lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    GE2020 Lissu aonya juu ya mkakati wa nia ovu ya kumuengua baada ya watawala kupagawa kwa kimbunga chake mikoani, asema hilo halitofanikiwa

    Akizungumza mbele ya umati wa wananchi huko Babati, Lissu amesema wamepata taarifa za vikao vya wakubwa na vibaraka wao wanaohofia kimbunga chake huko mikoani. Lissu anasema mkakati huo wa kumuengua ulijenhwa juu ya hoja mbili. 1. Ya kwanza ni wao kutaka kupitia kichaka cha maadili, kwamba kwa...
  2. M

    Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu Jijini Arusha - Ijumaa 14 Agosti, 2020

    Ni Ijumaa tulivu. Kama kawaida jiji la Arusha Kuna ubaridi asubuhi hii.Jiji likiwa katika hekaheka tangu Jana za Maandalizi ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu. Kanda ya Kaskazini hususan Jiji la Arusha ni ngome Kuu ya Chadema na akitoa salaam za kunikaribisha jijini humo...
  3. Nyani Ngabu

    Tundu Lissu akiwa Ikungulyabashashi

    Dah! Leo Mheshimiwa Lissu alikuwa nyumbani kabisa. Ningekuwepo town ningemkaribisha Matobholwa pale nyumbani. Ila hawa Wanyantuzu sidhani hata kama walikuwa wanamwelewa Lissu maana Kiswahili hawajuagi! Hapo naona walikuwa wanaitikia tu.
  4. M

    Rais Magufuli, akiharibu kwa Lissu na Zanzibar basi Serikali yake itapata tabu sana

    Kuna hofu kubwa huko Lumumba kuhusu upepo wa Lissu. Hawakuutegemea, walijua Lissu ataufyata kama walivyoufyata wapinzani wengine kutokana na kashkash waliyowatia ndani ya miaka hii mitano, lakini wamekuta ndiyo kwanza Lissu hapepesi macho, ndiyo kwanza anakamua tu bila wasiwasi wowote. Imefikia...
  5. Erythrocyte

    Tundu Lissu: Kituo kinachofuata ni Jimbo la Hai, Mbowe awahi kumpokea

    Endeleeni kutufuatilia kupitia hapa hapa JF ili kujipatia taarifa za uhakika bila kuchuja chochote . Jingine la kufurahisha ni kwamba Mwamba Mbowe tayari kishatua Hai ili kuandaa mazingira salama ya ujio wa Game changer Tundu Lissu
  6. BAK

    Huyu ndiye Lissu Mzalendo anayepigania maslahi ya Tanzania na Watanzania

    Tanzanian authorities attempt to silence activists on Bulyanhulu case 17 JANUARY 2002 Tanzanian authorities have arrested Rugemeleza Nshala, President of the Lawyers Environmental Action Team (LEAT), and raided the house of another LEAT lawyer, Tundu Lissu in connection with their...
  7. Suley2019

    GE2020 Mamia wajitokeza kumdhamini Tundu Lissu Bariadi Mkoa wa Simiyu

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea Mwenza Mhe. Salum Juma Mwalim, akizungumza na Wananchi wa Bariadi Mkoa wa Simiyu waliofika kwa ajili ya kumdhamini, leo Alhamis, Agosti 13, 2020.
  8. M

    GE2020 Lissu umegusa moyo wa watu wa Tarime

    Akiwa huko Tarime, Lissu alielezea namna alivyokwenda Tarime kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ambapo alikuta wananchi wengi wamebambikiziwa kesi na wengine kufungwa kifungo hadi cha miaka 30 Jela kwa kupinga kuporwa migodi huko Nyamongo na wengine kuporwa ardhi zao. Huku akiongea kwa kutaja majina...
  9. Richard

    GE2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

    Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi. Kwa kawaida mimi ni...
  10. Erythrocyte

    GE2020 CHADEMA Kyela tunasubiri kwa hamu kumdhamini Lissu

    Kyela ndio mwanzo wa nchi yetu kutokea Malawi na ndio mwisho wa Nchi hii ukitokea Dar es Salaam , unapotokea Malawi bendera ya kwanza ya chama cha siasa unayoiona unapovuka boda tu ni bendera ya Chadema , hii ndio bendera ya mwisho ya chama unayoweza kuiona pale boda kabla hujavuka kwenda Malawi...
  11. Lord Denning

    GE2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

    Amani iwe nanyi wadau na kwa wakazi wa Dar poleni na Tetemeko Niende kwenye mada! Ni ukweli ulio wazi kuwa John Pombe Magufuli hawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu na hizi ndizo sababu 1. Kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM Najua CCM sasaivi wanajaribu kuwaita makada wao nguli ambao...
  12. The Palm Tree

    Mwanza leo: Je, Tundu Lissu ana "Special Personal Inteligence" inayofanya monitoring ya usalama wake?

