SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 7,101
- 6,708
Moja kwa moja kwenye mada.
Wakosoaji wameng'ang'ania 'oh watu walilazimishwa kuhama'
wengine wanadai
'oh Walikufa raia wengi sana wakati wa vijiji vya ujamaa'
"Vijiji vya ujamaa lilikuwa jambo la hovyo kuwahi kutokea nchini Tanzania"
"Vijiji vya ujamaa, vilivyondelea ndiyo yanaitwa mikoa..."
Na wengine hakuishia hapo wakaweka na Picha kabisa kuwa hichi ni kijiji cha Ujamaa
"Vijiji vya ujamaa"
=================
Hebu niwaulizeni nyie wajuaji, mbona mnaishia kusema Kijiji au Vijiji vya Ujamaa lakini hamtamki majina ya Vijiji hivyo?
Mnasema
" Ile sekeseke iliumiza"
Ni nani hao walioumizwa mbona hawatoki hadharani?
Nani anayejua hicho kijiji kwenye picha kinaitwa nini?
Halafu hawa hawa wajuaji utawasikia wakikupa historia ya Papa, Mohammed(S.A.W) Ukraine, Putin n.k kwa kutaja mpaka siku walizozaliwa, vijiji walivyotokea, na kuhamia n.k n.k
Lakini watu wa Vijiji vya Ujamaa...ati '
'wametoka vijiji vya asili kwenda Vijiji vya Ujamaa!'
Vijiji vipi hivyo vya asili?
Wacheni kuchafua legacy ya Saint wetu mtarajiwa J.K.Nyerere

Last edited: