legacy

In computing, a legacy system is an old method, technology, computer system, or application program, "of, relating to, or being a previous or outdated computer system," yet still in use. Often referencing a system as "legacy" means that it paved the way for the standards that would follow it. This can also imply that the system is out of date or in need of replacement.

View More On Wikipedia.org
  1. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Legacy huwa haitetewi

    Legacy nzuri ya mtu huwa haitetewi. Legacy nzuri huwa inajitetea yenyewe kupitia mambo mazuri pamoja na matendo mazuri aliyofanya mhusika. Ukiona kuna mtu watu wanatetea kwa nguvu zote kuwa ameacha legacy nzuri sana jua huyo mtu alikuwa ni laghai. Kuna watu wanatetea kwa nguvu zote kuwa kaacha...
  2. goukun wadey

    JamiiForums Tanzania Legacy zinavyopotea haraka, nahisi huruma

    Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake. Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo itakuwa ngumu kuenzi mambo ya Mtangulizi wa Samia! Ni kwa hulka za hawa wawili kutofautiana sana...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge wameacha kujadili mambo ya msingi wanajadili ‘legacy’, itatusaidia nini?

    Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate ridhiki kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu maofisini haijawahi kutokea maadili na nidhamu kurejeshwa hivi hata kama bado kuna changamoto ya...
Back
Top Bottom