    Leo nilikuwa Mwanza kwa shughuli binafsi. Bahati nzuri nikakutana na msafara wa Tundu Lissu maeneo ya Nyegezi ukitokea Shinyanga. Kwa ambao hawaielewi Mwanza, ni kuwa Nyegezi ni eneo lililo nje kidogo takribani 20km kusini magharibi kutoka katikati ya jiji la Mwanza. Hapa Nyegezi ndipo...
  13. G Sam

    GE2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

    Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama. Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo! Tunaondoka Tarime kama hivyo!
  14. G Sam

    GE2020 Lissu kulitikisa jiji la Arusha Ijumaa, shughuli mbalimbali zitasimama kwa muda

    Ijumaa mchana kishindo kikubwa kinatua Arusha. Ni Tundu Lissu "The chosen" atasambaratisha shughuli nyingi kwa muda wa masaa matatu. Pale atakapotafuta wadhamini kwa ajili ya kupeleke uelekeo mpya nchini na kuufuta udikteta unaotaka kuchipua! Tukutane Kimandolu hadi Moshi mjini!
  15. The Khoisan

    Lissu yuko Sawa. Kama Wabunge na Madiwani lazima wawe wakazi wa Maeneo wanayochaguliwa, kwanini Wakuu wa mikoa, Wilaya, Talafa wachaguliwe Magogoni?

    Nchi zote zilizoendelea viongozi wao wote huwa Wana toka au kuchaguliwa na watu wa Maeneo husika. Hii ni kwa kuwa wao ndiyo wanajua matatizo ya wananchi wao. Kama kweli tunataka maendeleo ni sasa ni muda muafaka wa kurekebisha Hii za a ya kikoloni ya kuchaguliwa au kupewa viongozi kwa vile tu...
  16. Chizi Maarifa

    GE2020 Uchaguzi 2020: Tuambiane Ukweli tu, Tundu Lissu na Maalim Seif hakuna atakayekuwa Rais

    Sisi wengine tutasema ukweli hata kama ni mchungu. Tutasema tu. Hata kama nitabaki peke yangu kuusema ukweli nitasema tu Tundu Antipas Lissu - hatokuwa Rais wa Tanzania hata iweje. Hawezi apishwa kuwa Rais iwe jua iwe mvua. Seif Shariff Hamad - hatokuwa Rais wa Zanzibar hata iweje. Hawezi...
  17. The Palm Tree

    Tundu A. M. Lissu & "Protocol Security" yake....

    Nimefurahi kusoma taarifa nyingi humu kuhusu "convoy" ya Tundu Lissu inavyoendelea katika mikoa 10 kuzifuata saini za wadhamini ili wampe uhalali wa kuteuliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.... Safari ilianzia Dodoma mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuomba uteuzi wa ugombea Urais wa...
  18. A

    GE2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

    Hali ya hewa siyo rafiki Musoma Mjini Kuna mvua inanyesha tangu saa moja asubuhi. Huwezi amini watu wamefika na mvua hiyo, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajafika, bado yuko Mwanza. Haijapata kutokea! Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameingia Musoma kwa Shangwe...
  19. B

    Kabla ya Lissu, Waziri wa Ujenzi atembelea barabara ya Rusahunga - Rusumo

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Wakati akisubiriwa yule mheshimiwa mfufuka kujili pande za huko Rusumo, msafara wa magari likiwamo lenye plate number: W UJ umeonekana katika barabara hii uelekeo Rusumo. Gari W UJ likipepea bendera yetu tukuka vilivyo likiaashiria...
  20. dubu

    GE2020 Tundu Lissu alakiwa na Maelfu ya Wakazi wa Bunda Mjini, Wajaza fomu za Udhamini

    Kutoka Kushoto: Salum Mwalim Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania(CHADEMA), Tundu Lissu Mgombea Urais wa Tanzaniana(CHADEMA) Esther Bulaya Mgombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini Kupitia CHADEMA Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea mwenza Mhe. Salum Mwalim...
Back
Top Bottom