Life! Sitolisahau hili

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
391
579
Habari za muda huu wakuu,

Kiafya siku poa, Ila nashukur muumba kwa kunipa nafasi ya kuendelea kuwa hai😔

Kuna muda unaweza kupitia magumu+aibu Hadi kuhisi ukimya au sehemu iliyokimya ndo sehemu pekee unaweza kukaa na serikali ya akili na kupata majibu juu ya kile unachopitia instead ya kueleza watu.
Iko hivi;

Nipo chuo x mwaka wa mwisho, tangu nipo mwaka wa kwanza performance yangu haikua nzuri kabisa yote Ni kwa sababu nliapply course ambayo nlitaraji nkifika chuo ntabadili, nliomba awamu ya tatu so course nlizohitaji zilikua zimeshajaa.

Swala la kubadili course liligonga mwamba baada ya kupigwa mikwara na wahusika..1st year Mara nyingi uoga unakuaga mwingi ko nliamua kukaza tu ukizngatia boom napata100%.

Hakuna semister ambayo nikua nakosa kimeo(supp muda mwingine carry)Hadi nlifikia kuwaza kuacha chuo,marafiki walinipa moyo ikabidi nikaze.

Mwaka wa mwisho nliamua nifocus kuclear viporo vyote Ni vingi Ila nkiwa serious nachomoa vyote sabu inawezekana.

Niliamua kuweka mbali vitu vingi vilivyokua vinanipotezea muda PS games Ina uraibu mbaya Sana na nliamua kumrudisha nyumbani kwao mwanamke ambae nlikua nimezaa nae, sijutii kuishi nae sabu yeye alkua mpambanaji haswa msusi, ilifikia kipindi boom likichelewa yeye ndo anaprovide kila kitu. Mambo Ni mengi tuachane nayo.

Changamoto+aibu:
Siku moja nikiwa nimetoka kufatlia viporo vyangu vya masomo simu yangu iliita kucheki Ni dada angu,nlipokea maongezi yakashika hatamu

Yeye: Nataka kuja huko huku sikuelew
Mimi: Unakuja kufanyj?au Kuna issue ya kufanya umepata?
Yeye: Hapana Sina!
Mimi: So?
Yeye: Mimi nakuja ntakuja tuone:
Mimi: Nakaa chumba kimoja hata pesa Sina ya matumizi kibaya una mtoto mdogo,usijee.
Yeye: Mimi nikija tutaona unitafutie kazi yoyote Anza Basi kuulizia.

Aling'ang'ana Sana mi nkaamua kumute

Siku ya siku ananiambia tu mi nmepanda Basi nakuja!!sikua na namna nlimwambia karibu.

PICHA LINAANZA:
Amefika Sina ata jero mfukoni Ila wanaume maisha etu tunayajua wenyew Kuna muda unaishi gheto huna hata Mia Ila muda wa kula ukifika lazima ule.

Ile amefika tu nikiwa kwenye kipindi akanitumia sms nipo na njaa nipike wali njoo na maharage,nikawaza kumwambia Sina hela Ila nafsi ikagoma nkajaribu kukopa kwa washikj buku nao wakawa wanalia tu njaa, ikabidi nitafute genge ambalo waga nachukua vitu Mara kwa Mara kwa kudanganya kuwa nimechoka anipatie maharage na viungo vyote baadae ntapita ntamlipa,yule mama alikubali akanipatia vitu navyohtaj, nilivyofika nkampatia akapika tukala.

Tulivyoshiba mi nkajilaza kitandani muda huo ye amekaa kuangalia TV.

Kidg naskia kitanda kinacheza kucheki vizur dada amejisogeza tukalala mzungu wanne Sasa mida ya sa 11 jion hiyo.

Nlijisikia vibaya Sana nikaamka nikatoka nje kimya kimya.

Usiku ulipofika nilitafta gheto kwa msela wangu nkalala.

