lengo

The ancient rock art site of Lengo is located in the Bakouma region of the Central African Republic.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa CHADEMA wameshatimiza lengo kuu la maandamano ni akili kubwa imetumika, polisi wanahaha.

    Kuna njia nyingi za kuandamana au kufanya shinikizo kwa serikali yoyote. Mojwapo ya njia hizo ni maandamano tunayoyajua. Njia nyingine ni kufanya mzunguko wa taarifa zitakazoifanya serikali ione kuna tatizo flani na wananchi hawafurahii hali hiyo. Mpaka sasa zipo taarifa za polisi kutoka mikoa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Luqman Maloto (Mwanahabari): (Hotuba ya Rais Samia) haikuwa hotuba yenye hadhi ya Mkuu wa Nchi

    RAIS SAMIA HAHITAJI TENA MKALIMANI WA HASIRA! Anaandika Ndimi Luqman MALOTO HONGERA jeshi la polisi kwa kutimiza miaka 60. Yupo mtu aliniandikia ujumbe WhatsApp, unaosema: “Polisi inaposherehekea miaka 60, Dodoma inanuka damu.” Aliambatanisha na taarifa ya watu watatu waliouawa na kuchomwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania tumeanza mauaji ya vitisho. Lengo wananchi wasiseme baya lolote

    Kwa nchi za kiafrika Tanzania haikuwa kwenye kundi la hovyo kiasi hiki. Usalama wetu ulilindwa kistaarabu kabisa na siyo kwa kutisha raia. Sababu kubwa ilikuwa ni uongozi usiokuwa na tamaa ya mali na u-bilionea madarakani. Kinachoonekana sasa tuko kwenye uongozi uliojaa tamaa za u-bilionea...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

    Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023 Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi...
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya matajiri huanza mambo za kishirikina kwa lengo la kujilinda

    Mara nyingi kujiingiza kwenye uchawi sio mwanzo wa kusaka utajiri..safari kwa waganga huanza pale mafanikio yanapoanza pale ambapo wasiwasi na pressure zinawakumba wanaona kama wanatapeliwa na kuibiwa muda wote hivyo wanashawishika kwenda kwa ajili ya ulinzi na huko ndipo wanapokutana na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania EXIM BIMA FESTIVAL 2024: Burudani yenye Lengo la Kuboresha Huduma za Afya ya Akili

    Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano, Stanley Kafu (kati) kutoka Benki ya Exim Tanzania, akizungumza wakati wa kutangaza ujio wa tamasha la Exim Bima Festival 2024, likiwa na kaulimbiu ‘Amsha Matumaini’, ambalo litafanyika terehe 28 Septemba mwaka huu katika Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es...
  7. JamiiForums Tanzania Tamasha la kizimkazi linadhaminiwa na nani? Na lina lengo Gani? Naona watu maarufu wamejaa kizimkazi

    Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu. Kuna hili tamasha linafanyika huko. Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika. Yaani watu mamia Kwa mamia...
  8. JamiiForums Tanzania Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

    Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu akishika Urais leo, atakubali kila siku vijana wawe wanaingia barabarani kuandamana kutimiza wajibu wao wa kikatiba kwa lengo lolote lile?

    Habari JF Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .? Soma Pia: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ngao ya jamii haina hamasa kwasababu mapato yote yanaenda TFF na taasisi zingine kwa lengo la kuisaidia jamii lakini zinaishia mifukoni mwa wachache

    Hela unayopatikana wanadai wanarudisha kwa jamii ila hatujawahi kushuhudia hata beseni wamepeleka zahanati Sababu iliyopeleka mechi hii isiwe na hamasa ni "Tucheze sisi hela wapate wao? " kuanzia mwaka jana ngao ya jamii iliongezwe timu ziwe badala ya mbili, ni kufosi Yanga na Simba zikutane...
  11. JamiiForums Tanzania Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ

    Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ wamalize mchezo.Watoto wa St Petersburg nani awafute machozi? Ni kheri kumuenzi Keneth Kaunda na...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Leo nimaabudu kwenye Kanisa la Wasabato Mwenge, nitaendelea kukosoa panapoenda mrama, nitaunga mkono palipo vema, lengo kuweka mambo sawa

    UPDATES: Huduma ya kuwaombea Wajane Wagane na WaleaPweke inaendelea kufanyika muda huu Wadau hamjamboni nyote? Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa Mwenge Dar es Salaam. Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya "...
  13. JamiiForums Tanzania Je lengo la Msigwa kutumkia CCM Ni kumfuata muhasimu wake bwana Mbilinyi??

    Baada yabuchaguzi wa kanda ya nyasa na matokeo kutangwazwa aliyekua mgombea wa ukanda huo kwa nafasi ya uanyekiti leo katimkia ccm. Katika matokeo ya uenyekiti wa kanda hiyo ambapo mheshimiwa Joseph mbilinyi aliibuka na ushindi wa 51% na mgombea mwenza mheshimiwa Mchungaji Msigwa aliibuka na...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi letu limetutenga Watanzania

    Jeshi letu limetutenga Watanzania. Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah. Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
  15. JamiiForums Tanzania Nini lengo la viongozi wa dini kufanya sala kwenye matukio ya kitaifa?

    Nchi yetu Haina dini, hilo linafahamika. Lakini karibia kila tukio la kitaifa, lazima viongozi wa dini wawepo kwa ajili ya sala. Hiyo inamaanisha nini? 1. Watawala wanaamini sana katika maombi? Sidhani, kwa sababu kama ndivyo, kwa nini wawaalike wa dini zenye maarufu pekee? Mara nyingi...
  16. 7

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania nimiongoni mwa nchi zinazo endelea kukua kwa kasi sana ili iweze kufikia lengo kati ya miaka 5 mpaka 25 ijayo inatakiwa kuboresha sekta mbali

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali. Elimu ni nyanja muhimu sana katika taifa letu. Ili kufikia lengo, inatakiwa mitaala yetu ya elimu iboreshwe ili kumuandaa kijana wa kesho...
  17. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania inatakiwa kujiuliza ni wapi inakosea

    Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania inatakiwa kukaa chini kujiuliza niwapi nakosea niwapi nazingua na kwanini sifikii malengo yangu na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika ndani ya miaka 25 kwa lengo la kukuza uchumi

    TANZANIA KUA KITOVU CHA BIASHARA AFRIKA NDANI YA MIAKA 25 KWA LENGO LA KUKUZA UCHUMI. UTANGULIZI Tanzania ni nchi ambayo imepakana na Bahari ya Hindi upande wa mashariki mwa Afrika na kuzungukwa na Nchi nyingine nyingi upande wa Kaskazini, Magharibi na Kusini ambazo kwa miaka mingi zimekua...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi lengo hasa la kufunga NDOA ni nini?

    Habari za jumapili wanajamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya waliofunga ndoa na wasiofunga ndoa.Ukiangalia kiundani wanandoa wengi wanachepuka balaa ni wazinzi wa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Lengo la Uchangiaji wa gari ya Lissu ni shillingi ngapi?

    Kuchangia fedha kimya kimya si motisha kwa mchangiaji,tunaombwa tujuzwe ni shillingi ngapi zinahitajika kununua gari ili watu wachangie kwa malengo vinginevyo uchangiaji huu hauna afya kwa mchangiaji. hiyo gari ni ya shillingi ngapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…