Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wawe makini na raia wa kigeni wanao ingia nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu, wengi wao ni Wakenya ambao ni wazoefu wa kuhamasisha vurugu wapo wengi sana.
Na baadhi yao ni wataalamu wa IT wanafuatiliwe kwa makini hadi chooni.
TCRA kuweni macho, wadukuzi...
Faida za kuwa na world-best irrigation system ni kilimo kitakuwa kinafanyika mda wote bila kutegemea mvua na kutatengwa budget ya Shilling Trillion moja kwa ajili ya kuzitengeneza
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya Madini nchini imeendelea kupiga hatua kubwa, ambapo maduhuli ya zaidi ya shilingi bilioni 902 sawa na asilimia 90.2 ya lengo la kukusanya Shilingi trilioni moja kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kufikia Mei 15, 2025, ikiwa ni kabla ya...
namba kujua kama hich kitu kinaweza kua na Tija, yani mteja akiwa anakuja kunyoa namwambia aongeze jero kama charge ya network, naomba mnirekebishe hapa kabla sijaharibu pesa je nifanye vip ili nipate pesa kupitia free WiFi salon ya kiume, maana nina wateja wengi salon iko uswahili wateja wengi...
Netanyahu anasema 'lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudi kwa mateka
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anahudhuria hafla ya kumbukumbu ya serikali ya wanajeshi wa Israeli waliokufa, katika makaburi ya kijeshi ya Mlima Herzl huko Jerusalem, Aprili 30, 2025. (Marc Israel Sellem/POOL)
Waziri Mkuu...
Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii.
Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima...
Taifa ambalo raia wengi hasa vijana hawana ajira, umaskini ni wa kiwango cha juu huku baadhi wakiwa wamepita mafunzo ya kijeshi na kubaki mitaani, ni Taifa delicate sana.
Kwa msingi huo, kuna hatari kubwa ya vijana wa aina hiyo kukodiwa na kufanya vitendo vya kulipiza kisasi tena kwa malipo ya...
Ni baada ya Chadema kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi.
Mrema awasihi watia nia Ubunge na Udiwani kuwa watulivu kusubiri maamzi ya chama.
My Take; Kama wameamua kuhama wanasubiri maamzi ya chama kipi wanachotoka au wanachohamia.
Reform inajumuisha mabadiliko ya kimfumo ambapo sheria,kanuni,utaratibu,watendaji,itikadi na taasisi muundo na vyeo kwa ujumla.
Moja ya sababu ya reform ni kutokuwepo kwa usawa wa mfumo na utendekaji kazi,reform mara nyingi inahisisha Changes katika itikadi na imani.
Tunaambieni wadau...
Ukisoma huo waraka sehemu ya tatu aya ya 2 inasema lengo la kupitisha "No reforms, no election" ilikuwa si kuzuia uchaguzi bali kuhamasisha tu. Huo ndiyo ulikuwa mpango wa kauli mbiu?
Tunaposema udalali wa kisiasa ni pamoja na ubabaishaji kama huo. Ndiyo maana mlilia yalipotangazwa matokeo...
Mimi ni muislamu lakini nawashangaa baadhi ya waislamu wenzangu inapofika jioni mtu anakula kama mchwa, yaani kila kitu anataka akile, matokeo yake anashindwa hata kufanya ibada.hivi kweli kwa style hii lengo litafikiwa kweli? Au ndio watu wanapoteza muda.
MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Shinyanga yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni 21.5
Mkoa wa Shinyanga ulipangiwa kukusanya Shilingi Bilioni 26.2 ambapo mpaka mwishoni mwa mwezi...
Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha.
Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers, simu, apps, n.k.
Kwa sasa nipo Njombe, huku ni bila bila. sehemu ya karibu nayohisi kuna hayo mambo...
Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani.
Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi
Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
Wadau hamjamboni nyote?
Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia
Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
Kuna swali huwa linanizunguka kichwani hasa linaniambia lengo la kuja duniani nini?
Kwanini wengine duniani watajirike na wengine wawe masikini? Na kwanini wengine wamake Impact ila wengine wasimake impact?
Kwanini wagunduzi wengi wa Teknologia wengi ni ngozi nyeupe? Kwamba waAfrika wengi...
Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa,
Tazama sasa,
Maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni...
Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp...
Nyie mademu wa jogging mtakuja mtuuwe jamani
Mnavaa vinguo vya kututega
Sisi wanaume marijali tulishiriki jogging na marathon zenu, tutatoka tumemaliza kila kitu
Tusiige wazungu
Mwanamke wa kizungu hata avae kichupi hawezi kumshawishi mwanaume kihisia, huku kwetu maumbo ya kibantu afu umevàa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.