajenga barabara" haimaanishi kwamba yeye ndiye mwenye hela au kwamba atakuwa saiti akijenga. Anatumia vyombo vilivyopo kujenga barabara n.k. Tundu Lissu amefanikiwa kwa ushawishi wake na umahiri mkubwa wa kujenga hoja zinazowafanya waliopo madarakani...
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Emmaus Mwamakula: OCD Bukoba na RPC Kagera, Tundu Lissu yuko salama kwa kiasi gani?

    Anaandika Askofu EMMAUS BANDIKILE MWAMAKULA.... TUNDU LISSU YUKO SALAMA KWA KIASI GANI? Nayaandika haya kama Askofu! Ndiyo! Askofu aliye katika Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Tundu Lissu. Tarehe 23 Septemba 2020, Msafara wa Tundu Lissu uliwasili...
  4. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nahitaji msimamo wa CCM kuhusu ajira, kuongeza mishahara, Fao lakujitoa na namna ya kukabiriana na majanga ili Lissu apate mawazo

    CCM mgombea wake kazungumzia ndege,barabara,stigraz,sgr na meli . Ningependa kusikia pia akizungumzia mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja na effect zake zinaonekana ndani ya muda mfupi, nayo nihayo niliyoorodhesha kwenye kichwa cha habari cha thread hii. Lakini niwakumbushe wana CCM...
  5. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukiondoa Wana - CHADEMA na wafuasi wake mwenyewe, Tundu Lissu atapata kura nyingine nyingi kutoka kwa hawa

    Tangu mh Tundu Lissu arejee nchini mwezi Agosti, amekuwa akitoa matamko mbalimbali ambayo kwa kiasi kikubwa yameweza ku reshape approach ya serekali ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa mambo yake kadhaa. Hii imepelekea makundi mbalimbali katika jamii ya Watanzania kunufaika kwa namna moja ama...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

    Wakuu nawasalimia kwa salamu ya ukombozi , leo tena yule mgombea anayeongoza kwenye kura za maoni Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano yake ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi , ambapo leo atakuwepo Geita , huu ndio Mkoa aliouawa kinyama kamanda Alphonce Mawazo, RIP, mchana wa jua kali huku...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Barua mahsusi kwa Tundu Antipasi Lissu

    Salamu to you the Sixth president of the united republic of Tanzania! Baada ya salamu ningependa niende moja kwa moja kwenye kusudio la barua hii. Lengo la waraka huu ni kukushauri ukipata nafasi uyasemee haya yafuatayo kwa mapana yake na kwa Lugha shawishi ili Chama chetu kishinde kwa kishindo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ameielezea vizuri Sera ya Majimbo kwa mara ya kwanza. Haina ukabila wala ukanda

    Mimi kama wengine, na kama mgombea pinzani anavyopotosha, mwanzoni nilidhani sera ya majimbo ni ya kufanya maeneo ya watu yajitegemee kikanda au kikabila. Kumbe maana yake ni kuwa (1) Rais asihodhi maamuzi yanayohusu maendeleo. (2) Viongozi wote wenye maamuzi muhimu kuhusu maendeleo ya mkoa na...
  9. Leak

    JamiiForums Tanzania Lissu asema CHADEMA itaigawa Tanzania kwa Majimbo. Kila jimbo litakula kwa urefu wa kamba yake

    Wasalaam wana jamvi Leo Lissu kaendelea na kampeni lakini jambo la kushtua zaidi ni mpango wa CHADEMA wa kuigawa Tanzania kwa majimbo kwa kisingizio kuwa majimbo ndio chanzo cha maendeleo Lissu ameendelea kusema kuwa nchi ikagawiwa kwa majimbo ndio watu watapata maendeleo na kila mtanzania...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

    Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi. Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Rais Magufuli Mwizi pamoja na MaRais wote waliopita isipokuwa Nyerere. Yeye ni mwana...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

    Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi. Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020. Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu. Wamachinga, sasa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

    CCM siasa za uhasama mtaacha lini? Tazama hapa!
  13. Kulupango

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Dkt. Magufuli amekubaliana na hoja yangu, sasa afute vitambulisho vya wajasiriamali

    Lissu - Kwa kuwa Mgombea Urais wa CCM ameshalegea, naomba sasa nimpe wazo lingine, alitekeleze haraka:- futa hizo sheria kandamizi zilizotungwa chini ya Waziri Mpango, ili kuibia wananchi wetu kwa vitambulisho vya Elfu 20!! ===== Maelfu ya wananchi wa Karagwe wamefurika kwenye viwanja vya...
  14. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania CCM wanatumia gharama kubwa kutafuta wananchi huku wananchi wanatumia gharama kubwa kumtafuta Lissu

    Karibu kila chombo cha Habari kinaonekana kupigia chapuo chama cha Mapinduzi. Gharama Kubwa inaonekana kutumika kwa CCM kutafuta wananchi watakaoipigia Kura CCM. Kinyume chake naona wananchi wanatumia gharama kubwa kumtafuta Lissu popote alipo hasa mitandaoni. Ukikuta Kikundi cha watu kikao...
  15. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu na maadili ya Uchaguzi Mkuu

    Binafsi nimepata wasaa wa kumsikiliza mheshimiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kuna baadhi ya kauli na shutuma zake kwa mawazo yangu nadhani sio sahihi sana Ukisoma sheria ya Taifa ya uchaguzi sura ya 343,pamoja...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kagera: Yaliyojiri mkutano wa Tundu Lissu kusaka Urais wa Tanzania 2020-2025

    Katika lile tulilojua toka mwaka 2017, mkoa wa Kagera una lake jambo juu ya CCM na Rais Magufuli. Ni mkoa ambao ulipata tetemeko, watu wakahitaji faraja kutoka kwa mfariji mkuu wakaishia kuambulia maneno ya kukereketa na kejeli. Wana Kagera walipoomba Chakula wakaambiwa serikali haina shamba...
  17. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amri za Tundu Lissu zinatekelezwa na Rais Magufuli

    Tundu Lissu alisema ajira za walimu hazipo. Magufuli akatoa tamko la kuajiri walimu 13,000. Tundu Lissu alisema Magufuli anatoa pesa kwenye kampeni hivyo ni rushwa. Magufuli alipokuwa Kigoma akasema "Siwezi kutoa pesa sasa hivi, watasema ni rushwa". Tundu Lissu alisema vitambulisho vya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi na Mkutano Mkubwa wa hadhara wa Tundu Lissu Mjini Bukoba

    Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuingia kwa kishindo kikubwa mjini Bukoba. Mji wa Bukoba ambao ni ngome Kuu ya Chadema unatarajiwa kuzizima Leo wakati shujaa huyo atakapokanyaga viunga vya mji huo. Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini mwenye ushawishi mkubwa Chief Kalumuna...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Lissu mshaurini mgombea wetu afanye mazoezi, ananenepa sana

    Habari wakuu. Natoa wito kwa washauri wa mh.Lissu ajitahidi kufanya Mazoezi maana tangu karejea nyumbani kanenepa kweli kweli na anazidi kuchana. Kiukweli nyumbani ni kutamu hata kuwe porini. Mwisho namtakia kila la heri kwenye kampeni yake. NI YEYE 2020.
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Picha: Askofu Benson Bagonza afurahia kukutana na Tundu Lissu leo

    Hakika furaha imetoka moyoni. Upendo usiopimika!
Back
Top Bottom