life

  1. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania LIL DURK: All my life

    Lil durk ameripotiwa kumliapa j cole kiasi cha USD 978k, kwa Tanzania sawa Na shilling, 2,316, 882, 000 baada ya kumshirikisha kwenye ngoma yake ya "All my life". J cole katika wimbo huo verse yake ina maneno 489 J cole ana charge USD 2k kwa Kila neno ataloweka kwenye feature(wimbo wako)...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania We live only once and life is passing moment.

    Hata Kama nasaa zao hazibebi mwonekano wao hiyo isiwe sababu ya kuyadharu maneno yao kwani mara nyingi ili uitambue njia vizuri ni busara kuwauliza wanaorudi na hata tukipata Muda Mwingi wa kuishi hatutoweza kuusimulia mwisho wetu Bali tutausimulia Mwanzo wetu ,Basi ukibarikiwa wabariki na...
  3. trudie

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me Trudie

    Namshukuru sana Mungu kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingine. Nashukuru leo nimetimiza miaka kadhaa kwa kuingia floor mpya ya majukumu. Mwaka huu umekuwa wa neema sana kwangu mwenyezi Mungu anazidi kunipigania. Kweli tunazeeka na miaka inaenda sana. Happy birthday to me. Intelligent...
  4. McCord

    JamiiForums Tanzania What would you do if you were able to get rid rid of two things in your life completely?

    Just a random question!
  5. Ritchy Breezy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Life! Sitolisahau hili

    Habari za muda huu wakuu, Kiafya siku poa, Ila nashukur muumba kwa kunipa nafasi ya kuendelea kuwa hai😔 Kuna muda unaweza kupitia magumu+aibu Hadi kuhisi ukimya au sehemu iliyokimya ndo sehemu pekee unaweza kukaa na serikali ya akili na kupata majibu juu ya kile unachopitia instead ya kueleza...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

    Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima. Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu safi, nikazungusha macho huku na kule nione wapi nitakaa, sehemu ilikuwa imejaa kidogo, ila nikaona...
  7. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Maisha ya shule vs kuhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia

    Ukiwa Shule uliwacheka sana walimu juu ya mavazi yao. Uliona habadilishi viatu na nguo zinahesabika. Haya tuambie baada ya life la kitaa umeonaje uhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia? #ElimikaWikiendi
  8. B

    JamiiForums Tanzania The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

    Habari zenu wana jamii forum Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu. Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
  9. Engager

    JamiiForums Tanzania The key to life

    You American think every one want to f**k you😅😅
  10. mr_stev001

    JamiiForums Tanzania life linavoenda kasi

    kuna muda una mchukia mtu bila yeye kujua 🤞ila ukipa shida unamshirikishaa ana kusaidia kiroho safi kabisa heshim watu this 's life✅
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Do you have life?

    Advantages of sex. SEX:- (a) removes stress (b) prolongs life (c) softens skin (aspecialy to women) (d) inhibits formation of wrinkles and furrows on facial skin (e) delays ageing. Sex is life and life is sex
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu, nimekamilisha kazi tatu mpaka sasa.

    Wakuu kwema! Napenda kuwashukuru nyote Kwa namna ya pekee. Mmekuwa sehemu muhimu katika kazi zangu na Maisha yangu. Mungu awabariki Mno. Katika Kampuni yangu ya Taikon Publisher ambayo inahusika na mambo ya Uandishi katika program yetu ya WritingLife Coaching Programs ambayo imesaidia Vijana...
  13. APPROXIMATELY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye furaha huleta baraka ndani

    Habari za kwenu?? Ili uwe na amani mda wote,hii inajumuisha wote walio ndani ya ndoa au walio na mahusiano ya kimapenzi. Mwanamke anaweza kukufanya ukaonekana kidume mbele ya jamii,pia anaweza kukufanya ukaonekana kituko na jamii. Mwanamke mwenye furaha huleta baraka ndani,ndo maana unaweza...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ukifuata life style ya Hayati Magufuli au Nyerere, kwa karne hii huwezi kuishi maisha marefu

    Hii ni kwa wote uwe Kiongozi kwa ngazi ya kitaifa au chini yake. Kuna wimbo wa Orchestra Safari Sound unaitwa Dunia Msongamano, kuna sehemu wanaimba¶¶kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu nakuomba mwenyezi anipe maisha¶¶ Pamoja na hayo kuna other factors contributed by the bearer. Usiwe mzalendo...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tree of Life Foundation kupanda miti milioni moja mwaka 2023

    Pamoja tunaweza. Taasisi ya Tree of Life Foundation iko mbioni kupanda miti ya matunda, kivuli na ya mbao kwenye mwaka mpya wa 2023. Upandaji huo utaambatana na utoaji wa elimu ya mazingira kwa wananchi walio mijini na vijijini. Karibu tushirikishane pamoja katika kuyatunza mazingira ya nchi yetu.
  16. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Hardest Truth of Life....

  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Bongo maisha yamekuwa magumu kwa sasa? Nimepigwa mzinga na wahitimu watatu ndani ya siku moja. Kiwango wanachoomba ndiyo kimenishangaza!

    Toka Mwezi wa tisa nimekuwa nikipigwa mara KWA mara simu na watu ninao wafahamu wakiomba kukopeshwa hela. Wanasema maisha yamekuwa magumu sana hela hawaioni. Leo nimepigwa simu na watu watatu graduates ambao ninafahamiana nao. KILA mmoja kanipigia KWA wakati wake. HAWA ni graduate ambao...
  18. Mpigamimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wengi bila kujijua tunaishi maisha yenye hatari "cursed life"

    Kwanza nifafanue kased life ni ipi. Kwa kizungu .. inaitwa cursed life. Ni Hali ya kuwa na bahati mbaya maishani mwako. Wengi hawaijui hii. Nitoe uzoefu kidogo. Kwa wale wagumu kuunganisha dot.. Perspective yangu inakwenda kwenye mahusiano baina ya mwanamke wa mtu na wanae. Ambapo baadae...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Main opposition party (CHADEMA) has already given up on the idea of showing Magufuli for who he truly was

    Only those of us who truly knew him will remember him as being the sadist he was. A power-hungry man who was willing to shoot his own fellow soldiers to gain power. A man willing to play with the hunger of the poor to gain support and ultimately power. A man willing to turn half a country into...
Back
Top Bottom