Kesho ake asubui akanitumia sms anahitaj hela akanunue mboga nkamjibu Mimi Sina pesa yoyote si nlikuambia kabla hujaja..nkakausha.

Nliporudi nlikuta ashanunua mboga tukala.

Muda tunakula nkamuuliza ratiba yako ikoje?

Akanijibu Kuna mtu mmoja amemuahidi kumpa chimbo la kazi.

Nkakaa kimya Kama siku tatu ratiba angu ikawa Ni kula natulia kidg naenda kwa mshikaji wangu.

Baadae nkamuuliza vipi mbn sioni ratiba au ufatiliaj wowte juu kile ulisema,akanijibu kesho nmeambiwa niende nkajipa moyo afadhari...na nkamuasa hata hiyo pësa anayotoa kununua mboga nyanya itaisha hivyo itanipa mzigo mwingne ukumbukwe bdo nipo shule hata kuja kwako si sahihi bdo pia nateseka kila siku ktembea nenda rudi mtaa wa pili kwenda kulala.

Fatilia maswala ako ujue hatima ake mimi unanipa wakati mgumu kweny maswala yangu ya shule,uchumi hata sehemu ya kupumzika cha mno zaidi si sawa wew kuja hapa ufanye makazi hapa kuja ni kwa dharura tu sa hii hata haipendezi mbele za watu ata mimi binafsi sifurahiii.

Nkatulia:
Kesho yake akaenda aliporudi nkamuuliza vipi issue gani umepata si akanieleza maswala ya Q-NET,nlichoka!
Nkamwambia ushawai kuibiwa unaona,karibu uone.wale ni matapeli hamna issue hapo.

Yeye:ko nfanyeje sasa?

Mimi:wew unafikria nini?

Yeye:Mmm..au niwe narangua samaki nakaanga nauza.

Mimi: Ni biashara nzuri ila muda huo unaishi wapi.

Yeye: labda ntachukua room.

Mimi: then?,bajeti yako inaruhusu kufanya hivyo?ukichukua room inahtaji pësa bdo chakula na mtaji wa hiyo biashara kibaya una mtoto mdogo unafikri inawezakana?¹

Yeye: kimyaa,sasa nifanyaje.

Nkachukia nkatoka nje nkatafuta sehemu tulivu nikawaza kwa mapana sana.

Baadae nkaamua kwenda kwa mangi kununua luku,muda narudi nikakutana na mother fulani nkamuuliza ka ana uhitaji wa msaidizi kwenye mgahawa wake.

Mama akaniambia ndiyo anahtaji na anahtaji wawili.

Nlirudi gheto nkampa mchongo na nkamweleza kesho ake inatakiwa aende a
 
Jioni saivi napitia pitia nkafanye test...mida ya sa moja sambili ntakua nmetoka chuoni
 

Attachments

  • Screenshot_20230515-123453.png
    Screenshot_20230515-123453.png
    35.2 KB · Views: 12
Jioni saivi napitia pitia nkafanye test...mida ya sa moja sambili ntakua nmetoka chuoni
Nikua nmelala naumwa nmekuja kuamka kordo zimaa limejaa vyombo af vyote vichafu muda huo kasepa anapeleka mtoto geita..na nlimwambia tangu jana asiniachie vyombo vichafu yeye ni movie na kulala
 

KARIBU TUKUTIBU TATIZO LA AKILI (MENTAL PROBLEM)



Tatzo lako lina tiba
 
Awali ya yote huyo kama ni dada yako wa tumbo Moja,mmelelewa hovyo sana na labda wayback mlishanyanduana,Mimi kutembelewa na sista ni hadi nilipoweka manzi ndani ndio alikuja tena haikuwa kwenye chumba kimoja,na eti ukastuka anakusukuma mlale mzungu four,mwana hujielewi na pia sista yako zimefyatuka no wonder alitaka kujiunga QNet
Kwamba mimi nitembee na dada angu mzee...kuna haja gani sa mimi kusoma
 
Back
Top Bottom