legacy

In computing, a legacy system is an old method, technology, computer system, or application program, "of, relating to, or being a previous or outdated computer system," yet still in use. Often referencing a system as "legacy" means that it paved the way for the standards that would follow it. This can also imply that the system is out of date or in need of replacement.

View More On Wikipedia.org
  1. Samuel jk_Euphoria

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kifantasia: Solo king: ancient legacy

    Kama mtunzi hii ni simulizi yangu ya kwanza kuandika na kuitangaza nje ya jukwaa husika. Mimi ni mwandishi wa simulizi kutoka jukwaa la fasihinet.com ya boss singanojr 😁 Nisielezee sana kuhusu mimi. Mimi ni Samuel jk(jins halisi) lakini nalipenda neno Euphoria kutokana na maana iliyopo na hii...
  2. S

    JamiiForums Tanzania The legacy of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    THE LEGACY OF MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE: The Powerful Lesson for Africa’s New Generation. ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY P.O BOX 5079, TANGA. Authors: Jilala Simon N. (Assistant Lecturers in Development Studies and History) and, S.T.Shemhilu, (Assistant Lecturer History) If...
  3. Nandagala One

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa una Legacy gani ya kujivunjia kwa watu wa Kusini, Kwenye Uwaziri Mkuu wako?

    Wanabodi heshima kwenu. Mh waziri Mkuu Mjomba, unabakiza miezi michache kabla kumaliza karibia miaka 10 ya uwaziri wako mkuu. Leo hii uaweza kutembea kifua mbele kwa lipi ulilowafanyia watu wa kusini?? Katika National level hakuna ubishi hamna jambo la pekee ambalo watu wanaweza liona, na ndio...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndio Rais ambaye hakuacha legacy yoyote

    Katika kumbukizi ya miaka 4 Toka aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli atutoke Magufuli ni Rais ambaye hakuacha Legacy yoyote hapa nchini na badala yake alituachia mzigo ambao Rais Samia anapambana kusawazisha mambo 1. Aliharibu upande wa diplomasia Magufuli ndo aliwaita wawekezaji...
  5. Faana

    JamiiForums Tanzania Legacy of Nokia phones!

    Comment on it Mimi nilitumia: Nokia jeneza 😆 Nokia Mshindi Nokia mjumbe ana hoja
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Legacy Media ya Tanzania imekipuuza kitabu cha Kabendera?

    Wiki jana kitabu cha mwandishi Erick Kabendera kinachomhusu Rais Magufuli ndo kilikuwa habari ya mujini, at least humu kwenye viuchochoro vya kwenye mtandao. Kitabu chake hicho kina madai makubwa sana ambayo hayakuambatana na ushahidi/ ithibati madhubuti. Ni madai ambayo mtu unategemea...
  7. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Watu wanakufa wameacha legacy, wenyewe wanakufa wameacha kisilani. Hata kama ni ngazi ya ukoo!

    Na kalaga baho Nongwa Wazee sina neno kubwa leo, nimekumbuka sana uwepo wa advanced marginalised Community nchini. Niliwah kuandika habari zao humu ndani kwamba, hao watu wametokea katika makalio ya dunia. Yani huko ndugu zangu kila kisanga kisanga, wamakonde wanaitaga "ng'anya". Huko ukikaa...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Rais samia kaamua kumstaafisha mstaafu na kupambania legacy yake

    Mstaafu kastaafu wananchi pamoja Rais Samia wamemstaafisha . Rais Samia kaamua kutengeneza kumbukumbu yake kwa vizazi vijavyo Kaamua ku move na watu watakao msaidia kutimiza lengo lake . 2030 hope atastaafu ,Mungu akimjalia kuishi miaka 20-30 mbele afurahie alicho kifanya . Ni jambo zuri...
  9. A

    JamiiForums Tanzania The Exploitation of Africa: Modern Leaders Outdo Colonial Exploiters

    The legacy of colonialism in Africa is a well-documented narrative of exploitation, oppression, and plunder. European powers carved up the continent, extracted its wealth, and subjugated its people. Yet, as Africa moves further from the shadow of colonial rule, a disheartening reality emerges...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Altezza inauzwa million 5, Dar es Salaam… mwaka wa kufosi huu lazma uwe na ndinga yako. Kwa mawasiliano 0612630936
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Vipipi kifua, Colgate na Asali mpaka sasa ndio viungo vya ukweli kwa shoo za kibabe zinazoacha legacy kwenye mapenzi

    Shalom, Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi. Unapoingia kwenye mapenzi hakikisha unafahamu nyenzo muhimu zenye kuacha Alama ama Legacy kwenye Mapenzi...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji. Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Stan Katabaro kilivyoharibu legacy ya hayati Mzee Mwinyi

    Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara. Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu. Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo. Waandishi wote either...
  14. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Echo of Ujamaa: Unravelling Nyerere's Legacy Amidst Silence

    Straight to the point There has been several claims laid out in many posts and threads herein, claiming "Many people died" During the resettlement of citizens- "Walikufa raia wengi sana wakati wa Vijiji vya Ujamaa" Did many people die Under Ujamaa? Despite claims, where is the concrete...
  15. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Ujamaa's Echo: Uravelling Nyerere's Legacy Amidst Silence

    Moja kwa moja kwenye mada. Wakosoaji wameng'ang'ania 'oh watu walilazimishwa kuhama' wengine wanadai 'oh Walikufa raia wengi sana wakati wa vijiji vya ujamaa' "Vijiji vya ujamaa lilikuwa jambo la hovyo kuwahi kutokea nchini Tanzania" "Vijiji vya ujamaa, vilivyondelea ndiyo yanaitwa...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

    Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi. Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE. Leo sukari...
  17. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli ambao walinda legacy hawataki kuusikia!

    Mara utasikia Hayati ameacha miradi mingi. Hiyo miradi ni ipi? Kila Rais aliyetawala nchi ya Tanzania kuna jambo muhimu alilofanya, hakuna Rais alieitawala nchii hii akamaliza muda wa uongozi bila kufanya lolote kulingana na sera ya chama. Mambo ambayo walinda legacy ya Hayati hawataki...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Legacy Heri ya Christmas na mwaka Mpya

    Hi Legacy people. Sisi bado tunaamini huyu mzee yupo chato anachunga ng'ombe anawatakia heri na baraka ya Noel na Mwaka Mpya Asanteni.
  19. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wakati wa kula tunda la mti wa Eden unasaidia kujenga legacy yako kwenye anga za mahusiano

    Habarini nyote Bazzukulu, Nawakumbusha wanaume kuwekeza kwenye ubunifu wakati wa kula tunda ikiwa ni pamoja na kuicheza ngoma ya mlo wa tunda kwa kumkatikia mwanamke mauno yenye ustadi wa hali ya juu sana. Hii itasaidia kuacha legacy yako nzuri kwa washirika wako. Nisiwachoshe ni hayo tu...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuruhusu watu wajadili mkataba wa bandari tayari ni legacy

    Habari wanaJF. Nimepata wasaa mzuri wa kutafakari haya mambo ya bandari na huu mchuano unaendelea kati ya wanaosapoti mkataba na wanaopinga. Kwa vyovyote itakavyokuwa lazima tukubali kwa mara ya kwanza tumepata Rais anayependa ukweli na uwazi kwa vitendo. Haijawahi tokea wananchi wakajadili...
Back
Top Bottom