Soko la Tegeta nyuki, kukizuka kipindupindi serikali ipewe lawama zote na iwajibike!

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,281
Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi!

Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu

Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi?

Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile?

Ni soko chafu lililojaa maji machafu na tope jeusi la kutisha,

Halafu eti serikali inachukua ushuru pale! Inazipeleka wapi?

Ni soko lenye watu wengi sana na biashara kemkemu, lakini eti halikarabatiwi?

Kukizuka kipindupindi serikali ndo wa kuwajibika!
 
Halafu eti seriki inachukua ushuru pale!

Ni soko lenye watu wengi sana na biashara kemkemu, lakini eti halikarabatiwi?

Kukizuka kipindupindi serikali ndo wa kuwajibika!
Hivi mbunge wao wa miaka mingi ni Halima Mdee wa Chadema na Lisu anaishi huko miaka yote

USSR
 
Kuhusu masoko sio huko Nyuki tu Chief, ingia buguruni au Ilala, dah! Hata haiweleki ushuru unakusanywa unaenda wapi, ukiingia Buguruni ndani unakuta wanasaga na juice zinajazwa kwenye madumu tunauziwa kwa mama Lishe, Shikamoo Tanzania.
 
Doh!
 
Soko la Mabibo 2021/22 lilikuwa chafu sana sidhani kama Soko la Tegeta Nyuki limefikia uchafu kama huo.
Wahusika hawawajibiki.
 
Kiongozi, hivi ninapoandika, nipo hapa, imenibidi nizungukie kuona hizi ajabu na za kuogofya!

Nimeshindwa kuamini nilichokiona Mkuu, Mungu wa Watanzania ni Mwenye upendo sana! Wetu wanakula tu licha kwamba kwa chini kunaa mifunza, wadudu n.k

Nawauliza wafanya biashara wanasema kila kutwa ni 1000 kwa kila mfanya biashara

Ukiangalia kwa haraka haraka kuna zaidi ya wafanya biashara 3k

Ukifanya hisabati hapo, kila siku halimashauri inavuta kati ya m3+ ×30

Sielewi wanapeleka wapi pesa hizi badala ya kuboresha mazingira ya soko
Soko la Mabibo 2021/22 lilikuwa chafu sana sidhani kama Soko la Tegeta Nyuki limefikia uchafu kama huo.
 
Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi!

Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu

Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi?

Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile?

Ni soko chafu lililojaa maji machafu na tope jeusi la kutisha,

Halafu eti serikali inachukua ushuru pale! Inazipeleka wapi?

Ni soko lenye watu wengi sana na biashara kemkemu, lakini eti halikarabatiwi?

Kukizuka kipindupindi serikali ndo wa kuwajibika!
Hapo mwanzo tuliambiwa jimbo la kawe halina mbunge sasa mbunge yupo toka ccm,diwani wa ccm, mwenyekiti serikali ya mtaa ccm kila kitu ccm bado mnalialia?
 
Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi!

Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu

Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi?

Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile?

Ni soko chafu lililojaa maji machafu na tope jeusi la kutisha,

Halafu eti serikali inachukua ushuru pale! Inazipeleka wapi?

Ni soko lenye watu wengi sana na biashara kemkemu, lakini eti halikarabatiwi?

Kukizuka kipindupindi serikali ndo wa kuwajibika!
Ifike wakati sasa usafi uwe ni jukumu la kila mtu kila kitu kusingizia serikali tunakosea kwani hapo sokoni hakuna viongozi wa nyie wenyewe mkajipanga mkafanya usafi mkubwa then marekebisho ya lazima ndio mpeleke huko kwenye kata.
 
Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi!

Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu

Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi?

Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile?

Ni soko chafu lililojaa maji machafu na tope jeusi la kutisha,

Halafu eti serikali inachukua ushuru pale! Inazipeleka wapi?

Ni soko lenye watu wengi sana na biashara kemkemu, lakini eti halikarabatiwi?

Kukizuka kipindupindi serikali ndo wa kuwajibika!
Picha ya soko mkuu
 
Kuhusu masoko sio huko Nyuki tu Chief, ingia buguruni au Ilala, dah! Hata haiweleki ushuru unakusanywa unaenda wapi, ukiingia Buguruni ndani unakuta wanasaga na juice zinajazwa kwenye madumu tunauziwa kwa mama Lishe, Shikamoo Tanzania.
Ukifika pale kuna matunda yanaitwa matunda ya juisi, yana funza hatari.
Mi ndo maana huwa sinywi juisi nyumbani kwa mtu kasoro kwangu na kwetu
 
Kabisa chief, niliingia pale ndani nikakuta wanasaga juice, yale mazingira, na yale matunda nilichoka.
 
Kuhusu masoko sio huko Nyuki tu Chief, ingia buguruni au Ilala, dah! Hata haiweleki ushuru unakusanywa unaenda wapi, ukiingia Buguruni ndani unakuta wanasaga na juice zinajazwa kwenye madumu tunauziwa kwa mama Lishe, Shikamoo Tanzania.
Mabibo je?
 
Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi!

Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu

Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi?

Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile?

Ni soko chafu lililojaa maji machafu na tope jeusi la kutisha,

Halafu eti serikali inachukua ushuru pale! Inazipeleka wapi?

Ni soko lenye watu wengi sana na biashara kemkemu, lakini eti halikarabatiwi?

Kukizuka kipindupindi serikali ndo wa kuwajibika!
Picha mkuu pls
 
Soko la Mabibo 2021/22 lilikuwa chafu sana sidhani kama Soko la Tegeta Nyuki limefikia uchafu kama huo.
Wahusika hawawajibiki.
Mabibo ndilo soko linalo igiza pesa nyingi kwa masoko ya dar lakini linaongoza kwa uchafu lakini kufa kufaana ukiingia mabibo sokoni ukitoka tope mpaka magotini nje kuna wakina mama wanakunawisha miguu kwa sh 500
 
Back
Top Bottom