Wanaume tutafute pesa pisi kali zimejaa, tuache lawama

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Leo niko hovyo sana akili haijatulia kabisa, nimekutana na pisa moja chuo fulani, sura, ipo, shepu ipo, kagawika vizuri, trackoo very standard hana mtrakoo ila trackoo ipo.

Katikati ya tracko mstari uko mzuri umegawika, nundu ipo, imevaa blauzi kijani na suruali nyeusi ya kitambaa mrefu 1.68 mita na kuendelea, dadadeki tumbo hana, ana vinywele virasta fulani hivi hehehehe.

Ngoja niandae laki3 hivi hadi ijumaa akili haija tulia kabisa, tutafute pesa, pisi kali zipo, nimeikataa hali ya kuziita pisi kali sister au aunt siwezi.

Kwa hili hata uniombee silipuki mapepo utajua mwenyewe, Pesa na utamu ni bambam.

Imeisha hio.

Wadiz
 
Kijana kataa papuchi piga puchu magonjwa ni mengi
Screenshot_20221219-172243.png
 
Modern man..!!
Kila saa kila dakika mawazo yapo kwenye ngono.

Ndiyo maana Morocco walikataa kujihusisha na Waafrika.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nchi ya Morocco haijajengwa Kwa mawe imejengwa na watu wanao pakuana ndiomana wako Milioni 38 idadi yao. Bila mchakato wa "papua new frontier under the sun" ingekuwaje?
 
Sio Kwa hii pisi sihutaji ngonjera za wivu, acha masihara ujue huyu kushushwa siwezi kuucha upako huo unipite.
Hahaaaa acha kumhusisha Mungu na mambo ya kuchakata! Hajashushwa na hatuwezi kuona wivu hatumjui na picha hujaweka ni umbea tu
 
Back
Top Bottom